Je, inawezekana kumpenda mtu deeply bila kumuona?

Je, inawezekana kumpenda mtu deeply bila kumuona?

Nilipokuwa kijana mara nyingi nilishindwa kuunganisha mapenzi kwa sauti ya mtu na sura yake.

Iko hivii, nilikuwa switch board operator enzi hizo, saazingine ilitokea kuvutiwa sana na sauti za baadhi ya wasichana na mara zote nilipomfuatilia mhusika sikuvutiwa nao hata kidogo!

Baadaye nilikuja ku conclude kwamba wasichana wenye sauti nzuri sana, hawana mvuto kwangu, nikaishia hivyo.

Lakini suala la teknolojia mpya ya mitandao kama tunavyoandikiana sasa hivi nadhani kuna tofauti kubwa.

Kwa namna ninavyovutiwa sana na thread ama comments za baadhi ya wanawake humu Jf, nadhani nikionana nao ana kwa ana siwezi kuanza kutathmini tena sura, naoa.

Kwa sababu hufurahishwa na kuvutiwa sana na mwanamke mwenye 'madini' kichwani kuliko misura.
Madini ya chumvi ya uvinza au!?
 
Habari za jioni/ Usiku ni nzuri.

Ndio naweza kumpenda mtu kwa sauti tu. Hata kama sijawahi kuonana nae Ndiooo. 😊
Ila ya kumpenda deeply ile kimapenzi 🥰 hata Mimi sijui, Na sinauhakika inakuaje.
 
FB_IMG_17280968450633406.jpg
 
Kama ambavyo Mimi nimekufa na kuoza kwako. Nikiona tu comment yako nasisimka. Moyo wanienda mbio, damu kuwasha na vimulimuli kutawala akilini mwangu.

Aiseee!.
Eeheee mambo ya ukinywa maji unanisoma kwenye glass sio.!!
 
Back
Top Bottom