Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Deception, mimi naomba kuuliza kitu kimoja kwanza.

Mtu ambaye hajawahi kutumia ARVs, anapoenda kupima VVU na akaambiwa anavyo, kinachokuwa kimeonekana ni nini?
Namaanisha, ni nini hicho kinachoreact kwenye kipimo hadi wakuambie kuwa umeathirika?

Ungefuatilia toka mwanzo ungepata jib la hili swali..jenga utamaduni wakupenda kusoma mkuu..anywayz ngoja Deception aje...
 
Last edited by a moderator:
Umejibu at least kuliko huyu mtafiti fake.....anasema yeye hafanyi biashara na hatafuti pesa . Wakati huo huo anaita watu PM kwanini asiongee nao hapa hafharani. Hata babu wa loliondo alisema yeye anatibu bure ila utalipa kidogo tu sh 500. Sasa 500 ukipata watu milioni 1...........huyu mtafiti fake aliponishangaza na kuniudhi kuwaambia watu wafanye sex . Eti ukimwi hausababishwi na sex. Kwahiyo ukimwi uliopo china. Thailand . India . Marekani .........umesababishwa na nini.? Maana hata huko pia watu wanakufa kwa ukimwi ingawa si kwa wingi kama kwetu

Ndugu acha kuongea kitu usichokijua me nimemfata deception pm nimeuliza maswali nimejibiwa na kupewa ushaur hata sh 10 hajaniomba.
Uwe na uhakika na unachoongea
 
Ungefuatilia toka mwanzo ungepata jib la hili swali..jenga utamaduni wakupenda kusoma mkuu..anywayz ngoja Deception aje...
Ok mkuu, nashukuru kwa ushauri wa kupenda utamaduni wa kusoma, nitajitahidi.

Nimesoma, Deception amesema kuwa kuna protein fulani ambazo huwa zinatengeneza ant bodies ambazo ndizo hureact kwenye vipimo,
Amesema hili suala amelifanyia utafiti, ningeomba kujua hizi ni protein za aina gani au zinaitwaje na zinasababishwa na nini kwenye mwili wa binadamu?

Amesema pia protein hizi zinaweza kupatikana kwa urahisi zaidi kwa wanawake wajawazito, na ndio sababu imeamriwa wapimwe HIV ( kwa mujibu wa Deception), kama ni kweli, mbona hakuna rekodi zinazoonyesha kuwa wanawake wajawazito wanaongoza kwa kuwa HIV+?(kama zipo ziwekwe)

Ametolea mfano sana TB kuwa ina dalili sana na VVU/UKIMWI, ni kweli, TB kwa sasa inatibika, tena bure, je ni kwa nini kuna watu wengi tu ambao hawakutumia ARVs na wamefariki wakiwa na hizo dalili za VVU/UKIMWI( kama ni TB wangepona maana inatibika).
 
Last edited by a moderator:
Hili linawezekana kabisa japo sina uhakika kwa kila mtu au la, niliskia kwa wanaume walio na magovi ni rahisi zaidi kupata ukimwi, mimi mwenyewe ni shahidi na siyo kwamba najisifu ila ni katika kuwekana sawa kutokana na hii mada, nimetahiriwa vizuri sana na nimeshawahi kutembea na wanawake 3 kwa wakati tofauti ambao nina uhakika walikuwa na VVU japo wakati natembea nao sikuwa najua kama wameambukizwa na sikuwahi kutumia condom, wote wameshakufa na ilithibitika kabisa walikuwa na VVU. Nashukuru sana nilipima na niko fresh kabisa na nimeoa nina watoto 4 wote tukiwa tuna afya njema kabisa. Mpaka leo hii mwenyewe siamini ilikuwaje sikupata maambukizi ya VVU
 
we jamaa unaejiia Deception, ni mtu usiefaa kabisa katika jamii, kwa sababu unaleta mizaha katika mambo ya msingi na ni mpotoshaji mkubwa usiefaa kuishi. Thanks lord JF ni jukwaa la watu wachache otherwise ungepotosha wengi na kuangamiza maisha ya watu. Sijui hasa nia yako ni nini? Kwa jinsi unavyoandika makala zako inaonyesha unaufahamu kidogo, ila napata shida kujua intention yako kwa huu uongo unaoutunga! Kumbuka suala la HIV ni la kisayansi na hupaswi kuliumba kisiasa. People like you deserve to be put on a firing squad since your presence is dangerous for our society.
Mkuu punguza jaziba kidogo, umeenda mbali sana, freedom of speechni haki ya mtu kikatiba, haipaswi kuwa "uhaini" kama wewe ulikofika.

Huyu jamaa mimi sijakubaliana nae, ila naendelea kusoma na kufikiri, niko page ya 6 tu ya uzi huu wenye kurasa thelasini na kitu, sijui kilichojadiliwa huko mbele ila ningeomba kama kuna madaktari wenye hoja kuwa VVU/UKIMWI ni kweli, waje wampinge huyu jamaa asiendelee kupotosha watu.
 
Umejibu at least kuliko huyu mtafiti fake.....anasema yeye hafanyi biashara na hatafuti pesa . Wakati huo huo anaita watu PM kwanini asiongee nao hapa hafharani. Hata babu wa loliondo alisema yeye anatibu bure ila utalipa kidogo tu sh 500. Sasa 500 ukipata watu milioni 1...........huyu mtafiti fake aliponishangaza na kuniudhi kuwaambia watu wafanye sex . Eti ukimwi hausababishwi na sex. Kwahiyo ukimwi uliopo china. Thailand . India . Marekani .........umesababishwa na nini.? Maana hata huko pia watu wanakufa kwa ukimwi ingawa si kwa wingi kama kwetu

Wewe una chuki zako binafsi tu, maana sijaona point yako ya msingi zaidi ya kumtaja babu wa loliondo, mara sijui Thailand, mara tapeli, ni wapi kasema watu wafanye sex? Aliyekwambia ukimwi unaambukizwa kwa sex peke yake nani? Tatizo hujielewi unakurupuka tu badala ya kuuliza kwa ustaarabu, unavyoandika tu inaonyesha tu umekuja kishari na sio kujifunza au kuuliza maswali
 
Ndugu acha kuongea kitu usichokijua me nimemfata deception pm nimeuliza maswali nimejibiwa na kupewa ushaur hata sh 10 hajaniomba.
Uwe na uhakika na unachoongea

Huyo mpuuzi achana nae, anavyoandika tu inatosha kumjua ni mtu wa aina gani, achana nae, wengi ambao hawapendi kujifunza ni wale waliokimbia shule, kwa hyo ata ukibishana nao ni kazi bure, kuna watu wanakuja kupinga hoja kistaarabu bila kuumiza hisia za wengine, ili mbuz linakuja kama linatafuta mahali pa kujifungulia aende uko porini
 
Ok mkuu, nashukuru kwa ushauri wa kupenda utamaduni wa kusoma, nitajitahidi.

Nimesoma, Deception amesema kuwa kuna protein fulani ambazo huwa zinatengeneza ant bodies ambazo ndizo hureact kwenye vipimo,
Amesema hili suala amelifanyia utafiti, ningeomba kujua hizi ni protein za aina gani au zinaitwaje na zinasababishwa na nini kwenye mwili wa binadamu?

Amesema pia protein hizi zinaweza kupatikana kwa urahisi zaidi kwa wanawake wajawazito, na ndio sababu imeamriwa wapimwe HIV ( kwa mujibu wa Deception), kama ni kweli, mbona hakuna rekodi zinazoonyesha kuwa wanawake wajawazito wanaongoza kwa kuwa HIV+?(kama zipo ziwekwe)

Ametolea mfano sana TB kuwa ina dalili sana na VVU/UKIMWI, ni kweli, TB kwa sasa inatibika, tena bure, je ni kwa nini kuna watu wengi tu ambao hawakutumia ARVs na wamefariki wakiwa na hizo dalili za VVU/UKIMWI( kama ni TB wangepona maana inatibika).

Kidogo umejitahid kuuliza maswali yenye mashiko, ila ningekushauri utulie rafiki usome vizur, kuna baadhi ya maswali yashajibiwa.

Watu wengi wakina nani? Wakina nani waliokufa kwa ukimwi bila kutumia ARV? ,una uhakika gani kuwa ukimwi ndio uliowaua? Una uhakika gani walikuwa hawatumii ARV? nimependa maswali yako rafiki, ila ningependa kujua kuhusu maswali yangu apo juu kuhusu hao waliokufa kwa ukimwi bila kutumia ARV
 
Last edited by a moderator:
Hili linawezekana kabisa japo sina uhakika kwa kila mtu au la, niliskia kwa wanaume walio na magovi ni rahisi zaidi kupata ukimwi, mimi mwenyewe ni shahidi na siyo kwamba najisifu ila ni katika kuwekana sawa kutokana na hii mada, nimetahiriwa vizuri sana na nimeshawahi kutembea na wanawake 3 kwa wakati tofauti ambao nina uhakika walikuwa na VVU japo wakati natembea nao sikuwa najua kama wameambukizwa na sikuwahi kutumia condom, wote wameshakufa na ilithibitika kabisa walikuwa na VVU. Nashukuru sana nilipima na niko fresh kabisa na nimeoa nina watoto 4 wote tukiwa tuna afya njema kabisa. Mpaka leo hii mwenyewe siamini ilikuwaje sikupata maambukizi ya VVU

Ni kweli kabisa rafiki, wanaume wasiotahiriwa wako katika risk ya maambukizi ukitofautisha na wale waliotahiriwa, ni kweli mkuu...
 
Deception, mimi naomba kuuliza kitu kimoja kwanza.

Mtu ambaye hajawahi kutumia ARVs, anapoenda kupima VVU na akaambiwa anavyo, kinachokuwa kimeonekana ni nini?
Namaanisha, ni nini hicho kinachoreact kwenye kipimo hadi wakuambie kuwa umeathirika?

Ni antibodies/kinga dhidi ya protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee.Kuna mechanisms/conditions nyingi mwilini ambazo zinaweza ku trigger vipimo hivi kutoa majibu ya HIV+, mfano mmojawapo ni MIMBA.
Na ndio maana mara nyingi sana watu hupimwa HIV+ halafu wakipimwa tena huwa HIV- au kinyume chake.Unaweza kupima hata mara 100 ukapata majibu ambayo ni random,huwezi kupata jibu moja tu,ukitaka kuthibitisha hili we fanya utafiti wako binafsi,utajua tu.Kwa wale ambao wanatumia ARVs kwa muda mrefu wana uwezekano wa kupima HIV+ mara nyingi zaidi kuliko HIV- au wasipate kabisa majibu ya HIV-.Hivyo vipimo ni tricks tu za kutafutia wateja wa kula vidonge vya ARVs ambazo hazitibu chochote na hazina faida yoyote.
Yaani kinachofanywa na ARVs si kingine zaidi ya kuleta matatizo ambayo ndio yaleyale ambayo anasingiziwa HIV kwamba ndiye kasababisha.
 
Umejibu at least kuliko huyu mtafiti fake....

Kwanza kabisa umemsifia jamaa kwa kujibu vizuri tofauti na mimi niliyeleta siasa.Hebu tuangalie hapo chini,Je,umeelewa alichokijibu jamaa?

...huyu mtafiti fake aliponishangaza na kuniudhi kuwaambia watu wafanye sex . Eti ukimwi hausababishwi na sex. Kwahiyo ukimwi uliopo china. Thailand . India . Marekani .........umesababishwa na nini.? Maana hata huko pia watu wanakufa kwa ukimwi ingawa si kwa wingi kama kwetu

Mimi nimesema ukimwi hausababishwi na sex,ndio nakubali nilisema hivyo.Haya sasa,zamu yako kuniambia ili kuonesha kama kweli wewe ni mfuatiliaji mzuri unapopewa facts kama jamaa alivyojitahidi kuchambua.

Onesha ni wapi kwenye maelezo ya jamaa ambapo yanaonesha kukubaliana na kwamba ukimwi unasababishwa kwa kufanya sex?
 
Ok, mkuu.Kumbe kirusi kinachoitwa HIV kipo! Ila tu hakisababishi AIDS. sawa. Je, kinasababishwa na nini, na je kinaambukizwa toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine Kwa njia gani?
Ni antibodies/kinga dhidi ya protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee.Kuna mechanisms/conditions nyingi mwilini ambazo zinaweza ku trigger vipimo hivi kutoa majibu ya HIV+, mfano mmojawapo ni MIMBA.Na ndio maana mara nyingi sana watu hupimwa HIV+ halafu wakipimwa tena huwa HIV- au kinyume chake.Unaweza kupima hata mara 100 ukapata majibu ambayo ni random,huwezi kupata jibu moja tu,ukitaka kuthibitisha hili we fanya utafiti wako binafsi,utajua tu.Kwa wale ambao wanatumia ARVs kwa muda mrefu wana uwezekano wa kupima HIV+ mara nyingi zaidi kuliko HIV- au wasipate kabisa majibu ya HIV-.Hivyo vipimo ni tricks tu za kutafutia wateja wa kula vidonge vya ARVs ambazo hazitibu chochote na hazina faida yoyote.Yaani kinachofanywa na ARVs si kingine zaidi ya kuleta matatizo ambayo ndio yaleyale ambayo anasingiziwa HIV kwamba ndiye kasababisha.
 
Ok mkuu, nashukuru kwa ushauri wa kupenda utamaduni wa kusoma, nitajitahidi.

Nimesoma, Deception amesema kuwa kuna protein fulani ambazo huwa zinatengeneza ant bodies ambazo ndizo hureact kwenye vipimo,
Amesema hili suala amelifanyia utafiti, ningeomba kujua hizi ni protein za aina gani au zinaitwaje na zinasababishwa na nini kwenye mwili wa binadamu?..

Soma.Mimi nimetumia nguvu nyingi kuandika kuliko ile utakayoitumia wewe kusoma.Soma,ukiona hujapata jibu la swali lako ndio urudi kuuliza.

...Amesema pia protein hizi zinaweza kupatikana kwa urahisi zaidi kwa wanawake wajawazito, na ndio sababu imeamriwa wapimwe HIV ( kwa mujibu wa Deception)..

Usisome kwa bias,tulia,soma taratibu,unakimbilia wapi?Unaona sasa?Hujaelewa maana ya kile nilichoandika.Una haraka gani?

..kama ni kweli, mbona hakuna rekodi zinazoonyesha kuwa wanawake wajawazito wanaongoza kwa kuwa HIV+?(kama zipo ziwekwe)...

Bias hiyooo inaanza kuonekana taratibu.Hujaelewa tena ulichokisoma.Nadhani wewe unasoma na wakati huohuo unaandaa swali la kunikwamisha.Acha bias halafu soma kwa makini.Maeneo kama haya nisipojibu swali ndio watu husema kwamba mimi naleta siasa.

...Ametolea mfano sana TB kuwa ina dalili sana na VVU/UKIMWI, ni kweli, TB kwa sasa inatibika, tena bure, je ni kwa nini kuna watu wengi tu ambao hawakutumia ARVs na wamefariki wakiwa na hizo dalili za VVU/UKIMWI( kama ni TB wangepona maana inatibika).

There you are!!!
Nimeshahitimisha kwamba una bias.Wewe unajua watu waliokufa ambao wana dalili za VVU/Ukimwi na hawakutumia ARVs na unasema kama ni TB wangepona maana inatibika.
Je,ni kweli hujui kwamba pamoja na TB kutibika lakini imeua watu wengi sana?Au labda uniambie kila anayekufa kwa TB lazima alikuwa na huyo VVU(ambaye kwangu mimi ni feki).

....Huyu jamaa mimi sijakubaliana nae, ila naendelea kusoma na kufikiri, niko page ya 6 tu ya uzi huu wenye kurasa thelasini na kitu, sijui kilichojadiliwa huko mbele ila ningeomba kama kuna madaktari wenye hoja kuwa VVU/UKIMWI ni kweli, waje wampinge huyu jamaa asiendelee kupotosha watu.

Mimi huwa najua mtu aliyejiandaa kuelewa na yule aliyejiandaa kupinga tangu mwanzo anapoanza kuchangia.

Kwanza unasema hujui kilichoandikwa huko mbele,halafu unawaambia madaktari waje kupinga ili nisiendelee kupotosha wakati hata hujamaliza kukisoma hicho kilichojadiliwa huko mbele.

Kwa hiyo mimi napotosha,au vipi bro?Hao madaktari ndio wako sahihi,au vipi bro?Labda umekosea ku present ngoja tuangalie.
 
Deception, I am sad you are misunderstanding my themes, first of all I am grateful for what you are trying to present, regardless of whether it is correct or erronous, hii itasaidia watu kuanza kufikiri.

Niliposema madaktari waje wakupinge, nilimaanisha wale wanaoamini katika ukweli wa HIV/AIDS, watoe hoja za kutetea, ili kama unapotosha ijulikane, so far sina evidence kama unapotosha ama la, kwa hiyo umenielewa vibaya, tuachane na hilo, kama hutojali naomba ufafanuzi wa post #692 hapo juu.
 
Mkuu hao madaktari wameshatoka nduki hapa kitambo,we endelea tu kusoma uzi huu

Huyu jamaa ana hoja nzito sana na yuko makini na sijaona mtu wa kupinga hoja zaidi ya bka bka tu

Mkuu hebu tuendelee kupata elimu kwa huyu ndugu....
 
Last edited by a moderator:
Ok, mkuu.Kumbe kirusi kinachoitwa HIV kipo! Ila tu hakisababishi AIDS...

Ndio kipo,kirusi kinachoitwa HIV kipo,ila hakuna kirusi chenye sifa ya kuitwa HIV.Ila historia ya ugunduzi wake ni very tricky na ina mikanganyiko mingi sana,sitaki kwenda huko sasa kwa kuwa wewe bado ni mchanga kwenye mambo haya,ukikomaa sawasawa labda.
Ndio,hakisababishi AIDS.

..Je, kinasababishwa na nini, na je kinaambukizwa toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine Kwa njia gani?

Retrovirus aliyepachikwa jina feki la HIV alikuwapo tangu enzi na enzi na aliishi na anaendelea kuishi kwenye host wengi akiwemo binadamu na hajawahi kusababisha ukimwi enzi zote hizo.Kutokana na probability ya kumpata huyu virus kwenye damu ni vigumu sana kuambukizwa kwa njia nyingine kama vile sex(inakaribia kutowezekana),njia ambayo ni typical ni ile ya kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto nayo pia ni ndogo sana.CDC report inasema mtoto ana uwezekano wa kupata huyu kirusi kutoka kwa mama kwa 25% tu,ambayo bado sio significant.Na hata ukiwa na huyu kirusi si jambo la ajabu au kutisha kwa kuwa hana uwezo wa kusababisha AIDS,na pia awali ya yote hudhibitiwa na kinga ya mwili.
Sisi tumekuwa brainwashed kuaminishwa kwamba huyu kirusi ndiye anayesababisha AIDS,kitu ambacho si kweli na kuna scientific proofs nying sana kuthibitisha hilo.Sisi kwenye miili yetu kuna bifidus bacteria ambao husaidia digestion,lakini siku Obama akisema kwenye TV fulani kwamba bifidus bacteria ndiye anayesababisha cancer ya utumbo wote tutaamini bila kuhoji kwa kuwa Obama kasema,siku nikitokea mimi kajamba nani nikipinga kwa vielelezo watu watasema napotosha.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa huyu HIV feki.Yupo maisha yote,lakini tumeanza kumwogopa mwaka 1984 alipotangazwa kwamba ndiye "probable cause of AIDS",aliyekuwa probable cause na watu wakaamini kwamba ni probable cause sasa hivi amekuwa real cause of AIDS.Kwa kweli inahitaji jitihada na upeo wa hali ya juu sana wa kuelewa ukweli wa jambo hili.
 
Mkuu hao madaktari wameshatoka nduki hapa kitambo,we endelea tu kusoma uzi huu

Huyu jamaa ana hoja nzito sana na yuko makini na sijaona mtu wa kupinga hoja zaidi ya bka bka tu

Mkuu hebu tuendelee kupata elimu kwa huyu ndugu....

Mkuu ulipotelea wapi?Naona kimya sana.
 
Ok, mkuu.Kumbe kirusi kinachoitwa HIV kipo! Ila tu hakisababishi AIDS. sawa. Je, kinasababishwa na nini, na je kinaambukizwa toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine Kwa njia gani?
Kwa mujibu wa Deception huyu kirusi yupo tangu zamani sana na nimeshasoma mahojiano kibao sana ya madaktari wakithibitisha hili

Huyu kirusi haambukizwi kutoka binadamu mmoja kwenda mwingine bali kwa njia nyingine tu ndio anaambukizwa

Huyu kirusi hana madhara kwa binadamu jwa sababu kwanza mwili una uwezo wa kumuangamiza huyu kirusi bila kunywa kidonge chochote kile

Kama una maradhi ya.mara kwa mara kula lishe bora na pia pima maradhi kama malaria,pumu,TB n.k na kama utakutwa na maradhi haya yatibu yenyewe na afya yako itarejea bila kujali kama mwili wako una retrovirus (HIV?) Wa aina yoyote ile na utaishi hadi uzee

Kwa kifupi ni hayo kwa mujibu wa mkuu Deception

Mambo.mengine kwakweli naweza kusema tumelishwa uongo na hawa watu tunaowaamini kama watu wa magharibi

Kinachotikea huku mitaani ni tofauti ba wanachotuambia

Mpaka sasa nakubaliana na mkuu Deception...
 
Deception, I am sad you are misunderstanding my themes, first of all I am grateful for what you are trying to present, regardless of whether it is correct or erronous, hii itasaidia watu kuanza kufikiri.

Niliposema madaktari waje wakupinge, nilimaanisha wale wanaoamini katika ukweli wa HIV/AIDS, watoe hoja za kutetea, ili kama unapotosha ijulikane, so far sina evidence kama unapotosha ama la, kwa hiyo umenielewa vibaya, tuachane na hilo, kama hutojali naomba ufafanuzi wa post #692 hapo juu.

Unajua mkuu sikuoni,hivyo naangalia ulicho present tu.Mtu anaweza kuhitimisha tofauti na vile ulivyo kutokana na presentation ya maandishi,ulikosea kwenye maandishi nikakuelewa tofauti,hiyo inawezekana,ni ubinadamu tu.Usijali,nimekuelewa.
 
Back
Top Bottom