Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Jibu Naona Amelitoa kuwa Ni Magonjwa mengine Kama TB n.k

ILA NIMEFIKIRIA JAMBO MOJA. KUNA KAMPENI INASEMA HIV HAISABABISHI KUDHOOFIKA ILA MAGONJWA NYEMELEZI.

Hii inanifanya niunganishe Dots za Deception na Kugundua kuwa Tunapigana Na Magonjwa Nyemelezi na Wala Si HIV

Na kwann awasisitizi katika kutibu magonjwa nyemelezi badala yake wanasisitiza matumizi ya ARVs? Kwan haya magonjwa nyemelezi hayatibiki?
 
Last edited by a moderator:
haaaaa tangulini ukasikia kuna isolation ya virus only virus ninaye jua nafanyiwa isolation nrabies by using NEGRI BODIES NA TISSUE CULTURE... haya yako wazi HIV VIRUS hawez fanyiwa isolation(CULTURE) kwakuwa ni INTRACELLULAR & NO SPECIFIC CULTURE MEDIA FOR THE HIV VIRUSES GROWTH..KAMA ZILIVYO MCA,BA,CA&SDA......IVYO ACHA ULIZA MASWALI YASIYO NA MSHIKO YANAYO JULIKANIKA MAJIBU... !!"
UKI NGA'NG'ANIA ISOLATION NTAKULIZA MBNA HAEMOPARASITE( INTRACELLULAR) SUCH US PLASMODIUM SPECIES& LEISMANIA SPECIES....HAWAFANYIWI ISOLATION LAKINI NI POSSIBLE KUWAFANYIA LABORATORY DIAGNOSIS...!??? VIRUSES SUCH US PAPOVAVORUSES(POLYOMA&SV40) NAO MBNA WANAONEKANA BILA ISOLATION...??? IVYO BASI ISOLATION SYO LAZMA ILI KUWEZA KUFANYA INVESTGATION YA INFECTED VIRUSES KWAN WANAWEZA ONEKANA BILA STAIN...CHA MSINGI NI +VE SPECIMEN....
NIKIRUDI KWENYE SWALA LA MPRPHOLOGICAL FETURE VIRUS ANA UKUBWA WA 20-30nm IVYP UTAONA KUWA VIRUS NDO KIUMBE PEKEE KWA UDOGO DUNIANI BADO HAKIJA PATIKANA KINGINE ZAIDI YAKE...!!!! REFER monica chesbrogh medical laboratpry in tropical countries...

NIRUDI KWENYE SWALI LA CD4 NAOMBA WW UNII JBU NI NINI KINACHO SABABISHA CD4 KUWA BELOW NORMAL RANGE 100.. KAMA UMESEMA SIYO HIV...???????!!!! PIA UMESEMA CD4 SYO MUHIMU KWA BINADAMU KIWEZA KUISHI ...JE NIKULIZE MWILI UNAWEZA VP KUJIENDESHA BILA KIWA NA NATURAL IMMUNITY ZAKU KULINDA NA PATHOGENI INFECTION..!!???????
ABT PATIENT ALYE KUWA NA CD4 BELOW NORMAL RANGE UYO NA HUWAKIKA LAZMA ALISHA POTEZA MAISHA....

Uvundo mtupu.Hujajibu swali la msingi halafu theory kibao.Hizo theories hata mimi ninazo,siziandiki kwa kuwa najua watu hawataelewa,ila mifano hai katika maisha ndio itakayowafanya watu waelewe.Kama theories haziendani na ukweli ujue hamna kitu hapo.

Angalia hapo kwenye nyekundu ulivyoweka uvundo.Yaani wewe ukisema una uhakika lazima alishapoteza maisha basi ndio unataka tukuamini?
Je unajua wakati umempima na kugundua ana idadi hiyo ya CD4 alikuwa katika hali hiyo muda gani kabla hujampima?
Yaani ninyi mnapenda sana kung'ang'ania nadharia hata kama haziendani na uhalisia.Kwa hiyo baada ya kukosa theory ya kufoji kuelezea mkanganyiko huu ndio umejibu hizi pumba kwamba atakuwa ameshapoteza maisha?Kwa hiyo ile imani uliyokuwa nayo kwamba mungu ndiye amemsaidia mpaka kufika hali ile imepotea?Kwa nini usiendelee basi kuamini kwamba mungu bado anamsaidia na badala yake unasema atakuwa amepoteza maisha?

Mmmh!!!Hapa hamna suluhu.Ngoja niandae hitimisho langu watu wasome na waamue wenyewe.
 
Upo shallow Deception kama unataka watu wakuelewe unasema nini lazima uanze kwenye basics wengi wanalalamika lugha nyingi ya kitaaluma inatumika kwasababu hawana knowledge ya lugha hio kwahio ni vyema ukianza kutengeneza ground foundation halafu ndio ulete hoja zako utueleze virusi ni nini na anajizalisha vipi na anathiri vipi.Kisha utueleze hizo ARVs ni nini na inakuwaje zinasababisha madhara uyasemayo auutupe na mechanism of action.Hio ndio tofauti yangu na yako wewe unarukia mambo juu kwa juu bila kufikiria vyanzo vya matatizo mm nipo detail oriented.Ukisema ARV inasababisha ukimwi unapaswa useme how???Halafu kama huna lakunijibu usiniquote zaidi.Thanx in advance.

Kama umefuatilia huu mjadala toka mwanzo nadhani Deception kayazungumzia haya yote mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Kama umefuatilia huu mjadala toka mwanzo nadhani Deception kayazungumzia haya yote mkuu..
Kasema wapi?Angekuwa kasema nisingeuliza na huoni anakwepa kujibu.Hajasema mechanism of action of how ARVS zinasababisha ukimwi.Kila dawa ikiingia mwilini kuna jinsi inafanya kazi aseme how inasababisha ukimwi.Kama amesema plizzz enlighten me!NB:Usijichanganye kwamba side effects za dawa ndio zinasababisha UKIMWI.
 
Upo shallow Deception kama unataka watu wakuelewe unasema nini lazima uanze kwenye basics wengi wanalalamika lugha nyingi ya kitaaluma inatumika kwasababu hawana knowledge ya lugha hio kwahio ni vyema ukianza kutengeneza ground foundation halafu ndio ulete hoja zako utueleze virusi ni nini na anajizalisha vipi na anathiri vipi.Kisha utueleze hizo ARVs ni nini na inakuwaje zinasababisha madhara uyasemayo auutupe na mechanism of action.Hio ndio tofauti yangu na yako wewe unarukia mambo juu kwa juu bila kufikiria vyanzo vya matatizo mm nipo detail oriented...

Kwa mawazo yako wewe unajua kwamba mimi sijui details.Lakini hujui kwamba utafiti wangu uli base kwenye hizo details zenu huku nikilanganisha na details za ma Profesa wanaopinga details zenu na kulinganisha na uhalisia ulivyo.Details zenu zimeshindwa kabisa.Hazina ukweli hata kidogo.Kama huamini lete details zako halafu uone nitakavyokuaibisha.Usiniulize mimi nikupe details.Hapa ndipo utakapothibitisha kama kweli mimi nipo shallow.

...Ukisema ARV inasababisha ukimwi unapaswa useme how???Halafu kama huna lakunijibu usiniquote zaidi.Thanx in advance.

Nadhani hata wewe mwenyewe umeshajingundua kama una matatizo ya kifikra.Swali hilo nilishakujibu ukakimbia.Sasa umejileta mwenyewe.Je,unakumbuka maelezo haya chini?

......Hebu tuchukue mfano wa ARVs mojawapo inayoitwa Tenofovir Disoproxil Fumarate(TDF) ambayo inatumika na wagonjwa wengi wa AIDS,najua hapa nimekufikisha nyumbani kwako.
Dawa hii kwenye warning zake inasema "It can cause serious,life-threatening side effects.These include lactic acidosis and severe liver problems."
Najua unajua kwamba kiwango salama cha acid/alkali kwenye damu(yaani pH) ni 7.365,maana yake damu inatakiwa iwe slightly alkaline ili kinga ya mwili iweze kufanya kazi yake vizuri.Chini ya kiwango hicho ni majanga matupu,utakuwa na magonjwa yasiyohesabika na yasiyoisha mpaka unakufa.Najua mpaka hapa huna cha kupinga,labda urekebishe kidogo sana.
Sasa kama acid itajijenga kwenye damu yako,maana yake pH ya damu yako ita drop na kuwa chini ya 7.365.ARVs na specifically hii TDF ndivyo inavyofanya kwenye damu za wale wanaoitumia.TDF inaongeza kiwango cha acid kwenye damu.Acid ni sumu kwenye damu,acid inapokuwa nyingi INI haliwezi kufanya kazi yake inavyotakiwa na ndio maana kwenye dawa hizo severe liver problems imetajwa kama mojawapo ya effects.
Pia najua unajua ya kwamba kama damu ina acid nyingi,hewa ya oxygen inapungua sana hivyo seli za damu zinakosa oxygen ya kutosha kufanya kazi yake,najua unajua nini kinatokea kama seli za damu zitakosa oxygen.Hata wewe mwenye ukikosa oxygen unajua kitakutokea nini.Hapa najua huna hoja ya kupinga pia.

Sasa kutokana na ukweli huo,Je,ARVs hazisababishi mapungufu kwenye kinga?Na kutokana na effects hizo ndio maana magonjwa mengi sana huzaliwa kwa wale ambao wametumia ARVs muda mrefu.Baadhi ya magonjwa hayo ni kama vile;
-Cancer:Ukimpima mgonjwa yeyote wa cancer lazima utakuta damu yake ni acidic(yaani pH yake ni chini ya 7.365)
-Ini
-Figo
-Anaemia
-Heart disease
nk.

Fanya uchunguzi kwa wagonjwa wote waliolazwa mahospitalini,lazima utawakuta na moja/mawili/matatu.... kati ya magonjwa niliyotaja hapo juu.
Kuhusu cancer,usifikiri kama zile NGO za mambo ya HIV/AIDS zilivyoanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya cervical cancer kwa wanawake ilikuwa ni coincidence.Hiyo cancer inasababishwa na ARVs,fanya uchunguzi wewe mwenyewe kama una muda.
Hivyo basi,nataka nikwambie kwamba ARVs zinasababisha AIDS,hii sio speculation ndugu yangu,its real.Kama unataka evidence tena kuhusu hizo side effects niambie nitakupa....

Sasa wewe pinga.
 
Uvundo mtupu.Hujajibu swali la msingi halafu theory kibao.Hizo theories hata mimi ninazo,siziandiki kwa kuwa najua watu hawataelewa,ila mifano hai katika maisha ndio itakayowafanya watu waelewe.Kama theories haziendani na ukweli ujue hamna kitu hapo.

Angalia hapo kwenye nyekundu ulivyoweka uvundo.Yaani wewe ukisema una uhakika lazima alishapoteza maisha basi ndio unataka tukuamini?
Je unajua wakati umempima na kugundua ana idadi hiyo ya CD4 alikuwa katika hali hiyo muda gani kabla hujampima?
Yaani ninyi mnapenda sana kung'ang'ania nadharia hata kama haziendani na uhalisia.Kwa hiyo baada ya kukosa theory ya kufoji kuelezea mkanganyiko huu ndio umejibu hizi pumba kwamba atakuwa ameshapoteza maisha?Kwa hiyo ile imani uliyokuwa nayo kwamba mungu ndiye amemsaidia mpaka kufika hali ile imepotea?Kwa nini usiendelee basi kuamini kwamba mungu bado anamsaidia na badala yake unasema atakuwa amepoteza maisha?

Mmmh!!!Hapa hamna suluhu.Ngoja niandae hitimisho langu watu wasome na waamue wenyewe.

ujue sku elewi ebu angalia maswal nilie kuulza kwny hyo post..! naona kila unapo eleweshwa una kimbila kusema theory ebu naomba unitajie theory ni zp kwenye hyo quote na unieleze pia ukwel ni upi juu ya hzo theory...!
 
Kasema wapi?Angekuwa kasema nisingeuliza na huoni anakwepa kujibu.Hajasema mechanism of action of how ARVS zinasababisha ukimwi.Kila dawa ikiingia mwilini kuna jinsi inafanya kazi aseme how inasababisha ukimwi.Kama amesema plizzz enlighten me!NB:Usijichanganye kwamba side effects za dawa ndio zinasababisha UKIMWI.

Nimeshakujibu angalia.Kama ukiona bado utaniambia nikupe scientific paper inayoelezea details zaidi.Ila nina wasiwasi kwamba utasema ni speculations,maana ndio neno lililopo kwenye lips zako.
 
ujue sku elewi ebu angalia maswal nilie kuulza kwny hyo post..! naona kila unapo eleweshwa una kimbila kusema theory ebu naomba unitajie theory ni zp kwenye hyo quote na unieleze pia ukwel ni upi juu ya hzo theory...!

Wewe mwenyewe hujui kwamba ulitoa theory?Au sema mwenyewe,ulichotoa nini kama sio theory.
Mimi nilichofanya,nimelinganisha theory zako na uhalisia halafu nikakuuliza kwamba,ni kwa vipi yule mtu alikuwa na CD4 chache mno halafu bado alikuwa na afya njema?
Sasa hukujibu hilo swali,mimi nakusubiri ujibu.Na wana JF pia wanakusubiri ujibu ili wakuamini kwamba theory ulizotoa ni za kweli.Vinginevyo nitakusamehe kama utasema mungu alimsaidia.
 
jaribu kuelewa kinacho andkwa nmesema still bado alkuwa ana tembea na syo ana afya njema....hii nku maanisha kuwa syo kla anae tembea ana afya njema...! mimi ninacho taka kwako ni utoe ushaidi theory ni zipi kwenye post yangu hapo juu..!? na kama ni theory zisizo na mshko yapi majbu yake....!?? unadai syo HIV virus pekee wanao shambulia T lymphocytes(CD4) je nikip kingne knacho shambulia...!"? uki jibu hayo maswali yangu ndio utafanya bijue nabishana na.m2 mwenye uwelewa au mropokaji...!!!
 
Totally brainwashed,mtoto wangu simpeleki akasomee tiba za magharibi hata kidogo.Bado unaamini kwenye chanjo?Mtoto wangu nimemzuia kupata chanjo kwa nguvu na mpaka leo yuko safi.Bibi na babu zetu hawakupata hizo chanjo na hawakuumwa umwa kama miaka yetu tunavyoumwa pamoja na lundo la chanjo,unafiki mtupu na ukosefu wa elimu sahihi.
Hata hiyo Ebola ni feki pia,ila sina muda kwa sasa kulizungumzia hilo.Ukiniuliza kuhusu chanjo,nina uthibitisho mwingi tu kwamba ndizo zinazosababisha udhaifu kwa watoto wetu,na ukiniuliza kuhusu Ebola,nina uthibitisho kwamba huu ni ugonjwa feki,watu wanachokiona kwenye TV si kitu halisi.Wewe umeshajiuliza,kama wananchi wa nchi zilizoathirika na ebola wanasema kwamba ebola ni feki,kwa nini wewe ambaye unaangalia tu kwenye TV na haupo kwenye tukio unang'ang'a kuamini?
Hebu hayo tuyaache kwa sasa,mkiniuliza swali hapa sitawajibu ili kulinda mantiki ya uzi huu.Nilitaka niwape mwanga tu kidogo ili baadaye tutakapojadili iwe rahisi.Na ndio maana huwezi kusikia ebola imekuja Tanzania kamwe,ila wenyewe watakwambia huioni kwa kuwa imedhibitiwa.Ebola utaisikia kwenye strategic areas peke yake. Nawachukia wamarekani sana lakini nawaheshimu sana kwa uongo.

-Wamedanganya Sept 11
-Wamedanganya vita dhidi ya madawa ya kulevya
-Wamednganya kuhusu ebola
-Wamedanganya mambo ya chanjo
-Wamedanganya kuhusu global warming
-Wamedanganya Vita dhidi ya cancer
-Wamedanganya kwamba bangi haramu
-Wamedanganya kwenye GMO(Genetic Modified Organisms/Food)
-Wamedanganya Vita ya kwanza ya dunia
-Wamedanganya vita ya pili ya dunia
-Wamedanganya Vita ya vietnam
-Wamedanganya vita ya Iraq
-Wamedanganya Vita ya Afghanistan
-Wamedanganya Vita ya Siria
-Wamedanganya Vita ya Libya
-Wanadanganya mgogoro wa DRC
-Wanadanganya mgogoro wa Ukraine
-Wanadanganya kuhusu alternative energies
-Wamedanganya kuhusu US Federal Reserve System
-Wametudanganya kuhamia kwa lazima digitali kutoka analogia
-Wamedanganya kuhusu Alqaeda
-Wamedanganya kuhusu ISIS
- Wamedanganya kuhusu HIV/AIDS ambalo ndilo tunajadili sasa.

Sasa mimi sina uwezo wa kumshawishi mtu kuamini,ila mimi niko huru hapa duniania kwa kujua huu ukweli.
-Nimepiga chini chanjo-Ukibisha shauri yako
-Natibu ndugu zangu cancer-Ukibisha shauri yako
-Natibu ndugu zangu kisukari-Ukibisha shauri yako
-Naachisha watu ARVs-Ukibisha shauri yako
-Nina uwezo wa kutengeneza diesel ya kuendeshea mashine kwa kutumia bangi-Ukibisha shauri yako

Na mambo mengine lukuki.

Ninachofanya ni kutoa elimu ya bure kwa wengine kwa sababu najua umuhimu wake.Kukubali au kukataa,yote ni maamuzi ya mpokeaji.Nimetimiza wajibu wangu.

Mkuu usikatishwe tamaa.Endelea kutuelemisha,mwenye kuchukua achukue na mwenye kuacha aache
Hilo la Septemba 11 hata mimi nlishaanza kuliamini kuwa ni feki.Kuhusu chanjo? mwanangu ana miezi 11 hepu tupe elimu
 
jaribu kuelewa kinacho andkwa nmesema still bado alkuwa ana tembea na syo ana afya njema....hii nku maanisha kuwa syo kla anae tembea ana afya njema...! mimi ninacho taka kwako ni utoe ushaidi theory ni zipi kwenye post yangu hapo juu..!? na kama ni theory zisizo na mshko yapi majbu yake....!?? unadai syo HIV virus pekee wanao shambulia T lymphocytes(CD4) je nikip kingne knacho shambulia...!"? uki jibu hayo maswali yangu ndio utafanya bijue nabishana na.m2 mwenye uwelewa au mropokaji...!!!

Ungejua unaongea na mtu wa aina gani wala usingesema yote hayo.

jaribu kuelewa kinacho andkwa nmesema still bado alkuwa ana tembea na syo ana afya njema....hii nku maanisha kuwa syo kla anae tembea ana afya njema...!

angalia hapo chini matapishi yako mwenyewe.

....wakat mwngne 2kiacha mambo ya medical mungu pia yupo ma anasaidia nasema hivi kwasababu nakumbuka mm mwenyewe ka mkono wangu nmesha wahi mpma patient ana CD4 63 ila bado anatembea na anaongea vzr na ana afya tele...haya ni maajabu japo kuwa najua ata weza fika mbali...

Tuendelee.
mimi ninacho taka kwako ni utoe ushaidi theory ni zipi kwenye post yangu hapo juu..!? na kama ni theory zisizo na mshko yapi majbu yake....!?? ..

Unaona unavyojichanganya?Kwanza unauliza theory ni zipi kwenye post yako,halafu unaniuliza kama theory zako hazina mashiko nikupe majibu yake.
Sina uhakika kama najadiliana na mtu anayejielewa vizuri.Na ndio maana nilikuuliza kwamba,kama ulichoeleza kwenye post yako sio theory ni nini basi?Umeona jinsi nilivyotaka kukuokoa na hii aibu?

unadai syo HIV virus pekee wanao shambulia T lymphocytes(CD4) je nikip kingne knacho shambulia...!"? uki jibu hayo maswali yangu ndio utafanya bijue nabishana na.m2 mwenye uwelewa au mropokaji...!!!

Sasa unatakiwa na wewe uni quote wapi nimesema hivyo ili wana JF wakuamini.Mwenzako anajua ndio maana anaingia kwa woga na ujanja ujanja.
 
Ungejua unaongea na mtu wa aina gani wala usingesema yote hayo.

angalia hapo chini matapishi yako mwenyewe.

Tuendelee.

Unaona unavyojichanganya?Kwanza unauliza theory ni zipi kwenye post yako,halafu unaniuliza kama theory zako hazina mashiko nikupe majibu yake.
Sina uhakika kama najadiliana na mtu anayejielewa vizuri.Na ndio maana nilikuuliza kwamba,kama ulichoeleza kwenye post yako sio theory ni nini basi?Umeona jinsi nilivyotaka kukuokoa na hii aibu?

Sasa unatakiwa na wewe uni quote wapi nimesema hivyo ili wana JF wakuamini.Mwenzako anajua ndio maana anaingia kwa woga na ujanja ujanja.

usiku mwema umenkuta na akili zangu za usiku..!
 
madokta wamekimbia wanaenda kupekua notes@definition kala matapish yake kaenda kulala .aiseeee we deception ni mtu mbaya sana.umenifanya adi najichekea mwenyewe.jamaa wamekuja na miterminologies ya ajabu ili sisi tutoke kapa.lakini kumbe wamedandia treni kwa mbele.wanauliza vitu ambavyo vingi vilishatolewa ufafanuzi mda tu.nashindwa kuelewa ni wavivu wa kusoma au??kama wanashindwa kupitia uzi huu wa page 40 hayo mavitabu ya maugonjwa na maresearch wanapataga mda kwelibwa kuyapitia???
 
Huyu jamaa yuko vizuri,anaongea kwa facts na sio kwa hisia kama wengi wetu tunavyobisha kwa hoja ya nguvu na sio nguvu ya hoja
 
Back
Top Bottom