Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


Na kwann awasisitizi katika kutibu magonjwa nyemelezi badala yake wanasisitiza matumizi ya ARVs? Kwan haya magonjwa nyemelezi hayatibiki?
 
Last edited by a moderator:

Uvundo mtupu.Hujajibu swali la msingi halafu theory kibao.Hizo theories hata mimi ninazo,siziandiki kwa kuwa najua watu hawataelewa,ila mifano hai katika maisha ndio itakayowafanya watu waelewe.Kama theories haziendani na ukweli ujue hamna kitu hapo.

Angalia hapo kwenye nyekundu ulivyoweka uvundo.Yaani wewe ukisema una uhakika lazima alishapoteza maisha basi ndio unataka tukuamini?
Je unajua wakati umempima na kugundua ana idadi hiyo ya CD4 alikuwa katika hali hiyo muda gani kabla hujampima?
Yaani ninyi mnapenda sana kung'ang'ania nadharia hata kama haziendani na uhalisia.Kwa hiyo baada ya kukosa theory ya kufoji kuelezea mkanganyiko huu ndio umejibu hizi pumba kwamba atakuwa ameshapoteza maisha?Kwa hiyo ile imani uliyokuwa nayo kwamba mungu ndiye amemsaidia mpaka kufika hali ile imepotea?Kwa nini usiendelee basi kuamini kwamba mungu bado anamsaidia na badala yake unasema atakuwa amepoteza maisha?

Mmmh!!!Hapa hamna suluhu.Ngoja niandae hitimisho langu watu wasome na waamue wenyewe.
 

Kama umefuatilia huu mjadala toka mwanzo nadhani Deception kayazungumzia haya yote mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Kama umefuatilia huu mjadala toka mwanzo nadhani Deception kayazungumzia haya yote mkuu..
Kasema wapi?Angekuwa kasema nisingeuliza na huoni anakwepa kujibu.Hajasema mechanism of action of how ARVS zinasababisha ukimwi.Kila dawa ikiingia mwilini kuna jinsi inafanya kazi aseme how inasababisha ukimwi.Kama amesema plizzz enlighten me!NB:Usijichanganye kwamba side effects za dawa ndio zinasababisha UKIMWI.
 

Kwa mawazo yako wewe unajua kwamba mimi sijui details.Lakini hujui kwamba utafiti wangu uli base kwenye hizo details zenu huku nikilanganisha na details za ma Profesa wanaopinga details zenu na kulinganisha na uhalisia ulivyo.Details zenu zimeshindwa kabisa.Hazina ukweli hata kidogo.Kama huamini lete details zako halafu uone nitakavyokuaibisha.Usiniulize mimi nikupe details.Hapa ndipo utakapothibitisha kama kweli mimi nipo shallow.

...Ukisema ARV inasababisha ukimwi unapaswa useme how???Halafu kama huna lakunijibu usiniquote zaidi.Thanx in advance.

Nadhani hata wewe mwenyewe umeshajingundua kama una matatizo ya kifikra.Swali hilo nilishakujibu ukakimbia.Sasa umejileta mwenyewe.Je,unakumbuka maelezo haya chini?


Sasa wewe pinga.
 

ujue sku elewi ebu angalia maswal nilie kuulza kwny hyo post..! naona kila unapo eleweshwa una kimbila kusema theory ebu naomba unitajie theory ni zp kwenye hyo quote na unieleze pia ukwel ni upi juu ya hzo theory...!
 

Nimeshakujibu angalia.Kama ukiona bado utaniambia nikupe scientific paper inayoelezea details zaidi.Ila nina wasiwasi kwamba utasema ni speculations,maana ndio neno lililopo kwenye lips zako.
 
ujue sku elewi ebu angalia maswal nilie kuulza kwny hyo post..! naona kila unapo eleweshwa una kimbila kusema theory ebu naomba unitajie theory ni zp kwenye hyo quote na unieleze pia ukwel ni upi juu ya hzo theory...!

Wewe mwenyewe hujui kwamba ulitoa theory?Au sema mwenyewe,ulichotoa nini kama sio theory.
Mimi nilichofanya,nimelinganisha theory zako na uhalisia halafu nikakuuliza kwamba,ni kwa vipi yule mtu alikuwa na CD4 chache mno halafu bado alikuwa na afya njema?
Sasa hukujibu hilo swali,mimi nakusubiri ujibu.Na wana JF pia wanakusubiri ujibu ili wakuamini kwamba theory ulizotoa ni za kweli.Vinginevyo nitakusamehe kama utasema mungu alimsaidia.
 

jaribu kuelewa kinacho andkwa nmesema still bado alkuwa ana tembea na syo ana afya njema....hii nku maanisha kuwa syo kla anae tembea ana afya njema...! mimi ninacho taka kwako ni utoe ushaidi theory ni zipi kwenye post yangu hapo juu..!? na kama ni theory zisizo na mshko yapi majbu yake....!?? unadai syo HIV virus pekee wanao shambulia T lymphocytes(CD4) je nikip kingne knacho shambulia...!"? uki jibu hayo maswali yangu ndio utafanya bijue nabishana na.m2 mwenye uwelewa au mropokaji...!!!
 
 

Ungejua unaongea na mtu wa aina gani wala usingesema yote hayo.

jaribu kuelewa kinacho andkwa nmesema still bado alkuwa ana tembea na syo ana afya njema....hii nku maanisha kuwa syo kla anae tembea ana afya njema...!

angalia hapo chini matapishi yako mwenyewe.


Tuendelee.
mimi ninacho taka kwako ni utoe ushaidi theory ni zipi kwenye post yangu hapo juu..!? na kama ni theory zisizo na mshko yapi majbu yake....!?? ..

Unaona unavyojichanganya?Kwanza unauliza theory ni zipi kwenye post yako,halafu unaniuliza kama theory zako hazina mashiko nikupe majibu yake.
Sina uhakika kama najadiliana na mtu anayejielewa vizuri.Na ndio maana nilikuuliza kwamba,kama ulichoeleza kwenye post yako sio theory ni nini basi?Umeona jinsi nilivyotaka kukuokoa na hii aibu?

unadai syo HIV virus pekee wanao shambulia T lymphocytes(CD4) je nikip kingne knacho shambulia...!"? uki jibu hayo maswali yangu ndio utafanya bijue nabishana na.m2 mwenye uwelewa au mropokaji...!!!

Sasa unatakiwa na wewe uni quote wapi nimesema hivyo ili wana JF wakuamini.Mwenzako anajua ndio maana anaingia kwa woga na ujanja ujanja.
 

usiku mwema umenkuta na akili zangu za usiku..!
 
madokta wamekimbia wanaenda kupekua notes@definition kala matapish yake kaenda kulala .aiseeee we deception ni mtu mbaya sana.umenifanya adi najichekea mwenyewe.jamaa wamekuja na miterminologies ya ajabu ili sisi tutoke kapa.lakini kumbe wamedandia treni kwa mbele.wanauliza vitu ambavyo vingi vilishatolewa ufafanuzi mda tu.nashindwa kuelewa ni wavivu wa kusoma au??kama wanashindwa kupitia uzi huu wa page 40 hayo mavitabu ya maugonjwa na maresearch wanapataga mda kwelibwa kuyapitia???
 

Huyu jamaa yuko vizuri,anaongea kwa facts na sio kwa hisia kama wengi wetu tunavyobisha kwa hoja ya nguvu na sio nguvu ya hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…