Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
kama nesi flani ivi!!
Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa . Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice . Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .
Huyu dokta FAKE yeye anangangania kuwa dawa ya ukimwi ni chakula yaani mlo kamili. Mimi nimemuuliza je USA, UK, Russia , Thailand .....watu wanaokufa na ukimwi nao hawali mlo kamili........na je wanapoambiwa watumie condom au protected sex kujikinga na ukimwi wanadanganywa....maana dokta FAKE anasema ukimwi hauambukizwi na sex wala damu.........NAFIKIRI HATA UZI HUU KAUANZISHA makusudi kwa different I'd ili kuwachota watu........dokta FAKE anasema eti vipimo ni fake kisa sometimes vinakosea kwanza ikumbuke anayekupima ni binadamu anasema pia akakosea . Pia hata hivyo inashauriwa upime mara 3 tena ikibidi sehemu tofauti 3 na kwa miezi 3 wakiwa na maana kwamba inawezekana kipimo kilikosewa au mfano mtu aliyeambukizwa leo ukimpima kesho huwezi kuona kitu .......so DOKTA FAKE acha kutaka kuua watu makusudi . Wabongo wanapenda ngono kavu tutawazika wengi .
Mi najiuliza ni kwann huyu virus wa hiv hawatafuti namna yakuona kama virus wengine? Badala yake wanatupa assumption tu za huyu mdudu...
Ugonjwa wakupima zaidi ya mara tatu ndo upate uhakika kwakweli mim siwezi kupima..mtanisamehe..malaria napima naambiwa nina wadudu watatu hapo hapo naanza dozi sihitaji kupima mara tatu..hii hiv ina nn?
mfano nani umesha wahi msikia anaumwa TB ambaye ana HIV+ ebu npe mfano...??
Yaani nyie kama ni madaktari nazidi kuumia sana....
Kuna watu zaidi ya kumi nawajua wameshawahi kuwa na TB na hawana hiyi HIV yako
Sijui unataka kudanganya kwa manufaa ya nani.....
Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa . Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice . Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .
Una uhakika wamekufa kwa ukimwi?Huyu dokta FAKE yeye anangangania kuwa dawa ya ukimwi ni chakula yaani mlo kamili. Mimi nimemuuliza je USA, UK, Russia , Thailand .....watu wanaokufa na ukimwi nao hawali mlo kamili.......
Kwanza ni dokta fake kwasababu ipi?na je wanapoambiwa watumie condom au protected sex kujikinga na ukimwi wanadanganywa....maana dokta FAKE anasema ukimwi hauambukizwi na sex wala damu........
Thibitidha hili kabla hujala BANNAFIKIRI HATA UZI HUU KAUANZISHA makusudi kwa different I'd ili kuwachota watu.......
Huo ubinadamu upo kwenye ukimwi tu?dokta FAKE anasema eti vipimo ni fake kisa sometimes vinakosea kwanza ikumbuke anayekupima ni binadamu anasema pia akakosea . Pia hata hivyo inashauriwa upime mara 3 tena ikibidi sehemu tofauti 3 na kwa miezi 3 wakiwa na maana kwamba inawezekana kipimo kilikosewa au mfano mtu aliyeambukizwa leo ukimpima kesho huwezi kuona kitu .......so DOKTA FAKE acha kutaka kuua watu makusudi . Wabongo wanapenda ngono kavu tutawazika wengi .
mkuu una uhakika na ukisemacho...!?? ni wapi umepata habari kuwa HIV virus haonekani...??
1.mkuu unavyo sema vipimo feki vya HIV antbodies(protn) una maanisha nini...???
2.nme soma hapo juu nkaona una amini juu ya magonjwa halisia kama kaswende(syphilis)& typhoid fever....jee haya yana pimwa na nnn..!!!???
3.umesema watu hawapimwi kwaku tumia electron microscope...labda nikulize iyo machine hapa tanzania ipo wap..!!??
Hicho kipimo pamoja na kusema kuwa ni ghali hiyo electron microscope je is our lives cheaper than the kipimo? Maswala ya kubahatisha hizi issue ndo tatizo leo uko positive kesho uko negative what the he'll is this? Ordeal yote ya kusikia doctor a nakutakia death sentence mpaka mtu aje kukaa sawa ni unfair with the bilions of money stolen not just billions it's trillions bado hatuna uwezo wa kukinunua? Nadhani maisha ya mwana damu yanachukuliwa ni kitu cheap sana
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa...............:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Umeweka mchoro tu huo...
Unanisikitisha kwasababu hata hujui maana ya ushahidi ni.nini...
Hivi hiyo ni picha kweli?
Aliegundua HIV mwenyewe hajawahi kumuona huyu kirusi halafu wewe mmatumbi uweze kumuona!?
Hivi mkikubali tu hakuna ushahidi wa hii kitu mtakufa?
Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yangu
Mkuu stare he ya ngono haihusiki hapa watu wako dilemma za watu waliowapoteza na issue sio ngono kwani wangapi ni partners mmoja a nao mwengine hana na wanazaa? Tupe jibu la hiyo kwamba utaacha mke au mume coz ameathirika! Wapo watu wanazaa mpaka leo na mmoja a nao mwengine hana jaribu kufikiria kidogo sio kuropoka tu coz una access ya kufanya hivo! Na hiv as they say km yupo basi anaambukiza kwa njia nyingi wala si ngono peke yake! I doubt we ndo muuza mechi mzuri ukisikia haya yana kuvuruga na unataka kujikosha na kauli zako
Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa .
Kwa hiyo mgonjwa wa TB akiugua akawa mifupa ushauri wako hata kama hana hiv ape we ARV ili arudi safi kabisa?? Maana dawa za TB zina chukua muda pia
Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice .
Aah we kiboko hivi hujui hata homa mtu hawezi kula sa zingine? Grow up na utumie akili yako sawa sawa !huu mjadala mzito nadhani si wa level yako sijui umekurupukia wapi yaani ww mgonjwa akikonda a kashindwa kula a pige ARV ndo mtizamo wako ili aamke wanaokufa na malaria pia wapewe ARV basi dah! Balanced diet, ?Maji safi na salama, mazoezi na mazingira masafi has always been a key to our health and fitness believe it or not
Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .
huo ni mfano tu nilie kuwa nakupa ujue structure nardia tena kukwambia usicho kijua syo lazma ubishanie ili kuonekana kuwa wajua kwan ata ukikaa kmya utaeleweshwa....
Aliekuambia virus haonekani nani?je unafikiri mm ni mjinga kutetea structure ya virus...je unafkiri virus kila sku aonekani...??
Hakumwona nani?nani kasema huyo mgunduzi haku mwona...??
Hivi retrovirus wote ni HIV?je unafikiri ata hzo Arvs mnazo dai fake zlitolewa bila kujua structire& life cycle ya retrovirus ili kuweza kuzuia more replication...???
Nonesense questions ....tumia akili.... jaribu jibu hayo maswali kadhaa kwanza ili uweze kwenda sawa na mm.
Yaani nyie kama ni madaktari nazidi kuumia sana....
Kuna watu zaidi ya kumi nawajua wameshawahi kuwa na TB na hawana hiyi HIV yako
Sijui unataka kudanganya kwa manufaa ya nani.....
Una uhakika wamekufa kwa ukimwi?
Pia.nani kasema ukimwi hauui?
Umekurupukia wapi wewe?
Kwanza ni dokta fake kwasababu ipi?
Unaweza kuthibitisha u-fake wake?
Pili,una uhakika hata hayo yanatokea kwenye hizo nchi au unasema unachokiona kwenye vyombo vya habari?
Tunaomba ushahidi wa haya...
Thibitidha hili kabla hujala BAN
Huo ubinadamu upo kwenye ukimwi tu?
Kwanini magonjwa mengine hakuna kupina mara nyingi hivi?
Kwanini malaria unapima mara moja tu?
Kwanini TB unapima mara moja tu?
Au haya maradhi mengine yanapimwa na malaika?
Ndio, kwakuwa lazima uwe na vvu kwanza na baadae ndo unakuwa ukimwi, yaani kwa kifupi hizi ni stages, Dk atanisaidia kama nimekosea hapo.