Je, Inawezekana kushinda Uchaguzi bila Kikuyu votes?

Je, Inawezekana kushinda Uchaguzi bila Kikuyu votes?

Kwa hiyo huku uchaguzi unaamuliwa na makabila.?
 
anything can happen. elections za Kenya ziko tightly contested kama za U.s. unaeza lead the whole day and night. kuamka asubui, the shock is on you

Kura za wakati huu hazitabiriki, Wakenya hawaeleweki eleweki....... Yeyote anaweza kuibuka mshindi bila kutarajiwa, Wakenya wamekaidi amri za kila wakati za Uhuru na Raila kwenye ngome zao.

Ndugu yake Raila bwana Oburu amepigwa chini
Dada yake hata hakukaribia Kisumu kama ilivyotarajiwa
Binamu wake Midiwo amepigwa chini
Binti wake pia kaamua kukatisha nia ya Kibra
Maswahiba zake wengi wamepigwa chini japo wengine wamelazimishwa kwa wananchi kama Anyang Nyongo, ila uwezekano upo hawataishia kushinda kwenye uchaguzi mkuu.

Ukija kwa Uhuru ndio usipime, binamu wake Ann Nyokabi na maswahiba wake wote waliokua wanategemea mgongo wake wamepigwa chini. Baadhi yao ni hawa Jamleck Kamau, Ndung’u Gethenji, Kabando wa Kabando, Esther Murugi, Njogu Barua, Gitari Gachoki, Kembi Gitura and Mutahi Kagwe, William Kabogo

Taratibu Wakenya wanaonyesha uwezo wa kujiongoza kiakili bila kushawishiwa na yeyote.
 
ndo wameamua hivyo...sidhani kama ni ujinga kwa wao kuamua watakavyo,ni vyema tukaweka nguvu kwenye kukuza uchumi wetu wa VIWONDER badala ya kuhangaika na mambo yao

Mtu akiamua Ujinga basi ndivyo kaamua
asiambiwe!!
Hizi ni Akili butu
 
Back
Top Bottom