Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Mi nimekupenda kwa ID yako. Embu tusikilizane sauti zetu tuone kama hatujapendana…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ni upendo wa agape.😂😂😂😂😂agape
Madini ya chumvi ya uvinza au!?Nilipokuwa kijana mara nyingi nilishindwa kuunganisha mapenzi kwa sauti ya mtu na sura yake.
Iko hivii, nilikuwa switch board operator enzi hizo, saazingine ilitokea kuvutiwa sana na sauti za baadhi ya wasichana na mara zote nilipomfuatilia mhusika sikuvutiwa nao hata kidogo!
Baadaye nilikuja ku conclude kwamba wasichana wenye sauti nzuri sana, hawana mvuto kwangu, nikaishia hivyo.
Lakini suala la teknolojia mpya ya mitandao kama tunavyoandikiana sasa hivi nadhani kuna tofauti kubwa.
Kwa namna ninavyovutiwa sana na thread ama comments za baadhi ya wanawake humu Jf, nadhani nikionana nao ana kwa ana siwezi kuanza kutathmini tena sura, naoa.
Kwa sababu hufurahishwa na kuvutiwa sana na mwanamke mwenye 'madini' kichwani kuliko misura.
Mh! Maandishi ndiyo kipimo cha akili ya mtu, siyo sauti.Watu tunapenda maandishi sembue sauti !
😄😁😜 umebonyeza sana bhana.Madini ya chumvi ya uvinza au!?
sijui unachelewa nini kumuoa yule mama parokondio ni upendo wa agape.
Hivi sikukupa mwaliko? Mbona ndoa tayari mkuusijui unachelewa nini kumuoa yule mama paroko
Kupatwa kwa depression 🤣🤣🤣🤣Kuna dada nampenda humu na sijawai hata kumuona, ni shem wangu nampenda sana huyu dada.
NB: NI UPENDO WA AGAPE
Kama unamjua mtaje.
Kama ambavyo Mimi nimekufa na kuoza kwako. Nikiona tu comment yako nasisimka. Moyo wanienda mbio, damu kuwasha na vimulimuli kutawala akilini mwangu.Maandishi majina feki na picha za celebrities ila wanaume mmejaaliwa mapendo mengi
tuma namba nikupigie tuoneHabari za jioni/ Usiku ni nzuri.
Ndio naweza kumpenda mtu kwa sauti tu. Hata kama sijawahi kuonana nae Ndiooo. 😊
Ila ya kumpenda deeply ile kimapenzi 🥰 hata Mimi sijui, Na sinauhakika inakuaje.
Salaam!. Nakusalimu mpendwa.Kupatwa kwa depression 🤣🤣🤣🤣
Ni kweli hii ipo na inatesa sana,lakini mwisho wa siku hai function...japo ni kweli ni wastage of time😭😭😭Kama ni mapenz ya mtandaoni nakushauri achana nayo utapoteza muda bure
Eeheee mambo ya ukinywa maji unanisoma kwenye glass sio.!!Kama ambavyo Mimi nimekufa na kuoza kwako. Nikiona tu comment yako nasisimka. Moyo wanienda mbio, damu kuwasha na vimulimuli kutawala akilini mwangu.
Aiseee!.