Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

Kuna jamaa alitumbuliwa kipindi cha awamu ya tatu sekta ya ualimu, hadi leo anadai hajui jinsia ya kike

hivyo, nihitimishe kwa mfano huo!
 
Inawezekana ila kama utafanya utaratibu wa kuvuruga mfumo wako wa hormone ukaondosha kabisa testosterone kwa mwanaume au oestrogen kwa mwanamke! Utaishi kwa amani wala hutasikia mtalimbo kuwasha au papuchi kutekenya!

Kinyume na hapo wataleta mrejesho wakuu!
 
Vyakula gani kwa mfano hupunguza hizo hormones?! Au mazoezi gani?! Au life style gani hufisha/huua hizo hormones
 
Inawezekana lakini kwanza unatakiwa uwe na matatizo ya kiafya! Kama ni mwanaume itakubidi uwe na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na kama ni mwanamke pia itakubidi uwe na tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi kabisa!
 
Kuna kotu kinaitwa natural yani huwezi kinzana nacho. Hii kitu umeuliza its possible kama hauko vizur kiafya ya uzazi ila otherwise haiwezekan. Kuna mtu hapo juu katuambia alikaa 2 years na akawa okay siamin na kama kweli kuna option alitumia kubwa ni kijichua. As long as ni mwanadam na unakula hiyo kitu haiepukiki labda ukubali kuingia gharama.
Kwa wanaume namaanisha unapokaa bila sex kwa labda tuseme mwez tu japo ni paref utaanza kusumbuliwa na wet dreams yan kwa miez miwili utakua ni mwenyeji wakubadilisha mashuka hiyo kitu itakutokea hata kwa wiki mara mbili tatu and beleave me wanaume tunachukia sana hii kitu coz sometimes inaweza kukutokea na ukawa hukimbuki ilikuaje na mzigo unaotoka sometimes ni kama umejikojolea kabisaa so hapo tunarudi pale juu kwamba huwez shindana na natural mwili wa mwanadam nazungumzia sisi wanaume sijui kuhus wanawake tumeumbwa hivo
 
Kwenye hiyo sekta sidhani kama kuna mpole Chakorii.

Kungonoka hakuna mwenyewe, mfano kuna mama mchungaji mmoja hapa maeneo ya jirani nilikuwa namchukulia poa aseeeee kilichotokea siku tatu zilizopita ni hatari lakini salama. Mama anatiana yuleeee ni shida aseeee
Koo habari za mama mchungaji umekuja kuzimwaga huku..... Wazee wa miaka hii wambea mbea

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Vyakula gani kwa mfano hupunguza hizo hormones?! Au mazoezi gani?! Au life style gani hufisha/huua hizo hormones
Kwahio mtoto mzuri kama wewe usilike jamani! Hapana naogopa kukwambia 😌
 
Kwani mapadri wanasemaje kuhusu hili??

Inawezekana lakini lazima ujue mamna ya ku channel hiyo energy kwaajili ya kufanyia mambo bora zaidi
 
Inawezekana kama ukiwa na jambo jengine lakini huwezi kusema tu hivi hivi naacha pombe wakati huna ela ya kununua.
 
Mchango wangu ni kwa wasio oa wala kuolewa.

INAWEZEKANA SANA,NAMIMI niliwahi sikia haiwezekani ila nimekuja jua kuwa hamu ya sex ni mind set tu ndomana ukiwa na mitikasi fulani imekubana hata ukiwa na mpenzi unajikuta huna hamu mpaka umalize mishe zako.

Mimi tangu niamue kutofanya nina mwaka na miezi mitatu na niko sooo fine sina shida yoyote ile,na sifanyi mpaka nioe.

Acheni uzinzi ndugu zangu
 
Ukiacha wewe uzinzi inatosha
 
Ni ngumu,LA sivyo utaishia jela kwa kubaka kuku
 
Nimejaribu kutafakari sana hili swala, je mfano mtu anaweza kufurahia haya maisha pasipo kufanya AINA YOYOTE YA MAPENZI Na akaishi peacefully life? Nimejikuta najiuliza hili swali sana mara kadha wa kadha

Yaani mtu akafurahia maisha kwa kufanya starehe zingine ambazo hazikinzani na sheria za nchi wala kukiuka maadili mf. kusafiri, kutalii, kula vizuri ku meditate., Kusoma vitabu , kujifunza new hobbies, ku appreciate nature n.k .
Sex ipi?
 
Mchango wangu ni kwa wasio oa wala kuolewa.

INAWEZEKANA SANA,NAMIMI niliwahi sikia haiwezekani ila nimekuja jua kuwa hamu ya sex ni mind set tu ndomana ukiwa na mitikasi fulani imekubana hata ukiwa na mpenzi unajikuta huna hamu mpaka umalize mishe zako.

Mimi tangu niamue kutofanya nina mwaka na miezi mitatu na niko sooo fine sina shida yoyote ile,na sifanyi mpaka nioe.

Acheni uzinzi ndugu zangu
Na Mimi naanza Leo tarehe 1 May 2021

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom