Je, inawezekana kuzalisha Bia ya unga?

Uko sawa point yangu ilkuwa hata beer ikiwa ktk mfumo wa unga ibaki kuwa named as beer hivyo hivyo!
 
Inawezekana, ila itakuwa sio beer yenye kimea halisi kama hizi tulizozizoea. It will be more of chemical ingredients ambazo utapozichanganya na maji zitatoa kilevya.
 
Naona haya mawazo ni ya nyimbo ya FA ile ingekuwa vipi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hahah nilikua nakumbuka kuna wimbo humo ndani imetajwa foma gold na kibo gold lkn nilikua najiuliza ni msanii gani kaimba hii mambo.,hahah
 
Huko kwetu vijijini kuna pombe ya ulezi ya kienyeji huwa inatengenezwa inakuwa kama mabumunda hivi (solid)
Ukitaka kuinywa unachemsha maji unatumbukiza hilo bumunda la pombe unakoroga unapata pombe mara nyingi wanainywa kwa kutumia Mirija ya kienyeji.
 
Hahah nilikua nakumbuka kuna wimbo humo ndani imetajwa foma gold na kibo gold lkn nilikua najiuliza ni msanii gani kaimba hii mambo.,hahah
Ukisikiliza ingekuwa vipi utapata idea nyingi sana za ajabu na fikirishi.
 
Duh !

Hiyo bia inamaana kama wameweza kuiweka katika 'solid form' inawezekana sasa kuisafirisha mpaka 'powder form' boss.

Hiyo bia inapatikana mkoa gani kiongozi?
 
Yawezekana,km sijakosea mwaka jana Kuna kampuni kubwa tu ya beer India ilizindua beer za unga zinaitwa kingfisher instant beer packet.
Oooohoo sasa ndio mambo maji njoo maji kimbia.
 
Ukisikiliza ingekuwa vipi utapata idea nyingi sana za ajabu na fikirishi.
hahah Kweli mkuu,sasa ukitoka hapo then ukasikiliza Kwangwaruu au jeje unaishia kutoka umedindish.. tu,wala huingizi kitu kipya kingine kichwani mkuu.
 
Inawezekana, ila itakuwa sio beer yenye kimea halisi kama hizi tulizozizoea. It will be more of chemical ingredients ambazo utapozichanganya na maji zitatoa kilevya.
Duh !

Eti kwanini maziwa ya ng'ombe ni asilia (natural liquid form) lakini yanabadirishwa na kuingia katika mfumo wa unga (powder form)?
 
Ile gass yake ikitikiswa tuu huo mlipuko kama boom laFFU lile la machozi[emoji23][emoji23]
 
Duh !

Eti kwanini maziwa ya ng'ombe ni asilia (natural liquid form) lakini yanabadirishwa na kuingia katika mfumo wa unga (powder form)?
Powdered milk ni natural kabisa, yanakuwa derived from liquid milk by spray drying method.

Lengo kubwa la ku convert ni kuongeza shelf life (muda ambao yatakua mazima bila kuharibika) since we all know that liquid foods are highly affected by microbial activities compare to dry foods.

Ingawa kuna sababu nyingine za kibiashara kama vile kurahisisha packaging na distribution pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…