Je, inawezekana kumpenda mtu deeply bila kumuona?

Ndio inawezekana,tena ule upendo wa dhati,ukiskia tu sauti yake basi unajikutana unasafiri mbali sana kihisia.

ila kinacho tokea hapa ni kua kutokana na sauti yake kichwani mwako unajijengea taswira ya jinsi alivyo,hivyo unazidi kumpenda,ni kama vile ukisimuliwa hadithi,kichwani unajenga taswira kama vile unaona kabisa lile tukio.

ila hiyo ni mbaya zaidi,maana siku mkionana live lazima uone kitu tofauti na ulicho kijengea taswira,hivyo ni ngumu wote kuendelea kupendana kwa upendo ule ule.
 
Huwezi amini Eti kuna watu wanaona kwa kuunganishwa bila kufahamiana hata kidogo.

Dunia ina mambo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…