Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

Yap mpole sana lkni unaonekana pia ni simba mwenda pole
Kwenye hiyo sekta sidhani kama kuna mpole Chakorii.

Kungonoka hakuna mwenyewe, mfano kuna mama mchungaji mmoja hapa maeneo ya jirani nilikuwa namchukulia poa aseeeee kilichotokea siku tatu zilizopita ni hatari lakini salama. Mama anatiana yuleeee ni shida aseeee
 
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha.

Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za nchi wala kukiuka maadili mf. kusafiri, kutalii, kula vizuri ku meditate., Kusoma vitabu , kujifunza new hobbies, ku appreciate nature n.k .
HAIWEZEKANI

Sex ni muhimu kwa afya yako
 
Kuwa jobless uone kama sex ni itakupa furaha maishani. Kwa kifupi furaha yako ikitegemea kitu, hiko kitu kitakutesa sana ikiwa utakikosa. Nafikiri furaha ni kula na kulala kwa uhuru.
 
Kwenye hiyo sekta sidhani kama kuna mpole Chakorii.

Kungonoka hakuna mwenyewe, mfano kuna mama mchungaji mmoja hapa maeneo ya jirani nilikuwa namchukulia poa aseeeee kilichotokea siku tatu zilizopita ni hatari lakini salama. Mama anatiana yuleeee ni shida aseeee
Unahitaji maombi!ulijuaje anatiana kama hujatiana nae?🙌🙌
 
Kwenye hiyo sekta sidhani kama kuna mpole Chakorii.

Kungonoka hakuna mwenyewe, mfano kuna mama mchungaji mmoja hapa maeneo ya jirani nilikuwa namchukulia poa aseeeee kilichotokea siku tatu zilizopita ni hatari lakini salama. Mama anatiana yuleeee ni shida aseeee

Tunaosubiria video tunachangia hapa hapa?
 
Kwenye hiyo sekta sidhani kama kuna mpole Chakorii.

Kungonoka hakuna mwenyewe, mfano kuna mama mchungaji mmoja hapa maeneo ya jirani nilikuwa namchukulia poa aseeeee kilichotokea siku tatu zilizopita ni hatari lakini salama. Mama anatiana yuleeee ni shida aseeee
Bila picha ya Mama mchungaji ni uzushi tu.[emoji706]
 
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha.

Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za nchi wala kukiuka maadili mf. kusafiri, kutalii, kula vizuri ku meditate., Kusoma vitabu , kujifunza new hobbies, ku appreciate nature n.k .
Nitajie starehe yyte kubwa ambayo unaweza kuifanya ukaenjoy bila ya kuwa na mwanamke
 
Back
Top Bottom