Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha duuu mkali umeuawaaaUkifanya kimya kimya bla kelele hupati maana vvu watakuwa wamelala!
Bado unasumbuliwa na hamu ya mara kwa mara ya kutaka dyudyu kama kipindi kile mkuu? 🙂Jibu sahihi utapata ukienda kupima so go for hiv test usiogopeee
Hata sijakuelewaBado unasumbuliwa na hamu ya mara kwa mara ya kutaka dyudyu kama kipindi kile mkuu? 🙂
Hujanielewa nini?[emoji1] Kwani hukumbuki kipindi kile ambacho ulikuwa unapata hamu ya dushe mara kwa mara? 🙂Hata sijakuelewa
Vice versa is trueHujanielewa nini?[emoji1] Kwani hukumbuki kipindi kile ambacho ulikuwa unapata hamu ya dushe mara kwa mara? 🙂
Wee jamaa wewe Mungu anakuona!Ukifanya kimya kimya bla kelele hupati maana vvu watakuwa wamelala!
Sasa hivi najua hamu imetoweka,mimi nazungumzia kipindi kileeee!!![emoji1]Vice versa is true
Sijui upoje ww kwan vinahusiana na mada hapa au vp mfyuSasa hivi najua hamu imetoweka,mimi nazungumzia kipindi kileeee!!![emoji1]
Bado miezi 2 ukienda kupima ndiyo utajua km uko +ve au -ve. Sasa hivi upo kwenye window period.Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Kapime lakini ni lazima usubiri kwa muda wa miezi 3,Kazi ya shetani ni kukuhadaa ili utende dhambi,ile dhambi inapokuletea madhara hayupo na wewe kukusadia,muombe Mungu akutie ujasiri wa kupambana naye maana vinginevyo utaishi kwa mawazo na mateso maisha yako yote.Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
Kivipi mkuu?Wee jamaa wewe Mungu anakuona!
Ni wakati gani hasa virusi vya mapenzi hulala?Kivipi mkuu?