Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Personally huo mwandiko wako unanifanya nisikuchukulie serious hata kama una point. Unasomeka kama wale wanaorap au kuimba huku wameweka mkono kwenye sehemu za siri.
Anyway mimi ndicho nilichokuwa nakiomba, mtuwekee hizo scientific papers zinazocrush point zote au baadhi za huyo reknown viroligist

Thanks ..ntabadilisha huo mwandiko .. Nilkua naandika kama ivo ili niokoe mda
 
Kuna binamu yangu yeye kilichomlaza ni maumivu ya kwenye uti wa mgongo. Wakasema ana sijui fungus kwenye uti wa mgongo na/au TB. Wakampima wakamkuta ni HIV+. Tukapewa mlundo wa madawa hadi nurse mmoja akatushauri tusimpe yote ila hatukumfuata maana tuliamini Dr anajua zaidi ya nurse. 4 days later he passed away. Alikuwa na watoto wawili kwa mama 2 tofauti, watoto wote walifariki wakiwa HIV+. Mmoja pnemounia mwingine fungal infection. Mkewe yuko kwenye arv baada ya yeye kuwa positive. Hapo niambie hiv is not real and not infectious. Usinipe habari za nutrition maana walikuwa wanakaa mwanza kwenye samaki, dagaa na majani ya kutosha. Uchumi wa kati

kumbuka'kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria"
 
hii habari ya HV inataka kufanana na ile habari iliyoaminishwa kwa walimwengu kuwa Iraq wanazo silaha za mangamizi kumbe ni uwongo.

HIV ni makubaliano ya wanasayansi wawili kuwa iitwe hivyo baada ya kila mmoja kudai kumuibia mwezake chanzo cha kisababishi cha Ukimwi.

kuna mahakama ujerumani iliamua kuwa HIV haipo kwa sababu taasisi ya afya ya hukowalishidwa kupeleka ushahidi mahakamani dhidi ya ule ulioonyesha kuwa haupo.

nashukuru Deception kwa hoja yako japo bado nina mashaka ila hoja zako zinamashiko na zimenifanya kutafuta ukweli
 
sasa UTI c dozi ya siku tatu au week jaman.dk kweli kweli hukumuelewa jamaa.kasema matumizi ya MUDA MREFU ya ant biotics.sasa ARV dozi yake unaweza ifananisha na dozi ya UTI!!!u cnt b serious dk!!!!

Huwa ndo madokta kanjanja kazi yao kutoa mimba baasii...
 
Ivi udocta ni kama msaafu au biblia? Manake hawa madokta ni kama hawataki kujifunza kitu kipya...

Kitu cha muhimu sasa ni kwa mkuu deception kutupatia summary ya haya mambo kama alivyotuahidi maana hiyo ni idea mpya ambayo naamini wengi hatukuwa nayo lakini hiyo ya madaktari si mpya vichwani mwetu kwani tumefundishwa hivyo kama wao wanavyosema.hapo madaktari wanajitahidi kuelewesha kama vitabu vyao vinavyoeleza ambavyo msingi wake ni yule aliyesema amegundua hiv ya kuwa anasababisha aids na hoja za deception msingi wake ni kutoka kwa wale wanasayansi waliopinga hiv anasababisha aids.kwahiyo hapa mada haitakuwa inaenda mbele.mkuu deception tupe summary then twende kwenye magonjwa mengine kama cancer na kisukari na usiache kutuelekeza namna ya kuandaa aina mbalimbali za vyakula ili viweze kutupatia virutubisho muhimu kwa miili yetu na tuimarishe kinga za miili yetu.
 
Huu utata ndio mojawapo ya maeneo tuliyodanganywa na ndio maana mimi niko humu kujadili na wengine ili waujue ukweli.
Ukiendelea kusoma taratibu utaelewa tu,kuna mahali nimeelezea hayo mambo.Najua hata wewe ingekuingia akilini kama wangepima muonekano wa HIV(feki) mwenyewe na sio protini zake,hivyo electronic microscopes ndio kingekuwa kipimo kizuri zaidi kuliko kile cha kuangalia antibodies dhidi ya protini kutoka kwa HIV(feki) ambapo protini hizi sio specific kwa HIV(feki).
Na ndio maana hata wewe uliwahi kusikia watu kupewa majibu ya uongo mara nyingi tu.Na ndio maana hawataki kutumia electronics microscope kwa kuwa hii ndio inadhihirisha kwelikweli kama virus yupo,na kama wangetumia hii kungekuwa na uwezekano mdogo mno wa kupata watu ambao wana huyu kirusi na hivyo maana nzima ya biashara ya ARVs ingepotea.
Kwa hiyo hawajakosea kutumia hivi vipimo vya sasa,wanajua na ndio mpango wao,hawajakosea.Kwa kuwa vipimo hivi vina tricks ambazo zinawasaidia kupata wateja wengi zaidi wa ARVs.

1.mkuu unavyo sema vipimo feki vya HIV antbodies(protn) una maanisha nini...???

2.nme soma hapo juu nkaona una amini juu ya magonjwa halisia kama kaswende(syphilis)& typhoid fever....jee haya yana pimwa na nnn..!!!???

3.umesema watu hawapimwi kwaku tumia electron microscope...labda nikulize iyo machine hapa tanzania ipo wap..!!??
 
Hujanielewa Dr.nimesema niliwahi kuwa na TB muda mrefu huko nyuma lakini waliponipima HIV nilikuwa HIV-.Nazungumzia hoja ya Dr mmoja aliyesema ili uwe na ukimwi lazima uwe na HIV,umenielewa maana yangu?

nimekuekewa...lakini je unafikiri sentence yake hapo juu amekosea...!???
 
AHahaha unanichekesha mkuu, yani hawa madaktari wetu sijawahi kuona aisehh, yani wanazidi kujidharirisha apa walivyo na upeo mdogo ambao ata mimi ambaye sio daktari sina mawazo mpauko kama yao

Nasikia ni mabwana shamba siyo madokta...by Warumi
 
Kwa elimu yangu ya darasa la saba sio kweli kwamba Deception kasema hakuna hawa virusi ila hawa virusi ni aina ya retrovirus ambao sio kitisho kwa kinga na maisha ya binadamu

LAKINI,Hakuna ushahidi wa kirusi wa HIV SPECIFIC uliowahi kutolewa na hata wewe kama unaweza tuletee hapa NA UTUTHIBITISHIE huyu ndie HIV,nadhani hata noble prize itakuhusu .....

Sasa kama unadhani huko kufanya kazi kwa hizo ARVs kuna umuhimu kwetu na unayapenda maisha yetu si uweke hapa hiyo elimu ili tusome ili tujue?

Unaruka ruka nini Dr.?

Mi najiuliza ni kwann huyu virus wa hiv hawatafuti namna yakuona kama virus wengine? Badala yake wanatupa assumption tu za huyu mdudu...
 
Last edited by a moderator:
Maelezo mazuri nafikiri gorgeousmimi anafuatilia.
Kwa vile TB ilikuwepo kabla ya hiv kugundulika (sijasema kuwepo), na umesema mtu ambaye kinga yake imepungua (mwenye Upungufu wa KInga MWIlini) basi ndio anaugua TB; kwa maneno mengine unapingana na Dr gorgeousmimi anayesema no HIV no Upungufu wa KInga MWIlini so ni next to imposible kwa mtu kupata TB?

Safi hii hoja nzuri sana...maana yake kinga ya mwili inaweza kushuka hata bila huyo HIV..
 
Last edited by a moderator:
Dr.Gorgeousmimi & Retroviridae Kweli hapo pagumu labda nikuulize haya maswali
1) tuberculosis ni ugonjwa unaosababishwa na nn?
2)what causes pneumonia?
3 )virus wanaoleta viral pneumonia ni adenoviruses, rhinovirus es, influenza virus, para influenza virus, and respiratory syncytial virus (RSV)
4) je kama sio virus anahusika kuleta hayo magonjwa naomba unieleze umeona popote ambapo HIV virus anahusika hapo when someone is not hiv+positive
5)sasa swali langu ni hii equation ambayo mlitakiwa ku argue from med school
HIV -negative + pneumonia=AIDS
Hiv-negative +tuberculosis = AIDS
HIV +positive + pneumonia =AIDS
HIV +positive + tuberculosis = AIDS
Hapo kwenye hiyo scenario HIV katokea wapi?
Nipo theory kuwa HIV virus does not cause AIDS inapokuja na ndo hapo anaposingiziwa

Nimekukubali mkuu...
 
Je ushawahi kusoma Pia Kwanini Virus Hawa Wanapotea Kama Mtu akiwa na Immunity Nzuri

Mfano . Hepatitis... HPV n.k sasa Kama Unakubali Kuwa hawa Wadudu ambao ni Deadly Virus wanaweza Kupotea Kmaa Una immunity nzuri Kwann Tusipate Elimu Mpya kuhusu HIV kama Wataalam baadhi wanavyosema Kwamba Anaweza na Yeye Akapotea kama Una Immune Nzuri

Hapa lazima watafute sababu mkuu...
 
Mkuu ma doctor wote wameapa kutotoa siri, sio za wagonjwa tu, hata za ugonjwa na dawa zake. Hivyo usitegemee jibu hapo. Utakesha, bora tumsikilize deception.

Si bora wangekuwa wanazijua izo siri sasa, hawajui lolote kama sie tu, wabongo walivyokuwa wambea tena hao madaktari ndio usiseme, sidhan kama wangekaa kimya labda madokta wa usalama wa taifa, labda lakini
 
Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa . Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice . Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .
 
Huyu dokta FAKE yeye anangangania kuwa dawa ya ukimwi ni chakula yaani mlo kamili. Mimi nimemuuliza je USA, UK, Russia , Thailand .....watu wanaokufa na ukimwi nao hawali mlo kamili........na je wanapoambiwa watumie condom au protected sex kujikinga na ukimwi wanadanganywa....maana dokta FAKE anasema ukimwi hauambukizwi na sex wala damu.........NAFIKIRI HATA UZI HUU KAUANZISHA makusudi kwa different I'd ili kuwachota watu........dokta FAKE anasema eti vipimo ni fake kisa sometimes vinakosea kwanza ikumbuke anayekupima ni binadamu anasema pia akakosea . Pia hata hivyo inashauriwa upime mara 3 tena ikibidi sehemu tofauti 3 na kwa miezi 3 wakiwa na maana kwamba inawezekana kipimo kilikosewa au mfano mtu aliyeambukizwa leo ukimpima kesho huwezi kuona kitu .......so DOKTA FAKE acha kutaka kuua watu makusudi . Wabongo wanapenda ngono kavu tutawazika wengi .
 
Back
Top Bottom