Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


Na watuambie kama suluhisho la kinga kishuka kwa njia hizi mbili ni matumizi ya ARVs? Ivi wagonjwa wa TB ambao ni HIV negative huwa wanapewa ARVs ili kuimarisha kinga yao?
 
Duuuu
Yaani sie kuruhusu akili zetu kufunguka tumekuwa waathirika

Kalaghabaho muyawe

Dear sis, do you even care? I'm not bothered at all, whether we are or not, that has nothing to do with him, he chooses to be ignorant, let him be

What a weak point? Eti wengi wameathirika so wanataka kujifariji, he is imbecile, he does not think properly, he is mpuuzi, ana mawazo mpauko
 
Na watuambie kama suluhisho la kinga kishuka kwa njia hizi mbili ni matumizi ya ARVs? Ivi wagonjwa wa TB ambao ni HIV negative huwa wanapewa ARVs ili kuimarisha kinga yao?
Mkuu hili swali ni zuri sana ....

Lakini kubwa kuliko ni kwamba,ni kitu gani kimefanya kinga yao kuwa chini?

Je kuna ukimwi [upungufu wa kinga mwilini] wa aina ngapi?
 

Ni mipango tu mkuu...alafu sidhan kampen ya ukimwi ulaya ni sawa na Afrika...
 
Mkuu hili swali ni zuri sana ....

Lakini kubwa kuliko ni kwamba,ni kitu gani kimefanya kinga yao kuwa chini?

Je kuna ukimwi [upungufu wa kinga mwilini] wa aina ngapi?

Hapa ndipo madokta wanapotuchanganya...kuna mmoja kakubali kuwa kinga ya mwili ikishuka waweza pata TB ila siyo lazima kuwa HIV+,,mwingine kasema ukiugua TB basi wew ni HIV+,,watu wametoa ushuhuda humu akiwemo Deception kwamba waliwahi kuugua TB na walikuwa HIV-....huu ni udakitari au sihasa?
 
Mkuu hawa watu ni wa ajabu kweli kweli ....

Huu udaktari wetu ni sheeeda .....!!
 
Naomba kutofautiana na wewe, katika vimiminika vinavyotoka kwa binadamu, including machozi, damu shahawa na ute wa ukeni, mahali kulikokutwa na kiasi kikubwa cha VVU ni kwenye damu, shahawa na ute wa ukeni. Kwahiyo si sahihi kusema VVU havipo kwenye shahawa. Virusi vipo kwenye shahawa na ute wa ukeni, isipokuwa virusi haviambukizwi kwa kugusanisha hivyo vimiminika tu. Virusi vinaambukizwa pale tu ute wa ukeni na shahawa zinapoingia kwenye mfumo wa damu. Kama ingekuwa virusi vinapatikana kwenye damu tu, basi kwa hakika rate ya maambukizi isingefikia hapa ilipofika. Maana wakati mwingine huwa si lazima wawili wanaoshiriki tendo la ndoa wachubuke. Wewe mwanaume unaweza kupata michubuko na mwanamke asichubuke na yet ukapata virusi. Likewise, mwanamke anaweza kupata michubuko ukeni na mwanaume asipate na bado mwanamke akapata VVU. Usahihi ni kwamba katika lile tendo, umakini uwepo katika kuandaana ili michubuko isitokee kwa yeyote kati yenu.
 

Kutokana na uwezo wako mdogo wa kufikiri na kwa kuwa una bias,huwezi kujua kama umeshajibiwa.

Hivi BP oil company wanauza mafuta Afrika peke yake?Au na ulaya pia wanauza?Kama wanauza sehemu zote duniani,Je,kwa nini biashara ya ARVs na condom isiwe hivyo?Hujui kwamba zote hizi ni biashara?
 
Mkuu hili swali ni zuri sana ....

Lakini kubwa kuliko ni kwamba,ni kitu gani kimefanya kinga yao kuwa chini?

Je kuna ukimwi [upungufu wa kinga mwilini] wa aina ngapi?

Mkuu wasiwaumize sana vichwa hao ma DR.kama umeshawaelewa basi ni rahisi sana kufanya hitimisho.Kuna Dr mmoja amesema huwezi kuwa na ukimwi bila kuwa na HIV,kwa maana hiyo kila ukimwi unasababishwa na HIV.Halafu kuna Dr mwingine amesema ili upate TB lazima kinga yako iwe imeshuka yaani uwe na upungufu wa kinga mwilini(Ukimwi).Maelezo yake haya hapa chini;


Sasa kwa kuwa si wote wenye TB wana HIV,hivyo basi,tunaweza kufanya hitimisho kwamba mtu unaweza kupata ukimwi hata bila ya huyo HIV.Safi sana hii,yaani iko wazi kabisa bila chenga.

Halafu kingine ni kwamba,madaktari hawa wanajichanganya/wanatofautiana wenyewe kutokana na maelezo yao kama nilivyosema hapo juu,lakini ukiwabana watakwambia ni typing error,yaani hawakosagi jibu hawa.Hivyo basi kuwaamini hawa madaktari ni kama umeweka maisha yako rehani.


Therefore:
Unaweza kupata ukimwi bila HIV;

Cha msingi sasa ni kujua kama je,HIV anasababisha ukimwi?

Jibu ni kwamba si kweli.Kuna uthibitisho mwingi tu wa kisayansi/scientific papers niliweka humu kuonesha hilo,pia kuna mifano hai mingi tu imeletwa na watu humu kuonesha hilo hata mimi ninayo yangu mingi tu.

Pia,ingawa documentary sio scientific paper,lakini inaweza kutumika kama uthibitisho wa jambo fulani endapo utamsikia wewe mwenyewe muhusika anaongelea jambo fulani.Samahani;

Kuna video mwana JF mmoja ameleta muda si mrefu inayo muonesha mgunduzi wa HIV akiongelea suala hilo.Wanao sapoti HIV kwamba anasababisha Ukimwi hoja yao ni moja tu kubwa,kwamba HIV anaua T-cells.Sasa hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi kuonesha kwamba HIV anaua T-cells.Wanaopinga HIV/AIDS wameshalizunguzia hili mara nyingi sana.Lakini unaweza kusema kwamba wanavutia upande wao,sasa kama kweli wanavutia upande wao,msikilize huyu mgunduzi wewe mwenye anapoulizwa swali kwamba je,HIV anaua T--cells?

Sasa huyu mgunduzi anasema kwamba HIV kuua T-cells haijathibitishwa bali is still hypothesis/assumption.Nadhani unaweza kuingalia wewe mwenyewe kwa muda wako kuthibitisha hili.

Sasa kama mgunduzi anasema hakuna uthitibitisho kwamba HIV anaua T cells,hawa madaktari wetu kajamba nani ambao hata hao wenyewe wanajichanganya wameupata wapi?

Angalieni wenyewe hapo chini kwa muda wenu:concentrate hasa kwenye dk 1 hadi 7 specicifically kwa ishu hii,anazidi kukubali kwamba HIV anadhibitiwa na kinga ya mwili.Hata Anthony Fauci mkurugenzi wa CDC ya USA anasema kwamba HIV kuua T cell bado haifahamiki.Hawa ni wasanii sana.

https://m.youtube.com/watch?v=PyPq-waF-h4
 
Jana nilikuwa na kikao na mganga mkuu wa hosp fulani kubwa nilikuwa nimeenda kwa maswala ya uzazi kwa mke wangu baada ya stori nyingine nikapachika stori juu ya maswala ya HIV katika kuongea na kupiga stori dokta akaanza kunifunilia kisa fulani cha mama mmoja alikuwa anaumwa sana madaktari wakakimbilia kumpima majibu yakawa HIV + baada kupima wakampa septrin baada wakamwambia arudi tena muda fulani yule mama akaondoka zake baada ya muda akaenda hosp kubwa kupima cd4 zake sasa akakutana na dokta mkuu dokta kabla ya kumpima cd4 zake alipenda sana kujua historia yake mpaka akapima huko hospital nakuambiwa HIV+ basi katika katika historia ya yule mama alikuwa mtumiaji sana wa dawa za anti biotics mmmh dokta aliposikia kitu kama hizo akaomba yule mama apime tena HIV yule mama alikataa na kuwa makali mm nimekuja kupima cd4 zangu sikuja kupima HIV kwani tayari ninao basi dokta alijitahidi sana kumpa elimu ya kutosha basi yule mama alikubali kupimwa tena kwa shingo upande damu ilichukuliwa na kupelekwa mahabara majibi yalikuja mama ni HIV negative mama alikataa yale majibu katukata baada ya hapo dokta alichukua sampo ya damu ya yule mama ikapelekwa hosp tofauti na mwisho ilipelekwa mhimbili na majibu yakarudi ni negative basi mama akaitwa akapewa majibu yake kwa mara ya pili alikubali kwa shingo upande baadae dokta akaanza kumpa tena elimu ya nn kilichotokea mpaka apata yale majibu
 

Siamini kabisa kama kuna daktari aliye somea udaktari anaweza kusema kila mwenye TB basi ana virusi vya UKIMWI...! Basi kama yupo ana hitaji kurudi darasani!

Na si kwamba mjadala huu ni mzito bali kuna ubishi usio na tija...siamini daktari mzima bado ana ng'ang'ania swala kama hili ....Mimi nina mtu wa karibu ana TB na anatibiwa lakini hana virusi vya UKIMWI pia nilikuwa na ndugu yangu alikuwa na Virusi vya UKIMWI na aliugua hadi ana kufa na hakuwai kupata TB kabisa na alipo ugua malaria ndio alikufa...!

Mnacho takiwa kujua kwenye huu mjadala kuwa si kila Dr anajua vyema kuhusu UKIMWI na Virusi vya UKIMWI ...Mimi sio Dr lakini mtu hawezi kunidanya lolote kuhusu UKIMWI na Virusi vya UKIMWI! Uzuri ni kwamba mimi shughuli kama hizi nimeshawai kushiriki na nimekaa sana na wagonjwa na Elimu hii naifahamu vizuri!

Kuna sehemu fulani tulikwenda huko njombe..kuna Baba alikuja na Mkewe na uwezi amini huyu baba alisema mkewe alikutwa na virusi toka mwaka 2000 na walikuwa hawatumii condom na yeye ni mzima na ameshapima zaidi ya mara kumi ..na kweli mkewe ni muathirika ilibidi kumshauri awe anatumia condom..hii ilikuwa 2008!
 

Rutashobolwa soma vizuri utaona tu! Na huyo ndugu yako aliyefariki je alikuwa anatumia ARV?
 
Yaah alikuwa ana tumia kabisa..tena zaidi ya mwaka..!

Ndio maana Deception aliandika kuwa dawa za kurefusha maisha si kweli zina refusal maisha zenyewe tu zina side effect kubwa ukijumlisha kuleta ukimwi sasa hapo nadhani ni akili kichwa ni maana inawezekana kabisa kuwa pamoja na kuwa malaria inaua ila hata hizo dawa zina mchango wake
 

Mimi nakwambia mjadala huu ni mzito kwako.Huwezi kunielewa kirahisi mpaka usome kwa makini yaliyoandikwa humu.


Kuna msemo unasema,kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria,unaujua?


Kwa hiyo pamoja na uelewa wote ulionao kwamba HIV anaambikizwa kwa ngono bila kinga lakini jambo hilo hapo juu hakuna mtu kati yenu aliyejiuliza swali lolote?Wewe huoni tatizo hapo?Ndio maana nilikwambia elimu hii ni nzito sana kwako.

..... ilibidi kumshauri awe anatumia condom..hii ilikuwa 2008!

He hee hee!
Kwa hiyo miaka yote 8 wanaishi pamoja na walikuwa wanafanya ngono bila kinga lakini hakuambukizwa HIV,ninyi mlipoonana naye ndio mmeona aanze kutumia kinga.Inasikitisha sana kwamba huoni kitu hapo,na ndio maana nilikwambia hapa ni pazito ndugu yangu,inabidi utulize akili kidogo.
Humu kuna mifano mingi sana kama huo ulioleta wewe,hebu angalia mfano huu hapo chini ambao umepatikana jana tu na mhusika kauandika leoleo;


Kwa watu wanaoamini suala zima la HIV/AIDS wanataka tuendelee kupuuza tu mikanganyiko hii na badala yake tuwaamini wao kama miungu.

Kwa ndugu yangu Ruttashobolwa kwa mikanganyiko hii huoni kama kuna jambo unatakiwa kulijua hapa?
 
Huyo alieugua hadi kufa alikuwa na virusi vya ukimwi namna gani?

Maana kwa mujibu wa kinachoendelea hapa hakuna ushahidi kuwa kuna kirusi kinachosababisha ukimwi labda wewe unaweza kutupa huo ushahidi ambao akina Gallo wameukosa na wao ndio walianzisha hii ngonjera ya HIV+=ukimwi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…