Class
Member
- Mar 19, 2023
- 29
- 19
Habari za muda huu.
Naombeni msaada na muongozo wa namna ya kupata nafasi ya kusoma shahada katika CHUO KIKUU bila kupitia mfumo uliowekwa na TCU maana huko nmekosa.
Iko hivi,mdogo wangu ana division II ya 10 PCB ikiwa
Chemistry -D
Biology -C
Physics -C
Dirisha la kwanza aliomba courses nyingi za afya maana ndoto zake ilikua kusoma MD.bahati mbaya akakosa
Dirisha la pili akaomba Tena,hapo ikabidi acheki course zingine hapo nyingi zilijikita kwenye afya ila akachanganya na zingine ikiwemo za IT .bahati nzuri kuna chuo wakamchukua computer science ingawa yeye anadai hakuomba computer science katika CHUO hicho, hivyo akaomba wamtolee kwakua yeye hakutaka kusoma computer science katika chuo hicho,na aliomba wamtolee kwakua dirisha la tatu lilifunguliwa
Dirisha la tatu akaomba Tena lakini Jana majibu yametoka na hakuna chuo kimemchukua.
Kiukweli amekua mnyonge sana na akicheki wenzake wamepata na wapo kwenye mandalizi ya kwenda vyuoni.
Tafadhali mwenye uzoefu anisaidie muongozo.