ulikuwa mzigo wa sh.ngapi huko sportpesa mana kwa betpawa hapo 10/13 nadhan utapata 22,000 kwa mzigo wa milioni 10Nimewahi kupata ya sportpesa nilipata 10/13 nikala 1000 tu
sawa masterHuna akili
Elfu 1000 mbona nyingi beti na shillingi 100. It's possible but really hard work bet for fun and u might succeed. Betting with an intension of looking for income and you will lose to much time and moneyKwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.
Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot ya mamilioni kama wanavyotangaza?
Kwenye makampuni mengi ya kubeti kuna hii kitu inaitwa jackpot ambapo kwa pesa yako kidogo tu utakayoweka unaweza kuondoka na mamilioni ya fedha.
Sasa na mimi nataka niingie mazima kwenye kubeti soka ila kabla sijaingia naomba niwaulize, hivi inawezekana kweli kwa buku tu mtu akashinda jackpot ya mamilioni kama wanavyotangaza?