Me kuna mtu mwanzoni mwa mahusiano alinambia waga anapima bla bla nyingi anajifanya anajiamini,few weeks nkamuita hosp aje tupime wote kufika katoa excuses nyingi mara ooh haitakuwa vizuri mana umetangulia mwenyewe etc etc....nkamuelewa next time nkampanga tena weekend muda wa kutoka job namwambia aje twende akatoa excuse tena yupo nje ya mji etc,machale yakaanza kunicheza uzuri nlkuwa na woga flani tu moyoni so nkaponea kiivyo ila nahisi yule kaka sio mzima.
Imagine you're fresh grauduate uko na ndoto nyingi,kuoa/kuolewa upate watoto Mungu akijaalia alf njiani unakumbana na muuaji kuishi kwa matumaini sikia kwa mwenzako tu,hadi umpate positive mwenzako napo mtihani,ukimpata mzima roho itakuwa inakusunta,inabidi kuwa waangalifu tena kabla mahusiano it's better mkapima hata kutumia kinga all the time itakuweka upande salama kidogo