Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Daah! Ngachoka kapsaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulipotelea wapi?
Nimetafakari sana kuhusu upungufu wa kinga mwilini
MTU akiwa na kansa kinga ya mwili inashuka
MTU akiwa na tb pia kinga ya mwili inashuka maana yake anakuwa na upungufu wa kinga mwilini lakini hana HIV
Naamini upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na magonjwa au malnutrition hivyo kama MTU akitibiwa hayo magonjwa na akapata lishe bora basi kinga ya mwili itapanda na mwili utakuwa na afya bora
My take;ni bora kutibia magonjwa husika na kupata lishe bora kuliko kuhangaika na ARV ambazo zinadaiwa kufubaza hicho wanachoita HIV badala ya kutibu magonjwa nyemelezi..
Ni mtazamo tu,wakuu msijenge chuki haya mawazo tu!!
Daah! Ngachoka kapsaa.
Naombeni msaada kwenye hili swala hasa kwako kaka Deception, nina ndugu yangu ambaye alipata ajali akaumia akawa hi hosp kabla ya 48hrs akapimwa alikuwa hiv-negative na hivo kupewa dose ya pep kwa mwezi mzima! Alipomaliza dose akapimwa tena mara tatu akaonekana ni negative ila hivi majuzi kapima akaonekana positive na mumewe ni negative na kwa sex lifestyle yao ingelikuwa kweli hiv ni kwa njia ya ngono na wao ni watu wa sex ya katerero na kusuguana sana nadhani eliser test ingeonyesha kwa hiyo nakubaliana na ww kabisa kuwa ngono si njia ya maambukizi ya hiv na pia huyu dada ameshauriwa asitumie ARV maana immunity yake bado iko juu na hapo alimconsult rafiki yake ambaye ni Dr wa hayo magonjwa alichomshauri ni kula balanced diet, atumie septrin everyday na pia alikuwa na fungus ambazo alimpa dawa ya kupaka na ya kwenye vaginas na ya kunywa for 28 days zaidi akamwambia play with your immunity hakikisha unakunywa maji ya kutosha sasa swali langu linakuwa hivi what could have been the possible cause ya hiv na je km anataka kuacha hizo septrin atadhurika au nayo ina namna yake ya kuacha?Na je inawezekana zile dawa alikunywa km pep zikamdhuru now?

Kama kulala tu hamna shida! Shida ukifanya uzinzi naye wakati mumelala.
Umepotea njia mkuu,,tafuta jukwaa jingine..
Mkuu hata wewe hapo mtaani ukiamua kukagua utaona nyingi tu .....Duuuuh kumbe kesi ni Nyingi halafu zote zinasupport Claim nyingi za Deception.. PEP(arv) Ni chanzo kingine cha matatizo na kuwapa Watu HIV fake
Tupe ushahidi mkuu .....!!Huwezi pata Kama Una genetic defect (CCR5 gene defect) kawaida HIV virus hutumia two receptors kuingia katka mwili wa mwanadam (CD4 receptor na CCR5 co-receptor)
izo receptors zinapatikana katika immune cells
Defect to one of em ' husababisha HIV virus asi penetrate human cells.
those defects zinapatkana xana kwa wa2 anaotokea northern Europe .. But kibongo bongo ts very rare,,,, xo 2mia pira weyeeeeeeeeeee 2cje 2kakuokota
Mi mwenyewe nawaza hivyo hivyo tu mkuu ......!!Kuna kila dalili PEP imehusika hapa...ni hisia zangu tu wadau msinifikirie vibaya...
Tupe ushahidi mkuu .....!!
Ukimwi sio ugonjwa bali ni upungufu wa kinga mwilini,kinga yako inapokuwa ya hovyo ndipo unapata maradhi mbali mbali,kwa maana hiyo huwezi kuambukizwa upungufu wa kinga mwiliniMkuu kunasehemu umenichanganya, umesema kwa wanaotumia hizo ARV's ndio hupata Ukimwi, je wakishaupata hawawezi kuuambukiza?
Jibu langu hapo juu nadhani linajibu hata hili swali lako mkuu....Kama hawawezi kwakuwa wameshapa ugonjwa je ugonjwa huo (ukimwi) utakuwa unaambukizwa kwa njia gani?
Sijui kama ukimwi unapimwa bali unaweza kuona matokeo ya mtu kuwa na ukimwi,kwanza usisahau kuwa ukimwi hauambukizwi na wala hausababishwi na HIV hivyo kupima ili ujue kama una ukimwi ni kupoteza muda tuJe baada ya mgonjwa wa ukimwi kuupata kutokana na maelezo yako akipimwa ili uonekane atapimwa sampuli gani? damu, mate, choo, mkojo, au nini?
Umelielewa swali nililokuuliza lakini?Mtafute m2 yeyote anaesoma medicine kuanzia mwaka wa pili na kuendelea akuelezee or Google relationship btn CCR5 gene defect and HIV ... utapata a lot of knowledge abt it