Je, inawezekana kujifunza pikipiki Kama hujui kuendesha baiskel?

Zacharia102

Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
8
Reaction score
19
Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.

Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?

Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?

Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
 
Inawezekana kabisa, kwa sababu pikipiki siyo baiskeli. Na wala baiskeli Siyo pikipiki, kila chombo kina kina kanuni zake.

Na wala usidhani wote wanaondesha pikipik wameendesha baiskel kwanza.
 
mkuu unataka lift ya kwenda kaburini mini,yani ujifunze pikipiki bila kujua kuendesha baiskeli
 
Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.

Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?

Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?

Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
Yeah, unaweza.
Pikipiki ni rahisi sana kuliko baiskeli. Alikadhalika pikipiki ngumu kuendesha kuliko guta, Guta ni ngumu zaidi kuliko gari, gari ni ngumu kuliko meli, na meli/boat ni ngumu kuliko ndege.
 
Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.

Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?

Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?

Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
Hata ndege kama hujui bajaji
 
Back
Top Bottom