We jamaa wewe!Inawezekana ila kama utafanya utaratibu wa kuvuruga mfumo wako wa hormone ukaondosha kabisa testosterone kwa mwanaume au oestrogen kwa mwanamke! Utaishi kwa amani wala hutasikia mtalimbo kuwasha au papuchi kutekenya!
Kinyume na hapo wataleta mrejesho wakuu!
Kasema maisha yako yote sio miaka miwiliInawezekana kabisa, mapenzi ni mindset tu
Nishawahi kukaa 2 yrs bila bila, na nilikuwa tu very happy na mambo yangu. Ila nilityuni mindset ivo
Utafanya starehe zote ila mwishowe lazima umalizie na kugegeda.Labda uwe na tatizo la kiafya!
Na hilo tatizo lisikupate ukubwani ,namaanisha uwe hujawahi kuonja rahaa ya kupendwa/kupenda na hujui utamu wa mbususu kabisa ndo unaweza kuishi kwa rahaa bila kufanya ivo.
Lakini bado me naona roho itakuwa inakuuma tu.
Yaani una Pesa zako flesh alafu pisi kari ni unaziangalia tu.[emoji28] huna mtoto wala nini!!
Sasa Pesa unakuwa unatafuta za nini?? Ujenge ili iweje sasa??
Mkuu samahani kama ntakuwa nimetoka nje ya mada kidogo.
Una katatizo kanakokusumbua kiafya kuhusu mgegedo????? Maana mpaka unawaza ivi sio bure[emoji848]