Angalau wewe umeanza kwa kuuliza na si kupinga.Napenda kukushauri kwamba,mada hii ni nzito na inahitaji uwe na open/free mind ili uelewe,usijikite kwenye kupinga zaidi bali jikite kwenye hoja za kudadisi zaidi.
1.Swali lako hapo juu ni zuri sana.Kuna mmoja nilimjibu hili.Nilisema kwamba kuna magonjwa mengi yapo hata kabla ya kutangaziwa ugonjwa huu feki wa HIV/AIDS ambayo huwafanya watu wakonde na hata kupungua sana uzito.Je,hujui kama TB nayo ina dalili hizi,kama huamini hebu ingia mtandaoni ili ujithibitishie hili.Hawa jamaa wamezishika akili zetu na tumezuiwa kufikiri kabisa kwamba TB nayo ina dalili kama hizi na ndio mojawapo ya magonjwa yaliyoua watu wengi miaka hiyo hata kabla watu hawajaanza kutumia ARVs.Ingia link hapo chini uone dalili za TB.
Tuberculosis Causes, Symptoms, Treatment - Tuberculosis Symptoms and Signs - eMedicineHealth
2.Kuwa makini,elimu nzito inakuja hapa;
Kunyonyoka nywele ni dalili mojawapo pia kwa wagonjwa wa cancer/saratani wanaotibiwa kwa dawa za chemotherapy,dawa hizi huwa zinauwa kinga na kudhibiti chanzo cha kuzalisha nywele na hivyo nywele hunyonyoka.Kama huamini ingia mtandaoni uangalie side effects za chemotherapy.
Sasa basi,ARVs zinazotumiwa na watu ambao wamebambikiwa kesi ya kuwa na HIV pia zina component ya chemorapy ila katika dozi ndogo.Unapotumia ARVs kwa muda mrefu na hasa bila kuzingatia lishe bora itafikia muda nywele zako zitakuwa dhaifu na kunyonyoka.Hii ni kwa sababu component ambayo ipo kwenye dawa za chemotherapy ipo pia kwenye ARVs.
Kama hujui mtandao wa kuingia,basi ingia hapa chini uone side effects za chemotherapy.Fahamu pia kwamba side effects za chemotherapy zinafanana kabisa na side effects za ARVs kwa kuwa zina common component ambayo kazi yake ni kuua cell za mwili,na kazi yake hii walimaanisha iwe hivyo,hawajakosea.
Haya mambo ni sayansi tu.Ukijua ukweli wa mambo fulani, halafu ukijua sayansi,huwezi kudanganywa kirahisi.
Unasababishwa na kirusi aitwaye vericella/herpes zoster.Sababu kuu ya ugonjwa huu ni upungufu wa kinga.Hivyo tiba yake ni kurudisha kinga ya mwili na ugonjwa utapona kirahisi kabisa kwa kuwa virusi hivi hudhibitiwa vizuri sana na kinga ya mwili.Najua utashangaa.Upungufu wa kinga pia usikutishe,ni suala dogo sana hili,upungufu wa kinga unaweza kuwa nao kama huli vizuri,mnywaji sana wa pombe bila kula vizuri,utumiaji wa madawa ya hospitali mara kwa mara kama vile antibiotics,diclofenac,vidonge vya uzazi wa mpango,ARVs nk,utumiaji wa madawa ya kulevya nk.Najua pia na hapa utashangaa,maana siku hizi vitu vya kawaida watu huviona vya ajabu na vya ajabu huviona vya kawaida.Hii ni sayansi na sio hisia zangu binafsi.
Nilikueleza hapo juu kwamba mojawapo ya magonjwa ambayo watu hujifanya kukisingizia kirusi VVU kwamba kimesababisha ilihali si kweli ni ugonjwa wa TB.Nimekupa link hapo juu usome dalili za TB ambayo najua hutapinga kwamba TB haisababishwi na HIV,soma hiyo link na kama dalili utakazozisoma hazijatosha basi unaweza kunitajia maradhi hayo ambayo wewe unasema hayana idadi na mimi nitakwambia yanasababishwa na nini hata kama mtu hatumii ARVs.
Tatizo watu wengi hawajui sayansi,wamezi-lock akili zao kwamba HIV ndio msababishaji wa magonjwa zaidi ya 30 na wameng'ang'ania hicho wanachokijua bila kwenda upande wa pili wa shilingi na kujiuliza kwamba huyo HIV anawezaje kusababisha magonjwa yote hayo peke yake.Kama hujui sayansi,huwezi kujua ukweli huu na badala yake mtu ataishia kupinga tu bila kuwa na hoja zozote za kisayansi anazozisimamia.
Rahisi sana.Ni hivi,angali mtiririko hapo chini;
-AIDS=UKIMWI=Upungufu wa Kinga Mwilini.Kinga inashindwa kufanya kazi yake.
-Kinga ya mwili si kitu kingine bali ni seli(si seli zote bali ni seli maalum)
-ARVs zina side effects nyingi ikiwemo ile ya kuua seli za mwili na kudhibiti uzalishwaji wa seli hizo hasa makao makuu ya kuzalisha seli hizo(bone marrow)
-ARVs zinasababisha lactic acidiosis kwenye damu.Damu inapokuwa na acid nyingi seli zinashindwa kupumua,zinakosa oksijeni,fikiria wewe ukikosa oksijeni utaishi vipi?Kama seli zitakosa oksijeni basi mitochondria(kitovu cha kuzalisha nguvu kwenye seli) haitafanya kazi na hivyo seli zitashindwa kufanya kazi na mwishowe hufa.
Kama ninayoeleza hapo juu ni kweli,basi ni kweli pia ARVs zinasababisha AIDS.Ili kuthibitisha kama ni kweli ,soma/fuatilia hizo link hapo chini;Ukitaka scientific paper/proof utaniambia nitakupa.Hiyo ni link ya wamarekani wenyewe waliotudanganya kuhusu ugonjwa huu,sio mimi.Ina maana hao wenyewe wanakubali kwamba dawa za ARVs zina matatizo.
Tenofovir Disoproxil Fumarate (Viread) | Patient Version | AIDSinfo
Ulishawahi pia kujiuliza kwamba;
1.Je HIV ni kirusi kipya au kilikuwapo miaka mingi kabla ya kutangazwa mwaka 1984?
2.Kama kilikuwapo miaka/karne nyingi,Je,kwa nini hakikusababisha AIDS miaka mingi ya nyuma na kije kisababishe AIDS miaka ya hivi karibuni?
HIV ni retrovirus ambaye amesingiziwa kwamba yeye(retrovirus) ndio anayesababisha AIDS,na ndio kisa cha kupewa jina hili HIV.Retrovirus huyu alikuwapo karne nyingi zilizopita na si kirusi kipya.Sasa kwa nini hakikusababisha AIDS miaka ya nyuma na kije kusababisha miaka ya hivi karibuni?