retroviridae
Member
- Apr 9, 2015
- 47
- 19
Personally huo mwandiko wako unanifanya nisikuchukulie serious hata kama una point. Unasomeka kama wale wanaorap au kuimba huku wameweka mkono kwenye sehemu za siri.
Anyway mimi ndicho nilichokuwa nakiomba, mtuwekee hizo scientific papers zinazocrush point zote au baadhi za huyo reknown viroligist
Dah huyu Gorgeousmimi mwache ni maana hata sisi ambao hatujapita med school upungufu wa kinga mwilini unasababishwa na mambo mengi sana hata bacteria wanaweza kuleta upungufu wa kinga mwilini! Kha
Kuna binamu yangu yeye kilichomlaza ni maumivu ya kwenye uti wa mgongo. Wakasema ana sijui fungus kwenye uti wa mgongo na/au TB. Wakampima wakamkuta ni HIV+. Tukapewa mlundo wa madawa hadi nurse mmoja akatushauri tusimpe yote ila hatukumfuata maana tuliamini Dr anajua zaidi ya nurse. 4 days later he passed away. Alikuwa na watoto wawili kwa mama 2 tofauti, watoto wote walifariki wakiwa HIV+. Mmoja pnemounia mwingine fungal infection. Mkewe yuko kwenye arv baada ya yeye kuwa positive. Hapo niambie hiv is not real and not infectious. Usinipe habari za nutrition maana walikuwa wanakaa mwanza kwenye samaki, dagaa na majani ya kutosha. Uchumi wa kati
sasa UTI c dozi ya siku tatu au week jaman.dk kweli kweli hukumuelewa jamaa.kasema matumizi ya MUDA MREFU ya ant biotics.sasa ARV dozi yake unaweza ifananisha na dozi ya UTI!!!u cnt b serious dk!!!!
Ivi udocta ni kama msaafu au biblia? Manake hawa madokta ni kama hawataki kujifunza kitu kipya...
Huu utata ndio mojawapo ya maeneo tuliyodanganywa na ndio maana mimi niko humu kujadili na wengine ili waujue ukweli.
Ukiendelea kusoma taratibu utaelewa tu,kuna mahali nimeelezea hayo mambo.Najua hata wewe ingekuingia akilini kama wangepima muonekano wa HIV(feki) mwenyewe na sio protini zake,hivyo electronic microscopes ndio kingekuwa kipimo kizuri zaidi kuliko kile cha kuangalia antibodies dhidi ya protini kutoka kwa HIV(feki) ambapo protini hizi sio specific kwa HIV(feki).
Na ndio maana hata wewe uliwahi kusikia watu kupewa majibu ya uongo mara nyingi tu.Na ndio maana hawataki kutumia electronics microscope kwa kuwa hii ndio inadhihirisha kwelikweli kama virus yupo,na kama wangetumia hii kungekuwa na uwezekano mdogo mno wa kupata watu ambao wana huyu kirusi na hivyo maana nzima ya biashara ya ARVs ingepotea.
Kwa hiyo hawajakosea kutumia hivi vipimo vya sasa,wanajua na ndio mpango wao,hawajakosea.Kwa kuwa vipimo hivi vina tricks ambazo zinawasaidia kupata wateja wengi zaidi wa ARVs.
Hujanielewa Dr.nimesema niliwahi kuwa na TB muda mrefu huko nyuma lakini waliponipima HIV nilikuwa HIV-.Nazungumzia hoja ya Dr mmoja aliyesema ili uwe na ukimwi lazima uwe na HIV,umenielewa maana yangu?
AHahaha unanichekesha mkuu, yani hawa madaktari wetu sijawahi kuona aisehh, yani wanazidi kujidharirisha apa walivyo na upeo mdogo ambao ata mimi ambaye sio daktari sina mawazo mpauko kama yao
Kwa elimu yangu ya darasa la saba sio kweli kwamba Deception kasema hakuna hawa virusi ila hawa virusi ni aina ya retrovirus ambao sio kitisho kwa kinga na maisha ya binadamu
LAKINI,Hakuna ushahidi wa kirusi wa HIV SPECIFIC uliowahi kutolewa na hata wewe kama unaweza tuletee hapa NA UTUTHIBITISHIE huyu ndie HIV,nadhani hata noble prize itakuhusu .....
Sasa kama unadhani huko kufanya kazi kwa hizo ARVs kuna umuhimu kwetu na unayapenda maisha yetu si uweke hapa hiyo elimu ili tusome ili tujue?
Unaruka ruka nini Dr.?
Maelezo mazuri nafikiri gorgeousmimi anafuatilia.
Kwa vile TB ilikuwepo kabla ya hiv kugundulika (sijasema kuwepo), na umesema mtu ambaye kinga yake imepungua (mwenye Upungufu wa KInga MWIlini) basi ndio anaugua TB; kwa maneno mengine unapingana na Dr gorgeousmimi anayesema no HIV no Upungufu wa KInga MWIlini so ni next to imposible kwa mtu kupata TB?
Waliopata nini?
Dr.Gorgeousmimi & Retroviridae Kweli hapo pagumu labda nikuulize haya maswali
1) tuberculosis ni ugonjwa unaosababishwa na nn?
2)what causes pneumonia?
3 )virus wanaoleta viral pneumonia ni adenoviruses, rhinovirus es, influenza virus, para influenza virus, and respiratory syncytial virus (RSV)
4) je kama sio virus anahusika kuleta hayo magonjwa naomba unieleze umeona popote ambapo HIV virus anahusika hapo when someone is not hiv+positive
5)sasa swali langu ni hii equation ambayo mlitakiwa ku argue from med school
HIV -negative + pneumonia=AIDS
Hiv-negative +tuberculosis = AIDS
HIV +positive + pneumonia =AIDS
HIV +positive + tuberculosis = AIDS
Hapo kwenye hiyo scenario HIV katokea wapi?
Nipo theory kuwa HIV virus does not cause AIDS inapokuja na ndo hapo anaposingiziwa
Na sisi tungependa zaidi ungekuja na urhibitisho wako ili tukuamini, vinginevyo nakuona shabiki tu usiyejielewa (samahani )
Je ushawahi kusoma Pia Kwanini Virus Hawa Wanapotea Kama Mtu akiwa na Immunity Nzuri
Mfano . Hepatitis... HPV n.k sasa Kama Unakubali Kuwa hawa Wadudu ambao ni Deadly Virus wanaweza Kupotea Kmaa Una immunity nzuri Kwann Tusipate Elimu Mpya kuhusu HIV kama Wataalam baadhi wanavyosema Kwamba Anaweza na Yeye Akapotea kama Una Immune Nzuri
Mkuu ma doctor wote wameapa kutotoa siri, sio za wagonjwa tu, hata za ugonjwa na dawa zake. Hivyo usitegemee jibu hapo. Utakesha, bora tumsikilize deception.
kama nesi flani ivi!!
Kwa hiyo unamaanisha bila VVU hakuna Ukimwi?Naomba unijibu hili swali please.