Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Habari Tanzania!
Kwa wale wataalamu na wabobezi wa vileo, naomba kuuliza eti inawezekana kuzalisha bia ya unga na sio kimiminika kama zilivvyo nyingine?
Mfano mtu unaifunga kwa kiwango tofauti aidha gramu au kilogramu kulingana na soko.
Karibu.