Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,517
- 1,044
mkuu una uhakika na ukisemacho...!?? ni wapi umepata habari kuwa HIV virus haonekani...??
Mkuu hii ni picha au mchoro?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu una uhakika na ukisemacho...!?? ni wapi umepata habari kuwa HIV virus haonekani...??
Madaktari wanadai kuwa mtu hawezi kuugua TB bilanya kinga ya mwili wake kuwa na dosari,hii ina.maana kinga kuwa chini
Nini kinaishusha kinga ya mtu wakati kuna watu wanaugua bila kuwa na hii HIV yao?
Inamaana mtu anaweza kuwa na ukimwi(upungufu wa kinga mwilini) bila ya kuwa na HIV,hii inamaana kuwa kama kuna ukimwi unaosababishwa na HIV kutakuwa na ukimwi mwingine ambao hausababishwi na hao virusi?
Kama ni ndio,kwanini hawajatueleza hili?
Waache kutoa majibu mepesi.kwenye maswali magumu.....
Duuuu
Yaani sie kuruhusu akili zetu kufunguka tumekuwa waathirika
Kalaghabaho muyawe
Mkuu hili swali ni zuri sana ....Na watuambie kama suluhisho la kinga kishuka kwa njia hizi mbili ni matumizi ya ARVs? Ivi wagonjwa wa TB ambao ni HIV negative huwa wanapewa ARVs ili kuimarisha kinga yao?
Hakuna kitu hapa kama nilivyosema ni kundi la waathirika na dokta fake anayetafuta pa kutokea.......nimeuliza zaidi ya mara tatu wanakwepa maswali wanakuja na vitisho vya kipuuzi mno.........US. UK. Asia...... hawali mlo kamili? Je wanapoambiwa watumie condom wanadanganywa abt ukimwi? Maana huku africa mmesema tunachukiwa coz ni african black
Mkuu hili swali ni zuri sana ....
Lakini kubwa kuliko ni kwamba,ni kitu gani kimefanya kinga yao kuwa chini?
Je kuna ukimwi [upungufu wa kinga mwilini] wa aina ngapi?
Mkuu hawa watu ni wa ajabu kweli kweli ....Hapa ndipo madokta wanapotuchanganya...kuna mmoja kakubali kuwa kinga ya mwili ikishuka waweza pata TB ila siyo lazima kuwa HIV+,,mwingine kasema ukiugua TB basi wew ni HIV+,,watu wametoa ushuhuda humu akiwemo Deception kwamba waliwahi kuugua TB na walikuwa HIV-....huu ni udakitari au sihasa?
Mkuu hii ni picha au mchoro?
Naomba kutofautiana na wewe, katika vimiminika vinavyotoka kwa binadamu, including machozi, damu shahawa na ute wa ukeni, mahali kulikokutwa na kiasi kikubwa cha VVU ni kwenye damu, shahawa na ute wa ukeni. Kwahiyo si sahihi kusema VVU havipo kwenye shahawa. Virusi vipo kwenye shahawa na ute wa ukeni, isipokuwa virusi haviambukizwi kwa kugusanisha hivyo vimiminika tu. Virusi vinaambukizwa pale tu ute wa ukeni na shahawa zinapoingia kwenye mfumo wa damu. Kama ingekuwa virusi vinapatikana kwenye damu tu, basi kwa hakika rate ya maambukizi isingefikia hapa ilipofika. Maana wakati mwingine huwa si lazima wawili wanaoshiriki tendo la ndoa wachubuke. Wewe mwanaume unaweza kupata michubuko na mwanamke asichubuke na yet ukapata virusi. Likewise, mwanamke anaweza kupata michubuko ukeni na mwanaume asipate na bado mwanamke akapata VVU. Usahihi ni kwamba katika lile tendo, umakini uwepo katika kuandaana ili michubuko isitokee kwa yeyote kati yenu.Virus vinaishi kwenye damu. Watu wamejaribu kupambanua njia tofauti tofauti za maambukzi. Ila njia ni moja tu. Kukiwa na muingiliano wa damu kati ya muathirika na asiye athirika.
Kwa wanawake ni rahisi sana kuambukizwa kutokana na jinsi maumbile yao yalivyo. Katika uke wa mwanamke kuna chembe chembe nyeupe za damu nyingi hususni wa kati wa tendo husika. Na tunajua HIV huwa vinaishi ndani ya WBC.
Ishu za manii ama orgasm fluids zinapotoka huwa hazina uhalisia wa moja kwa moja wa kuwa na VVU
Hakuna kitu hapa kama nilivyosema ni kundi la waathirika na dokta fake anayetafuta pa kutokea.......nimeuliza zaidi ya mara tatu wanakwepa maswali wanakuja na vitisho vya kipuuzi mno.........US. UK. Asia...... hawali mlo kamili? Je wanapoambiwa watumie condom wanadanganywa abt ukimwi? Maana huku africa mmesema tunachukiwa coz ni african black
nipoa nafatilia kwa umakini sana
Mkuu hili swali ni zuri sana ....
Lakini kubwa kuliko ni kwamba,ni kitu gani kimefanya kinga yao kuwa chini?
Je kuna ukimwi [upungufu wa kinga mwilini] wa aina ngapi?
labda nisaidie jibu hili swali...!
nikwamba hali hii inatokana na swala la upungufu wa kinga mwilini niki maanisha kwamba mtu alie na kinga pungufu mwilini(cd4) ndiye atakaye pata TB(tuberclosis) ila kwa asye na upungufu wa kinga mwilini hawezi pata maambukizi ya TB...kwasababu kinga zake ziko vzuri...............nafkiri utakuwa umenielewa kwanini watu wengine wanaweza ambukizwa TB na wengine hawawezi..!!
Hiyo elimu unayoitoa ni nyepesi mno,kila mtu anaijua humu,hukufuatilia vizuri mjadala huu toka mwanzo.Huyo DR alisema hivyo mara nyingi tu na akaulizwa na kurudia vilevile,na alikuwa anamaanisha hivyo,si bahati mbaya,hata wewe muulize.
Ukitaka kuona kwamba mjadala huu ni mzito kuliko unavyofikiri,wewe fuatilia tu.
Siamini kabisa kama kuna daktari aliye somea udaktari anaweza kusema kila mwenye TB basi ana virusi vya UKIMWI...! Basi kama yupo ana hitaji kurudi darasani!
Na si kwamba mjadala huu ni mzito bali kuna ubishi usio na tija...siamini daktari mzima bado ana ng'ang'ania swala kama hili ....Mimi nina mtu wa karibu ana TB na anatibiwa lakini hana virusi vya UKIMWI pia nilikuwa na ndugu yangu alikuwa na Virusi vya UKIMWI na aliugua hadi ana kufa na hakuwai kupata TB kabisa na alipo ugua malaria ndio alikufa...!
Mnacho takiwa kujua kwenye huu mjadala kuwa si kila Dr anajua vyema kuhusu UKIMWI na Virusi vya UKIMWI ...Mimi sio Dr lakini mtu hawezi kunidanya lolote kuhusu UKIMWI na Virusi vya UKIMWI! Uzuri ni kwamba mimi shughuli kama hizi nimeshawai kushiriki na nimekaa sana na wagonjwa na Elimu hii naifahamu vizuri!
Kuna sehemu fulani tulikwenda huko njombe..kuna Baba alikuja na Mkewe na uwezi amini huyu baba alisema mkewe alikutwa na virusi toka mwaka 2000 na walikuwa hawatumii condom na yeye ni mzima na ameshapima zaidi ya mara kumi ..na kweli mkewe ni muathirika ilibidi kumshauri awe anatumia condom..hii ilikuwa 2008!
Rutashobolwa soma vizuri utaona tu! Na huyo ndugu yako aliyefariki je alikuwa anatumia ARV?
Yaah alikuwa ana tumia kabisa..tena zaidi ya mwaka..!
Siamini kabisa kama kuna daktari aliye somea udaktari anaweza kusema kila mwenye TB basi ana virusi vya UKIMWI...! Basi kama yupo ana hitaji kurudi darasani!
Na si kwamba mjadala huu ni mzito bali kuna ubishi usio na tija...siamini daktari mzima bado ana ng'ang'ania swala kama hili ....Mimi nina mtu wa karibu ana TB na anatibiwa lakini hana virusi vya UKIMWI pia nilikuwa na ndugu yangu alikuwa na Virusi vya UKIMWI na aliugua hadi ana kufa na hakuwai kupata TB kabisa na alipo ugua malaria ndio alikufa...!
...Mnacho takiwa kujua kwenye huu mjadala kuwa si kila Dr anajua vyema kuhusu UKIMWI na Virusi vya UKIMWI ...Mimi sio Dr lakini mtu hawezi kunidanya lolote kuhusu UKIMWI na Virusi vya UKIMWI! Uzuri ni kwamba mimi shughuli kama hizi nimeshawai kushiriki na nimekaa sana na wagonjwa na Elimu hii naifahamu vizuri!..
...Kuna sehemu fulani tulikwenda huko njombe..kuna Baba alikuja na Mkewe na uwezi amini huyu baba alisema mkewe alikutwa na virusi toka mwaka 2000 na walikuwa hawatumii condom na yeye ni mzima na ameshapima zaidi ya mara kumi ..na kweli mkewe ni muathirika...
..... ilibidi kumshauri awe anatumia condom..hii ilikuwa 2008!
Jana nilikuwa na kikao na mganga mkuu wa hosp fulani kubwa nilikuwa nimeenda kwa maswala ya uzazi kwa mke wangu baada ya stori nyingine nikapachika stori juu ya maswala ya HIV katika kuongea na kupiga stori dokta akaanza kunifunilia kisa fulani cha mama mmoja alikuwa anaumwa sana madaktari wakakimbilia kumpima majibu yakawa HIV + baada kupima wakampa septrin baada wakamwambia arudi tena muda fulani yule mama akaondoka zake baada ya muda akaenda hosp kubwa kupima cd4 zake sasa akakutana na dokta mkuu dokta kabla ya kumpima cd4 zake alipenda sana kujua historia yake mpaka akapima huko hospital nakuambiwa HIV+ basi katika katika historia ya yule mama alikuwa mtumiaji sana wa dawa za anti biotics mmmh dokta aliposikia kitu kama hizo akaomba yule mama apime tena HIV yule mama alikataa na kuwa makali mm nimekuja kupima cd4 zangu sikuja kupima HIV kwani tayari ninao basi dokta alijitahidi sana kumpa elimu ya kutosha basi yule mama alikubali kupimwa tena kwa shingo upande damu ilichukuliwa na kupelekwa mahabara majibi yalikuja mama ni HIV negative mama alikataa yale majibu katukata baada ya hapo dokta alichukua sampo ya damu ya yule mama ikapelekwa hosp tofauti na mwisho ilipelekwa mhimbili na majibu yakarudi ni negative basi mama akaitwa akapewa majibu yake kwa mara ya pili alikubali kwa shingo upande baadae dokta akaanza kumpa tena elimu ya nn kilichotokea mpaka apata yale majibu
Huyo alieugua hadi kufa alikuwa na virusi vya ukimwi namna gani?Siamini kabisa kama kuna daktari aliye somea udaktari anaweza kusema kila mwenye TB basi ana virusi vya UKIMWI...! Basi kama yupo ana hitaji kurudi darasani!