Kuna jamaa kwa Sasa atakuwa na miaka 35 ya kuzaliwa. Yupo bank moja Dar es Salaam. Hata miaka mitano hajafikisha. Jamaa ana nyumba nyingi aisee..
Hostel na frame za biashara Kigamboni. Nyumba kwa ajili ya apartment. Jamaa hana cheo wala nini. Kazini alikuwa anaenda na baiskeli na alikuwa amepanga room mbili. Ila kwasasa kajenga kwake.
Jamaa ni mbahili,mademu akiishi nao wanamkimbia . Kitu Cha anasa kwake kumuonya nacho ni maji ya kunywa ya chupa. Zaidi ya hapo Hapana.
Mademu walikuwa wanachambua dagaa kilasiku. Halafu yeye anajenga katikati ya mji sio site. Ananunua nyumba ya mtu anajenga