Je inawezekana kujamiana na muathirika na usipate UKIMWI?

mkuu acha woga vipi ulimla vingapi? je ulisukuma mbolea? siku hizi ngoma haitishi inatisha kisukari na kansa cha msingi uyo dem mtafute umle tena ngoma haipatikani kirahisi kwanza hakuna ungonjwa unaoitwa ukimwi mkuu mle tuu
 
Mkuu Una Ujasiri wa Ajabu,Unauza Mechi Game ya Kwanza?? Hivi Utamtokeaje Demu Mgeni bila Kuulizia kwanza background yake? Kama Uliweza Kusikia Tetesi kwamba kaukwaa ilibidi ufatilie kabla ya kudo nae.
 
Me swali langu ulijuaje kama ameathirika?????... Ushauri na maoni naona yameshatolewa hapo juu
 
Hebu tafta group watsup la walioathrika mwe mnapeana moyo.
 
Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Bado miezi 2 ukienda kupima ndiyo utajua km uko +ve au -ve. Sasa hivi upo kwenye window period.
 
Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Kapime lakini ni lazima usubiri kwa muda wa miezi 3,Kazi ya shetani ni kukuhadaa ili utende dhambi,ile dhambi inapokuletea madhara hayupo na wewe kukusadia,muombe Mungu akutie ujasiri wa kupambana naye maana vinginevyo utaishi kwa mawazo na mateso maisha yako yote.
 
Mwaka 2010 nilikuwa pale boda Tunduma border nilienda kufanya clearence ya gari za IT nilitumia muda wa one week pale mpaka nilipokamilisha ile kazi.

So kwa kipindi hicho chote niliopoa demu mmoja hivi mfupi tena ni bar maid kwenye bar ambayo ipo opposite na lodge niliyokuwa nina lala.

Siku ya kwanza tu nilitumia condoms ila siku zilizofuata nilipiga kavu kavu na bahata mbaya nilipata mchubuka kwenye kichwa cha chini.

Nilihofia sana mkuu kwa sababu pale kuna UKIMWI sio masihara kuna watu wakaja kunitonya kuwa yule binti ameungua nilizidi kupagawa.

Nilipofika home wife sijui naye aliwaza nini baada ya siku tatu akanishauri twende tukacheki afya zetu hasa VVU hapo nilikuwa bado sijakutana naye kimwili.

Nikahisi huenda kuna wambea wamemtonya mke wangu so nikakwepa kwepa ila baadae nikaenda peke yangu kupima maeneo ya TMK pale majibu yakaonekana nipo vizuri .

Nikarudi home nikamwambia ajiandae kesho tukapime akakubali basi mpaka leo hii tuna kawaida ya kwenda kupima mara kwa mara tupo salama wote japo huwa ninachepuka.

Lengo la kukupa hiyo story ni kuwa umethibitiha vipi kama huyo unayemuita muuaji ameathirika? Nenda kapime usisikiliz maneno ya watu na wala usihukumu kwa kumuangalia mtu kwa macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…