Wanabodi..
Naomb kuuliza, je inawezekana mtoto aliyezaliwa na maambuki ya HIV kukaa hadi miaka 5-7 bila kuonyesha dalili yoyote ya kiafya na hatumii dawa yoyote?
Huwa inachukua muda gani mtu kuanza kuonyesha dalili za kuwa na maambukizi? Je, mtu anaweza kukaa hata miaka 5-10 na hutumii dawa na haonyeshi dalili zozote?