Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
Deception, mimi naomba kuuliza kitu kimoja kwanza.
Mtu ambaye hajawahi kutumia ARVs, anapoenda kupima VVU na akaambiwa anavyo, kinachokuwa kimeonekana ni nini?
Namaanisha, ni nini hicho kinachoreact kwenye kipimo hadi wakuambie kuwa umeathirika?
Umejibu at least kuliko huyu mtafiti fake.....anasema yeye hafanyi biashara na hatafuti pesa . Wakati huo huo anaita watu PM kwanini asiongee nao hapa hafharani. Hata babu wa loliondo alisema yeye anatibu bure ila utalipa kidogo tu sh 500. Sasa 500 ukipata watu milioni 1...........huyu mtafiti fake aliponishangaza na kuniudhi kuwaambia watu wafanye sex . Eti ukimwi hausababishwi na sex. Kwahiyo ukimwi uliopo china. Thailand . India . Marekani .........umesababishwa na nini.? Maana hata huko pia watu wanakufa kwa ukimwi ingawa si kwa wingi kama kwetu
Ok mkuu, nashukuru kwa ushauri wa kupenda utamaduni wa kusoma, nitajitahidi.Ungefuatilia toka mwanzo ungepata jib la hili swali..jenga utamaduni wakupenda kusoma mkuu..anywayz ngoja Deception aje...
Mkuu punguza jaziba kidogo, umeenda mbali sana, freedom of speechni haki ya mtu kikatiba, haipaswi kuwa "uhaini" kama wewe ulikofika.we jamaa unaejiia Deception, ni mtu usiefaa kabisa katika jamii, kwa sababu unaleta mizaha katika mambo ya msingi na ni mpotoshaji mkubwa usiefaa kuishi. Thanks lord JF ni jukwaa la watu wachache otherwise ungepotosha wengi na kuangamiza maisha ya watu. Sijui hasa nia yako ni nini? Kwa jinsi unavyoandika makala zako inaonyesha unaufahamu kidogo, ila napata shida kujua intention yako kwa huu uongo unaoutunga! Kumbuka suala la HIV ni la kisayansi na hupaswi kuliumba kisiasa. People like you deserve to be put on a firing squad since your presence is dangerous for our society.
Umejibu at least kuliko huyu mtafiti fake.....anasema yeye hafanyi biashara na hatafuti pesa . Wakati huo huo anaita watu PM kwanini asiongee nao hapa hafharani. Hata babu wa loliondo alisema yeye anatibu bure ila utalipa kidogo tu sh 500. Sasa 500 ukipata watu milioni 1...........huyu mtafiti fake aliponishangaza na kuniudhi kuwaambia watu wafanye sex . Eti ukimwi hausababishwi na sex. Kwahiyo ukimwi uliopo china. Thailand . India . Marekani .........umesababishwa na nini.? Maana hata huko pia watu wanakufa kwa ukimwi ingawa si kwa wingi kama kwetu
Ndugu acha kuongea kitu usichokijua me nimemfata deception pm nimeuliza maswali nimejibiwa na kupewa ushaur hata sh 10 hajaniomba.
Uwe na uhakika na unachoongea
Ok mkuu, nashukuru kwa ushauri wa kupenda utamaduni wa kusoma, nitajitahidi.
Nimesoma, Deception amesema kuwa kuna protein fulani ambazo huwa zinatengeneza ant bodies ambazo ndizo hureact kwenye vipimo,
Amesema hili suala amelifanyia utafiti, ningeomba kujua hizi ni protein za aina gani au zinaitwaje na zinasababishwa na nini kwenye mwili wa binadamu?
Amesema pia protein hizi zinaweza kupatikana kwa urahisi zaidi kwa wanawake wajawazito, na ndio sababu imeamriwa wapimwe HIV ( kwa mujibu wa Deception), kama ni kweli, mbona hakuna rekodi zinazoonyesha kuwa wanawake wajawazito wanaongoza kwa kuwa HIV+?(kama zipo ziwekwe)
Ametolea mfano sana TB kuwa ina dalili sana na VVU/UKIMWI, ni kweli, TB kwa sasa inatibika, tena bure, je ni kwa nini kuna watu wengi tu ambao hawakutumia ARVs na wamefariki wakiwa na hizo dalili za VVU/UKIMWI( kama ni TB wangepona maana inatibika).
Hili linawezekana kabisa japo sina uhakika kwa kila mtu au la, niliskia kwa wanaume walio na magovi ni rahisi zaidi kupata ukimwi, mimi mwenyewe ni shahidi na siyo kwamba najisifu ila ni katika kuwekana sawa kutokana na hii mada, nimetahiriwa vizuri sana na nimeshawahi kutembea na wanawake 3 kwa wakati tofauti ambao nina uhakika walikuwa na VVU japo wakati natembea nao sikuwa najua kama wameambukizwa na sikuwahi kutumia condom, wote wameshakufa na ilithibitika kabisa walikuwa na VVU. Nashukuru sana nilipima na niko fresh kabisa na nimeoa nina watoto 4 wote tukiwa tuna afya njema kabisa. Mpaka leo hii mwenyewe siamini ilikuwaje sikupata maambukizi ya VVU
Deception, mimi naomba kuuliza kitu kimoja kwanza.
Mtu ambaye hajawahi kutumia ARVs, anapoenda kupima VVU na akaambiwa anavyo, kinachokuwa kimeonekana ni nini?
Namaanisha, ni nini hicho kinachoreact kwenye kipimo hadi wakuambie kuwa umeathirika?
Umejibu at least kuliko huyu mtafiti fake....
...huyu mtafiti fake aliponishangaza na kuniudhi kuwaambia watu wafanye sex . Eti ukimwi hausababishwi na sex. Kwahiyo ukimwi uliopo china. Thailand . India . Marekani .........umesababishwa na nini.? Maana hata huko pia watu wanakufa kwa ukimwi ingawa si kwa wingi kama kwetu
Ni antibodies/kinga dhidi ya protini ambazo zinaaminika zimetoka kwa HIV lakini sio specific kwa HIV pekee.Kuna mechanisms/conditions nyingi mwilini ambazo zinaweza ku trigger vipimo hivi kutoa majibu ya HIV+, mfano mmojawapo ni MIMBA.Na ndio maana mara nyingi sana watu hupimwa HIV+ halafu wakipimwa tena huwa HIV- au kinyume chake.Unaweza kupima hata mara 100 ukapata majibu ambayo ni random,huwezi kupata jibu moja tu,ukitaka kuthibitisha hili we fanya utafiti wako binafsi,utajua tu.Kwa wale ambao wanatumia ARVs kwa muda mrefu wana uwezekano wa kupima HIV+ mara nyingi zaidi kuliko HIV- au wasipate kabisa majibu ya HIV-.Hivyo vipimo ni tricks tu za kutafutia wateja wa kula vidonge vya ARVs ambazo hazitibu chochote na hazina faida yoyote.Yaani kinachofanywa na ARVs si kingine zaidi ya kuleta matatizo ambayo ndio yaleyale ambayo anasingiziwa HIV kwamba ndiye kasababisha.
Ok mkuu, nashukuru kwa ushauri wa kupenda utamaduni wa kusoma, nitajitahidi.
Nimesoma, Deception amesema kuwa kuna protein fulani ambazo huwa zinatengeneza ant bodies ambazo ndizo hureact kwenye vipimo,
Amesema hili suala amelifanyia utafiti, ningeomba kujua hizi ni protein za aina gani au zinaitwaje na zinasababishwa na nini kwenye mwili wa binadamu?..
...Amesema pia protein hizi zinaweza kupatikana kwa urahisi zaidi kwa wanawake wajawazito, na ndio sababu imeamriwa wapimwe HIV ( kwa mujibu wa Deception)..
..kama ni kweli, mbona hakuna rekodi zinazoonyesha kuwa wanawake wajawazito wanaongoza kwa kuwa HIV+?(kama zipo ziwekwe)...
...Ametolea mfano sana TB kuwa ina dalili sana na VVU/UKIMWI, ni kweli, TB kwa sasa inatibika, tena bure, je ni kwa nini kuna watu wengi tu ambao hawakutumia ARVs na wamefariki wakiwa na hizo dalili za VVU/UKIMWI( kama ni TB wangepona maana inatibika).
....Huyu jamaa mimi sijakubaliana nae, ila naendelea kusoma na kufikiri, niko page ya 6 tu ya uzi huu wenye kurasa thelasini na kitu, sijui kilichojadiliwa huko mbele ila ningeomba kama kuna madaktari wenye hoja kuwa VVU/UKIMWI ni kweli, waje wampinge huyu jamaa asiendelee kupotosha watu.
Deception, I am sad you are misunderstanding my themes, first of all I am grateful for what you are trying to present, regardless of whether it is correct or erronous, hii itasaidia watu kuanza kufikiri.
Niliposema madaktari waje wakupinge, nilimaanisha wale wanaoamini katika ukweli wa HIV/AIDS, watoe hoja za kutetea, ili kama unapotosha ijulikane, so far sina evidence kama unapotosha ama la, kwa hiyo umenielewa vibaya, tuachane na hilo, kama hutojali naomba ufafanuzi wa post #692 hapo juu.
Ok, mkuu.Kumbe kirusi kinachoitwa HIV kipo! Ila tu hakisababishi AIDS...
..Je, kinasababishwa na nini, na je kinaambukizwa toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine Kwa njia gani?
Mkuu hao madaktari wameshatoka nduki hapa kitambo,we endelea tu kusoma uzi huu
Huyu jamaa ana hoja nzito sana na yuko makini na sijaona mtu wa kupinga hoja zaidi ya bka bka tu
Mkuu hebu tuendelee kupata elimu kwa huyu ndugu....
Kwa mujibu wa Deception huyu kirusi yupo tangu zamani sana na nimeshasoma mahojiano kibao sana ya madaktari wakithibitisha hiliOk, mkuu.Kumbe kirusi kinachoitwa HIV kipo! Ila tu hakisababishi AIDS. sawa. Je, kinasababishwa na nini, na je kinaambukizwa toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine Kwa njia gani?
Mkuu ulipotelea wapi?Naona kimya sana.