Hahahaaaa!mkuu hizo ni maneno tu,ukipona utaendelea kama kawa.Mimi niliwahi kuparamia mzigo mmoja Moro town kumbe ulikuwa +,nikaenda pale hospitali ya mkoa after 8hrs wakanikandamiza PEP za siku 28,nilikuwa naapa kwa miungu yote kwamba sitafanya tena sex lakini wapi bwana,baada ya kuthibitisha niko sawa shughuli inaendelea.Jamani muwe makini mimi nikinusurika na hili janga ndio naacha kabisa mapenzi! Ni bora nipige nyeto
mkuu ili kupata jibu la uhakika 101%, wahi ANGAZA.Nilikua naomba niulize hiv unaweza ukafanya mapenzi na muathirika wa vvu na usipate maambukizi maan mimi hapa nilipo nina mwezi sasa toka nifanye mapenzi na muuaji huyo naombeni majibu tafadhari! !!
🙂Sijui upoje ww kwan vinahusiana na mada hapa au vp mfyu
Na Ww utatembeaje kizembe hvyUnakuta mtu unajijua afya yako au hauna uhakika na afya yako alf unaenda kutembea kizembe na mtu ambaye ni mzima kabisa hiyo ni roho mbaya,tena wengine waongo unamdanganya kabisa unapimaga na umepima last few months kumbe hata angaza hupajui matokeo yake unamwambukiza mwenzako it's not fair
Teh teh teh,sijui kama ni uzembe au nini ila hadi unaoa au kuolewa na afya yako ipo vizuri ni swala la kumshukuru Mungu tu maana sio waathirika wote walikuwa hawajatulia,wengine walijaribu mara moja tu wakanasa wengine maexpert kabisa wana misururu ila wapo salama,so it's just God's graceNa Ww utatembeaje kizembe hvy
Mtu makini hawezi kupata ugongwa huo kwa ngono..
Yule demu wako uliyekua unamzibua chemba mlifikia wapi?mkuu acha woga vipi ulimla vingapi? je ulisukuma mbolea? siku hizi ngoma haitishi inatisha kisukari na kansa cha msingi uyo dem mtafute umle tena ngoma haipatikani kirahisi kwanza hakuna ungonjwa unaoitwa ukimwi mkuu mle tuu
Nimekupenda ghafla tu. [emoji4][emoji7]Me kuna mtu mwanzoni mwa mahusiano alinambia waga anapima bla bla nyingi anajifanya anajiamini,few weeks nkamuita hosp aje tupime wote kufika katoa excuses nyingi mara ooh haitakuwa vizuri mana umetangulia mwenyewe etc etc....nkamuelewa next time nkampanga tena weekend muda wa kutoka job namwambia aje twende akatoa excuse tena yupo nje ya mji etc,machale yakaanza kunicheza uzuri nlkuwa na woga flani tu moyoni so nkaponea kiivyo ila nahisi yule kaka sio mzima.
Imagine you're fresh grauduate uko na ndoto nyingi,kuoa/kuolewa upate watoto Mungu akijaalia alf njiani unakumbana na muuaji kuishi kwa matumaini sikia kwa mwenzako tu,hadi umpate positive mwenzako napo mtihani,ukimpata mzima roho itakuwa inakusunta,inabidi kuwa waangalifu tena kabla mahusiano it's better mkapima hata kutumia kinga all the time itakuweka upande salama kidogo
Mkuu unajua madhara yake[emoji3]Jamani muwe makini mimi nikinusurika na hili janga ndio naacha kabisa mapenzi! Ni bora nipige nyeto
Mkuu, unadhani angekubali ni muathirika.Mkuu Una Ujasiri wa Ajabu,Unauza Mechi Game ya Kwanza?? Hivi Utamtokeaje Demu Mgeni bila Kuulizia kwanza background yake? Kama Uliweza Kusikia Tetesi kwamba kaukwaa ilibidi ufatilie kabla ya kudo nae.