Zacharia102
Member
- Aug 2, 2021
- 8
- 19
Yeah, unaweza.Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.
Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?
Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?
Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
Hata ndege kama hujui bajajiWakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.
Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?
Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?
Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
Hiv kuna driving school za bajajHata ndege kama hujui bajaji
Hata baiskeli zipoHiv kuna driving school za bajaj