Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Haahaa !!Alafu watu wawe wanalamba beer, alafu baar wanakaaje kulamba beer
Inawezekana lakini haitaitwa Beer,kule vijijini nimeona wakitengeneza pombe kwa kutumia Mahindi,ina jina lake nimesahau.Bia ina process zake za utengenezaji, kuiweka kwenye state ya unga utakua ushaondoa sifa ya kuitwa bia.
Bia ni bidhaa kama bidhaa nyingine.Bia ina process zake za utengenezaji, kuiweka kwenye state ya unga utakua ushaondoa sifa ya kuitwa bia.
Haahaa yote heri. Basi sawa boss.Inawezekana, lakini itaitwa cocaine badala ya beer
Haahaa brother.Halafu ikiwa in form of unga lugha itabadilika from 'daah niko nagonga vyombo huku sinza' na itakua 'duuh niko nalamba Unga huku sinza mzee baba'.
Mkuu mbona hizi soda za supadipu hazikuitwa cocaine?Inawezekana, lakini itaitwa cocaine badala ya beer
Hahah daah itachukua muda kidogo kuzoea mkuu.Haahaa brother.
Inawezekana mbona kubadili lugha mzee baba haahaa.
HaahaaHahah daah itachukua muda kidogo kuzoea mkuu.
Jamaa wa kule korea kaskazini walianza kuzitengeneza bia ambazo hazina hangover,najua huo mfano wangu nimeenda nje ya point lkn nimejaribu kuonyesha tu nadhani modifications nyingi tu zinaweza kufanyika kuhusiana na bia so hata kua inform of unga wanaweza wajomba wakiamua mkuu.
Kumbe Supadipu zilikua zinalewesha?Mkuu mbona hizi soda za supadipu hazikuitwa cocaine?
Ni soda ktk mfumo wa unga, kwa hiyo cocaine nikiidailyuti ikawa ktk mfumo wa kimiminika tayari inageuka kuwa bia na naweza kwenda kunywa hata pale pembeni ya polisi central?Kumbe Supadipu zilikua zinalewesha?
Sikua najua aisee.
Supadipu ilikua haieleweshi ndio maana isingeweza kuitwa/kufananishwa na White gold/coke.Ni soda ktk mfumo wa unga, kwa hiyo cocaine nikiidailyuti ikawa ktk mfumo wa kimiminika tayari inageuka kuwa bia na naweza kwenda kunywa hata pale pembeni ya polisi central?