Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Deception kweli binafsi namwombea Mungu amjalie maisha marefu. Nilikua naugua malaria kila baada ya miezi mitatu natumia dawa za Kizungu eg- Cortexin nk. Baada ya kuanza kutumia limao nina mwaka na miezi minne sijaugua malaria. Nina kg 115 lakini nimekua mwepesi sana. Waungwana tusimpuuze Deception ila jaribu kufuata asemacho utaona faida nyingi kiafya. Malimao, Swaumu,Tangawizi, Mlonge, Asali, ni vitu rahisi kupatikana kwanini usijaribu kuvitumia uone faida zake kiafya.? Acha uvivu na kudharau bila kuchukua hatua vinginevyo Wazungu watatumaliza.
 
Una kilo 115 uko mwepesi mbona unasema maneno ya uongo Mkuu.@bushman10 Kiafya uzito wa kilo 115 sio mzuri kabisa wewe utakuwa hukosi kuwa na maradhi ya Presha.
 
Nimekuelewa kiasi huyo hiv nn haswa na ametokana nn?? Na watu ambao wanaishi nae huyo virus wafanye nn ili kua best host n lve longer??.,........thanx in advance 4 your advice
 
Nimekuelewa kiasi huyo hiv nn haswa na ametokana nn?? Na watu ambao wanaishi nae huyo virus wafanye nn ili kua best host n lve longer??.,........thanx in advance 4 your advice

Thread hii ina kurasa 68,wewe umeni quote kurasa ya 4....sasa soma post zangu zote zilizobaki,tena usome kwa makini sana,ukimaliza utapata majibu yote.Karibu.
 
Una kilo 115 uko mwepesi mbona unasema maneno ya uongo Mkuu.@bushman10 Kiafya uzito wa kilo 115 sio mzuri kabisa wewe utakuwa hukosi kuwa na maradhi ya Presha.
Sio kila kilo 115 ni obesity mkuu yategemea na urefu wake

Nilitegemea umuulize kwanza urefu wake kabla hujahitimisha
 
Sijamuona siku nyingi sana Deception humu JF
 
Sio kila kilo 115 ni obesity mkuu yategemea na urefu wake

Nilitegemea umuulize kwanza urefu wake kabla hujahitimisha
Kiafya Uzito wa binadamu haswa kwa mwanamme usizidi xaidi ya kilo 80 au awe chini ya hizo kilo ukizidi hapo ni matatizo utakuwa na tumbo, maradhi ya Presha yatakuandama na kila maradhi utaweza kuyapata . Je mtu mwenye kilo 115 na hafanyi mazoezi ya aina yoyote yale Je kweli atakuwa anayo afya nzuri huyo?
 

Kajifunze maana ya Body Mass Index kwanza halafu ndio uje tuendelee ndugu Mzizi
 
Sipendi kushindana mimi shauri yako. Afya si ya kwako kwani ukiwa na maradhi mimi ndio nitadhurika? Utajibeba shauri yako

Ha ha ha mkuu kubali kuelimika next time wagonjwa wako wafanyie assesment ya uzito kwa kutumia BMI ni kitu kizuri kujifunza kutoka kwa wengine individual weight is not a reliable measure of obesity
 



!
!
inawezekana kabisa tena bila shida.
 
Nina hizo kilo 115 na pressure na sukari zote ziko normal. Siwezi kudanganya.
 

Nitembelee Arusha kwenye mahabara ya Molecular nitafute kwenye Email yangu jimjamtz@icloud.com . Wewe utakuwa shuhuda na utaelimisha wengi sana. Ni somo complicated lkn utatafuniwa hadi uelewe, Fanya appointment a week before tukupige orientation mkuu
 
Hivi na michirizi iliyoko kwenye uti wa mgongo na vipelepele vilivyoko kwenye chini ya kichwa cha uume wa mwanaume je nazo ni daliki za muathilika!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…