mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha
Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za nchi wala kukiuka maadili mf. kusafiri, kutalii, kula vizuri ku meditate., Kusoma vitabu , kujifunza new hobbies, ku appreciate nature n.k .