Je, inawezekana kuomba Chuo Kikuu kwa kwenda moja kwa moja Chuoni?

Je, inawezekana kuomba Chuo Kikuu kwa kwenda moja kwa moja Chuoni?

Kama mtu anauwezo wa kujigharamikia masomo yake basi anaweza kuomba chuoni direct
Lakini kama anategemea mkopo hapo ni lazima atumie TCU

Kwa ufaulu huo ni ngumu kupata kwenye kada anayoitaka kupitia TCU
Ila akiomba kama private nahakika atapata

I stand to be corrected
Ngoja tujaribu tu kuomba direct ,tutapambana huko mbele
 
Maamuzi take ni kusoma MD ila ufaulu umemgharimu. Kilicholeta Shida hasa ni kuwaza kith kipya ambacho hakukiwaza
Kama anapenda MD aende Kairuki watampokea ila aandae pesa ya IST kabisa!
 
😂😂 Kumbe huyu mdogo wetu atulie tu sasa nayeye anacase kama yake huyo ila yeye ana 2 ya 11 PCB (DDC) alikosa zote za afya pamoja na Bach. Of Science in Biology 😂 Hadi Wildlife Management. Inabidi asubiri Diploma. Tu intake ya March kama ipo. Hapo ndio anaona hasara ya Advance ilihali Olevel alipata One ya 8
 
Mrejesho.

Nmekwenda TCU na wameshauri niende chuo husika ninachohitaji.kesho nitakwenda chuoni
 
Back
Top Bottom