Je, inawezekana kuomba kutumiwa majibu ya vipimo kwa njia ya SMS?

Nashukuru kwa ushauri,ni mi mwenyewe nahitaji nikapime lakini nipo na hofu sana,na kupokea majibu papo kwa hapo itaniwia vigumu ndo mana nkaomba kujua kama inawezekana ukaenda kupima alafu ukatumiwa majibu baadae kwa sms?
 
hapo labda muongeee tu kiundugu na huyo mpimaji... ila taratibu za kazi ni kupewa majibu kituoni...

pole kwa hofu uliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…