Je, inawezekana kuyafurahia maisha pasipo sex?

Kuwa jobless uone kama sex ni itakupa furaha maishani. Kwa kifupi furaha yako ikitegemea kitu, hiko kitu kitakutesa sana ikiwa utakikosa. Nafikiri furaha ni kula na kulala kwa uhuru.

Tena jobless sex ndo mfariji wetu mkuu tafiti kati ya masikin na tajir nan wanazaa sana huhuhu
 
Mbalizi katika ubora wako [emoji23][emoji23][emoji23] Valentina una swali lingine?[emoji23][emoji23]
 
Wanaume tunaweza sana sana, ila wake zetu ndiyo kipingamizi, nilitishiwa kuachwa kama nitamnyima utamu! Wanaume tunapata shida sana sana...🤐🤐🤐
 
Unaweza kama ukiwa na hobby I nayo ku satisfy. Inaweza kuwa kukimbia, kuogegelea nk. Ninakumbuka katika malezi ya vijana hasa wanaobalehe tuliwashauri wakipata hisia wafanye shughuli inayowatoa jasho.
Unazijua nyege za baleghe au unazisikia
 
Mbalizi baba asante kwa kunitoa ute asubuhi yote hii
 
Sasa ukivuruga mfumo wa homoni halafu Mungu akakujaalia ukaingia Peponi utakulaje mizigo kule peponi?
 
Ndio inawezekana kwa mfano mimi kuna vitu ambavyo nikiwa navyo huwa vinatoa hisia zangu zote kwenye mapenz. Nikpigaa gitaa na kiendesha pikipiki zile kubwaa hua napata rahaa ambayo mwanamke hawez nipaa
 
Unaweza kama ukiwa na hobby I nayo ku satisfy. Inaweza kuwa kukimbia, kuogegelea nk. Ninakumbuka katika malezi ya vijana hasa wanaobalehe tuliwashauri wakipata hisia wafanye shughuli inayowatoa jasho.
My sister nakuelewaga sana comment zako
Je siri iko wapi hapo kwenye jasho?
 
@Extrovert Mungu anahekma zake kutuumba namna tulivyo, eti uharibu mifumo. Ile reaction ya mvutano inaanzishwa na akili sio chengine chochote, kwaiyo hata uharibu mitambo kama una akili vyema raghba ama hamu ya kufanya yale mambo itakujia tuu pindi utakapomuona mtanashati ama mrembo na akakuvutie kimapenzi, ikiwa umegharibu mitambo utatulizana kimya kwakuwa hunalako jambo.

Mzee baba Extrovert haya mambo ya yananza kwenye akili, na ndio maana kuna wanajamvi hapa wanasema kuwa ni mind set ila huwezi kufurahia maisha katu nje ya starehe maridadi ya asili enzi na enzi hata uwe na mbadala mzuri ulioje. Katu katu abadan maisha bila ya tendo lile hayawi na furaha kinachobakia ni mind set ya mwanaadamu na mipango yake tuu ya kiutu hapa duniani.
 
Kuna wanaofurahia nadhani ndio maana wanaamua kuwa machoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…