retroviridae
Member
- Apr 9, 2015
- 47
- 19
Umelielewa swali nililokuuliza lakini?
Mkuu hata wewe hapo mtaani ukiamua kukagua utaona nyingi tu .....
Pamoja na hayo huyo jamaa sio kweli kuwa ana HIV bali hayo madawa yameiharibu sana kinga ya mwili ya jamaa hivyo anapaswa tu afuate maelekezo namna ya kuacha haya madawa na kula vizuri na siku sio nyingi atarudi barabarani akiwa bomba kabisa
Haya majamaa bana ni hatari,yanatuua kwa namna nyingi tu!
Ushahidi ni kile kinachothibitisha ukisemacho kuwa ni kweli ....We unataka ushaidi kama upi?,,, emb nieleweshe
Watasema vipimo vya mwanzo vilikosewa .....Kwa case ya huyu jamaa ya PEP sijui madocta watasemaje...kwakweli hii kitu inawalakini sanaaa....
Umeamka kutoka usingizini?mm naomba niulize je vipmo vya ukimwi vinapima uwepo wa virus katka damu au vinapima aids
Mtafute m2 yeyote anaesoma medicine kuanzia mwaka wa pili na kuendelea akuelezee or Google relationship btn CCR5 gene defect and HIV ... utapata a lot of knowledge abt it
Ushahidi ni kile kinachothibitisha ukisemacho kuwa ni kweli ....
Haya wasaa wako huu,nipe huo ushahidi!
mm naomba niulize je vipmo vya ukimwi vinapima uwepo wa virus katka damu au vinapima aids
Watasema vipimo vya mwanzo vilikosewa .....
Vinapima AIDS mkuu...hakuna mtu aliyewahi kumuona huyu mdudu anayeitwa HIV...ni habar ya kusadikika...
Mmmh "" broh io habari umeitolea wapi?
Wenzako wamekimbia humu ndan na hvyo wewe bado mwanafunz muda si mrefu utakimbia...
Michakato na pilika mkuu, lakini huwa napita kuchungulia humu... Nakumbuka ulianza kuongelea hizi issue kipindi kile cha ebola imepamba kule international...
Mtafute m2 yeyote anaesoma medicine kuanzia mwaka wa pili na kuendelea akuelezee or Google relationship btn CCR5 gene defect and HIV ... utapata a lot of knowledge abt it
Mkuu Deception!
Tangu hii thread lilipokuwa na page mbili za mwanzo nilianza kuifuatilia hata pale ilipofutwa (nilisikitika kwa kweli wakati huo) mpaka hapa, kwa kweli umenifanya nizunguke kweli kwenye sources tofauti tofauti ulizotoa na zile nilizozikuta njiani wakati nazifuatilia hizo taarifa...
Kuna sehemu mmoja ambapo pamenistua ni juu ya Dr Robert Willner kujidunga sindano damu yenye "HIV" (ambapo wewe unaiita fake) kutoka kwa mtu mwenye HIV kuonesha ushahidi wake mbele ya waandishi wa habari na TV...
Dr Robert Willner anasema HIV is myth
Kwa wale ambao hawajabahatika kuiona link hii hapa mjionee: https://www.youtube.com/watch?v=tQCKb1JV-4A
Aliulizwa kwanini alijidunga HIV kwenye mwili wake?
Jibu lake: "I do this to put a stop to the greatest murderous fraud in medical history. By injecting myself with HIV positive blood, I am proving the point as Dr. Walter Reed did to prove the truth about yellow fever. In this way it is my hope to expose the truth about HIV in the interest of all mankind."
Naombeni msaada kwenye hili swala hasa kwako kaka Deception, nina ndugu yangu ambaye alipata ajali akaumia akawa hi hosp kabla ya 48hrs akapimwa alikuwa hiv-negative na hivo kupewa dose ya pep kwa mwezi mzima! Alipomaliza dose akapimwa tena mara tatu akaonekana ni negative ila hivi majuzi kapima akaonekana positive na mumewe ni negative na kwa sex lifestyle yao ingelikuwa kweli hiv ni kwa njia ya ngono na wao ni watu wa sex ya katerero na kusuguana sana nadhani eliser test ingeonyesha kwa hiyo nakubaliana na ww kabisa kuwa ngono si njia ya maambukizi ya hiv.....
...pia huyu dada ameshauriwa asitumie ARV maana immunity yake bado iko juu...
...alimconsult rafiki yake ambaye ni Dr wa hayo magonjwa alichomshauri ni kula balanced diet, atumie septrin everyday na pia alikuwa na fungus ambazo alimpa dawa ya kupaka na ya kwenye vaginas na ya kunywa for 28 days zaidi akamwambia play with your immunity hakikisha unakunywa maji ya kutosha ..
Hakuna HIV hapo,ni immunity yake imekuwa challenged na jambo fulani,na jambo hilo very possibly litakuwa hizo PEP alizokuwa anatumia....sasa swali langu linakuwa hivi what could have been the possible cause ya hiv ..
...na je km anataka kuacha hizo septrin atadhurika au nayo ina namna yake ya kuacha?Na je inawezekana zile dawa alikunywa km pep zikamdhuru now?
Mmmh "" broh io habari umeitolea wapi?