Ngoja tujaribu tu kuomba direct ,tutapambana huko mbeleKama mtu anauwezo wa kujigharamikia masomo yake basi anaweza kuomba chuoni direct
Lakini kama anategemea mkopo hapo ni lazima atumie TCU
Kwa ufaulu huo ni ngumu kupata kwenye kada anayoitaka kupitia TCU
Ila akiomba kama private nahakika atapata
I stand to be corrected
Kama anapenda MD aende Kairuki watampokea ila aandae pesa ya IST kabisa!Maamuzi take ni kusoma MD ila ufaulu umemgharimu. Kilicholeta Shida hasa ni kuwaza kith kipya ambacho hakukiwaza
Nitaomba mrejesho tena mkuu.Mrejesho.
Nmekwenda TCU na wameshauri niende chuo husika ninachohitaji.kesho nitakwenda chuoni