Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa . Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice . Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .

Na baada ya kutumia ARVs nakurudi kwenye hali ya kawaida huyu mtu hatougua ugonjwa wowote maishani mwake? Looka like ARVs ni chanjo ya magonjwa....
 
Huyu dokta FAKE yeye anangangania kuwa dawa ya ukimwi ni chakula yaani mlo kamili. Mimi nimemuuliza je USA, UK, Russia , Thailand .....watu wanaokufa na ukimwi nao hawali mlo kamili........na je wanapoambiwa watumie condom au protected sex kujikinga na ukimwi wanadanganywa....maana dokta FAKE anasema ukimwi hauambukizwi na sex wala damu.........NAFIKIRI HATA UZI HUU KAUANZISHA makusudi kwa different I'd ili kuwachota watu........dokta FAKE anasema eti vipimo ni fake kisa sometimes vinakosea kwanza ikumbuke anayekupima ni binadamu anasema pia akakosea . Pia hata hivyo inashauriwa upime mara 3 tena ikibidi sehemu tofauti 3 na kwa miezi 3 wakiwa na maana kwamba inawezekana kipimo kilikosewa au mfano mtu aliyeambukizwa leo ukimpima kesho huwezi kuona kitu .......so DOKTA FAKE acha kutaka kuua watu makusudi . Wabongo wanapenda ngono kavu tutawazika wengi .

Ugonjwa wakupima zaidi ya mara tatu ndo upate uhakika kwakweli mim siwezi kupima..mtanisamehe..malaria napima naambiwa nina wadudu watatu hapo hapo naanza dozi sihitaji kupima mara tatu..hii hiv ina nn?
 
Mi najiuliza ni kwann huyu virus wa hiv hawatafuti namna yakuona kama virus wengine? Badala yake wanatupa assumption tu za huyu mdudu...

mkuu una uhakika na ukisemacho...!?? ni wapi umepata habari kuwa HIV virus haonekani...??
 
Attachments

  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    9.2 KB · Views: 249
Ugonjwa wakupima zaidi ya mara tatu ndo upate uhakika kwakweli mim siwezi kupima..mtanisamehe..malaria napima naambiwa nina wadudu watatu hapo hapo naanza dozi sihitaji kupima mara tatu..hii hiv ina nn?

ni katika kukupa knowledge tu..nafikiri kama siku 2 zlizo pita nlikujibu kwanini watu mnapima ukimwi zaidi ya mara tatu..!!

kama nilivyo sema hapo juu najaribu kuku fungua tu japo kuwa nimetoka nje ya mada....!!? je unajua haiwezekani mtu kupima malaria akakuta ana malaria 2,3,4.....10.. mtu lazma awe na malaria zaidi ya 40> kwa kila field itakayo fanywa na microscope..ila mna ambiwa ni malaria 2 au 3 kwakuwa nyie wenyewe ni vigeugeu mkienda pimwa msipokutwa na ugonjwa mnadai kuwa maabara flani waongo pamoja na vipimo vyao.... na sisi pia kama ma doctar japo tunajua majibu syo sahihi ila inabidi tu kubaliane kukwambia kuwa una malaria 3.. kwani iwapo uki ambiwa una malaria 70> si unaweza kufa kwa pressue kumbe ni jambo la kawaida...!!???
ili kuepusha haya yote wizara ya afya imeamua kutumia MRDT kipimo cha haraka na cha bei rahisi...ila tatizo lake linakuja kuwa ni kwamba baada yaku meza dawa za malaria mfano (SP or mseto wa ALU) malaria parasite wanakufa ila mwilini antgen zake znabaki ivyo utakuwa always ukpima unaomekana ve+ kumbe malaria walisha kufa....the same na typhoid izo antgen hutumia zaidi ya week 8 kuisha mwilini...ivyo basi inabidi watu kurudi kwnye golden standard microscope..!!!

ni knowledge tu nmekupa baada yakuongea issue ya malaria 2..3.
 
Yaani nyie kama ni madaktari nazidi kuumia sana....

Kuna watu zaidi ya kumi nawajua wameshawahi kuwa na TB na hawana hiyi HIV yako

Sijui unataka kudanganya kwa manufaa ya nani.....

uliwajua vp kama ni -ve...acha kujibu kipuzi ili na wewe uonekane uko team flani...na ndiyo maana apo juu nilimuliza mwezio.alikuwa na tb ya wap..??? na je hao watu walipona..?? na je ukiacha maandishi una kigezo kipi chaku nishawishi ...?? vna hitaji vigozo zaidi ya maneno mkuu....muda wa siasa ulisha isha page za mwanzo...!!
 
Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yanga. Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa . Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice . Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .

Kuna mtu anapewa ARVs halafu magonjwa yanayomsumbua hayatibiwi?

Yaani anapata afya njema kwa kunywa ARVs pekee bila kutibiwa maginjwa kama TB,Malaria n.k?
 
Huyu dokta FAKE yeye anangangania kuwa dawa ya ukimwi ni chakula yaani mlo kamili. Mimi nimemuuliza je USA, UK, Russia , Thailand .....watu wanaokufa na ukimwi nao hawali mlo kamili.......
Una uhakika wamekufa kwa ukimwi?

Pia.nani kasema ukimwi hauui?

Umekurupukia wapi wewe?
na je wanapoambiwa watumie condom au protected sex kujikinga na ukimwi wanadanganywa....maana dokta FAKE anasema ukimwi hauambukizwi na sex wala damu........
Kwanza ni dokta fake kwasababu ipi?

Unaweza kuthibitisha u-fake wake?

Pili,una uhakika hata hayo yanatokea kwenye hizo nchi au unasema unachokiona kwenye vyombo vya habari?

Tunaomba ushahidi wa haya...
NAFIKIRI HATA UZI HUU KAUANZISHA makusudi kwa different I'd ili kuwachota watu.......
Thibitidha hili kabla hujala BAN
dokta FAKE anasema eti vipimo ni fake kisa sometimes vinakosea kwanza ikumbuke anayekupima ni binadamu anasema pia akakosea . Pia hata hivyo inashauriwa upime mara 3 tena ikibidi sehemu tofauti 3 na kwa miezi 3 wakiwa na maana kwamba inawezekana kipimo kilikosewa au mfano mtu aliyeambukizwa leo ukimpima kesho huwezi kuona kitu .......so DOKTA FAKE acha kutaka kuua watu makusudi . Wabongo wanapenda ngono kavu tutawazika wengi .
Huo ubinadamu upo kwenye ukimwi tu?

Kwanini magonjwa mengine hakuna kupina mara nyingi hivi?

Kwanini malaria unapima mara moja tu?

Kwanini TB unapima mara moja tu?

Au haya maradhi mengine yanapimwa na malaika?
 
mkuu una uhakika na ukisemacho...!?? ni wapi umepata habari kuwa HIV virus haonekani...??

Umeweka mchoro tu huo...

Unanisikitisha kwasababu hata hujui maana ya ushahidi ni.nini...

Hivi hiyo ni picha kweli?

Aliegundua HIV mwenyewe hajawahi kumuona huyu kirusi halafu wewe mmatumbi uweze kumuona!?

Hivi mkikubali tu hakuna ushahidi wa hii kitu mtakufa?
 
1.mkuu unavyo sema vipimo feki vya HIV antbodies(protn) una maanisha nini...???

2.nme soma hapo juu nkaona una amini juu ya magonjwa halisia kama kaswende(syphilis)& typhoid fever....jee haya yana pimwa na nnn..!!!???

3.umesema watu hawapimwi kwaku tumia electron microscope...labda nikulize iyo machine hapa tanzania ipo wap..!!??

Hicho kipimo pamoja na kusema kuwa ni ghali hiyo electron microscope je is our lives cheaper than the kipimo? Maswala ya kubahatisha hizi issue ndo tatizo leo uko positive kesho uko negative what the he'll is this? Ordeal yote ya kusikia doctor a nakutakia death sentence mpaka mtu aje kukaa sawa ni unfair with the bilions of money stolen not just billions it's trillions bado hatuna uwezo wa kukinunua? Nadhani maisha ya mwana damu yanachukuliwa ni kitu cheap sana
 
ahsante kwa maoni sijui ni ishauri...ngja ni mngojee muhusika anijbu maswal 2 ya juu..!!
 
Monkeys wana SIV yao na haiwasumbui sana. Mbona yule Dr Robert alijiinject na sio mara moja au mbili? Si alikuwa na uhakika na anachokifanya kama Deception alivyo ns uhakika wa anachokiongea.
I am sure ikiwa proven hata Dr Asprin atafurahi maana unadhani anafurahia macondom ni basi tu.
Hahahahahahaaaaaaaaaaaaa...............:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Madaktari wanadai kuwa mtu hawezi kuugua TB bilanya kinga ya mwili wake kuwa na dosari,hii ina.maana kinga kuwa chini

Nini kinaishusha kinga ya mtu wakati kuna watu wanaugua bila kuwa na hii HIV yao?

Inamaana mtu anaweza kuwa na ukimwi(upungufu wa kinga mwilini) bila ya kuwa na HIV,hii inamaana kuwa kama kuna ukimwi unaosababishwa na HIV kutakuwa na ukimwi mwingine ambao hausababishwi na hao virusi?

Kama ni ndio,kwanini hawajatueleza hili?

Waache kutoa majibu mepesi.kwenye maswali magumu.....
 
Umeweka mchoro tu huo...

Unanisikitisha kwasababu hata hujui maana ya ushahidi ni.nini...

Hivi hiyo ni picha kweli?

Aliegundua HIV mwenyewe hajawahi kumuona huyu kirusi halafu wewe mmatumbi uweze kumuona!?

Hivi mkikubali tu hakuna ushahidi wa hii kitu mtakufa?

huo ni mfano tu nilie kuwa nakupa ujue structure nardia tena kukwambia usicho kijua syo lazma ubishanie ili kuonekana kuwa wajua kwan ata ukikaa kmya utaeleweshwa....je unafikiri mm ni mjinga kutetea structure ya virus...je unafkiri virus kila sku aonekani...?? nani kasema huyo mgunduzi haku mwona...?? je unafikiri ata hzo Arvs mnazo dai fake zlitolewa bila kujua structire& life cycle ya retrovirus ili kuweza kuzuia more replication...??? tumia akili.... jaribu jibu hayo maswali kadhaa kwanza ili uweze kwenda sawa na mm.
 
Nilichogundua Wengi wanaoshabikia huyu dokta FAKE wengi wao ni wale walipimwa na kukutwa na HIV+ sasa either wabishi hawataki kukubali au wanatafuta relief yaani wanajifariji au wanatamani itangazwe hata redioni kesho kuwa ukimwi hausababishwi na ngono ili wapate sababu. Au ni wale watu ambao starehe yao ni ngono na hawataki kutumia condom.........anachokifanya dokta FAKE ni kitu kidogo sana . Yeye ananukuu paper za wale waliopinga ukimwi basiii yaani ni sawa na ushabiki wa simba na yangu

Mkuu stare he ya ngono haihusiki hapa watu wako dilemma za watu waliowapoteza na issue sio ngono kwani wangapi ni partners mmoja a nao mwengine hana na wanazaa? Tupe jibu la hiyo kwamba utaacha mke au mume coz ameathirika! Wapo watu wanazaa mpaka leo na mmoja a nao mwengine hana jaribu kufikiria kidogo sio kuropoka tu coz una access ya kufanya hivo! Na hiv as they say km yupo basi anaambukiza kwa njia nyingi wala si ngono peke yake! I doubt we ndo muuza mechi mzuri ukisikia haya yana kuvuruga na unataka kujikosha na kauli zako

Maswali ya msingi anayakwepa anakadhania TB sijui mafua ......mtu alikuwa hoi hoi kaisha kabakia mifupa hata kula hali anaanzishiwa dozi ya ARV ana recover anarudi safi kabisa .

Kwa hiyo mgonjwa wa TB akiugua akawa mifupa ushauri wako hata kama hana hiv ape we ARV ili arudi safi kabisa?? Maana dawa za TB zina chukua muda pia

Dokta FAKE anasema dawa ya upungufu wa kinga mwilini ni chakula mlo kamili . Sasa mtu alifikia hatua hata ya kula hawezi atawezaje kula hizo juice .

Aah we kiboko hivi hujui hata homa mtu hawezi kula sa zingine? Grow up na utumie akili yako sawa sawa !huu mjadala mzito nadhani si wa level yako sijui umekurupukia wapi yaani ww mgonjwa akikonda a kashindwa kula a pige ARV ndo mtizamo wako ili aamke wanaokufa na malaria pia wapewe ARV basi dah! Balanced diet, ?Maji safi na salama, mazoezi na mazingira masafi has always been a key to our health and fitness believe it or not

Dokta FAKE na nyie waathirika taratibu jamani mtapotosha watu . Kuna watu walienda kwa babu wa loliondo wakaacha kula ARV walifariki fasta .

Tunamshukuru huyo doctor fake maana ana sound reasons ila kwa ww mwathirika mtarajiwa you will get into the debate when you are desparate and undecided you either get a message and choose your battle when time comes au ropoka ropoka utaporudi hii thread itakuwa haipo na utaanzisha ya kwako
 
huo ni mfano tu nilie kuwa nakupa ujue structure nardia tena kukwambia usicho kijua syo lazma ubishanie ili kuonekana kuwa wajua kwan ata ukikaa kmya utaeleweshwa....

Tazama kwanza ulichoandika ndio ujibu nilichokuuliza....
je unafikiri mm ni mjinga kutetea structure ya virus...je unafkiri virus kila sku aonekani...??
Aliekuambia virus haonekani nani?
nani kasema huyo mgunduzi haku mwona...??
Hakumwona nani?

Unapaswa ujue unachisema maana nyie madaktari vichwa vyenu vya ajabu sana

Inawezekana ukawa unazungunzia kitu kingine kabisa
je unafikiri ata hzo Arvs mnazo dai fake zlitolewa bila kujua structire& life cycle ya retrovirus ili kuweza kuzuia more replication...???
Hivi retrovirus wote ni HIV?

Kama sio bado unajiona upo sahihi bado kuniuliza hivi?

Hivi unajua kuwa binadamu anajua kuwa kuna retrovirus karne nyingi kabla ya Gallo kuja na series yake?
tumia akili.... jaribu jibu hayo maswali kadhaa kwanza ili uweze kwenda sawa na mm.
Nonesense questions ....

Sijui kitu kuhusu haya masuala lakini huwezi kunidanganya kirahisi na kijinga hivi

Leta maelezo yenye mantiki tukuelewe...
 
Yaani nyie kama ni madaktari nazidi kuumia sana....

Kuna watu zaidi ya kumi nawajua wameshawahi kuwa na TB na hawana hiyi HIV yako

Sijui unataka kudanganya kwa manufaa ya nani.....

Kuna Mtu nina Mfano hai Aliugua TB na Mkanda Wa Jeshi Watu wakawa wanasema Tayari keshapata HIV huyuuu maana Alikonda na Kukooa kwa Sanaaaa.. akapelekwa Hospital walipomuana Na Daliki hizo tu Wakakimbilia Kipimo Kikubwa Yaani HIV test .. Cha Kushangaza Wakakuta Negative hospital naihifadhi jina....

Ndugu zake wakataja Matatizo ya Huyo mama Ni kutopenda Kula Kabisa Yaani hapendi kula Na Hata Kama Akila Ni ile Kugusa Gusa Anaacha..

Daktari akampa Ushauri na Dawa za Hamu ya Kula yupo poa na Wala Hana Matatizo...
 
Una uhakika wamekufa kwa ukimwi?

Pia.nani kasema ukimwi hauui?

Umekurupukia wapi wewe?

Kwanza ni dokta fake kwasababu ipi?

Unaweza kuthibitisha u-fake wake?

Pili,una uhakika hata hayo yanatokea kwenye hizo nchi au unasema unachokiona kwenye vyombo vya habari?

Tunaomba ushahidi wa haya...

Thibitidha hili kabla hujala BAN

Huo ubinadamu upo kwenye ukimwi tu?

Kwanini magonjwa mengine hakuna kupina mara nyingi hivi?

Kwanini malaria unapima mara moja tu?

Kwanini TB unapima mara moja tu?

Au haya maradhi mengine yanapimwa na malaika?

Pay no mind to that idiot, he does not worth your replies, leave him please
 
Back
Top Bottom