Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania?

Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania?

Joined
Aug 11, 2024
Posts
79
Reaction score
172
Habari wana jf.

Nimejiuliza labda nimechelewa kupata ufahamu wa hili jambo. Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa Zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania.

Akapata haki ya ku miliki (ardhi) na fursa za ajira zinazo tangazwa kwa wazanzibari pekee?

Kwani wa zenji wanafursa bala na zanzibar
 
Kule hamna issue mwanangu labda uende ukiwa investor mkubwa ila ukiwa kajambe nani utanyanyasika sana.
 
Back
Top Bottom