Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Ndiyo inawezekana kabisa kutipata maambukizi ya HIV, ili mradi tu kusuwepo mishubuko, vidonda wakati au kabla ya tendo lakn pia kubuka ajali a kutojikata wakati wa kunyoa maeneo nyeti, usisahau vidondinda katika vidole hususani ukataji wa kucha vidole vya mikono kwani mikono nayo hutumika katika tendo hilo kushikashika na kujifuta. Ndiyo maana leo kuna tohara ya bure kwa wanaume ili kupunguza mambo kama hayo.
 
Inawezekana kama hapakutokea michubuko kwa wote wawili hivyo mwanangu anatakiwa aingie na kufanya pole pole bila msuguano pia alowanisha uume na uke ili kusiwe kukavu kwani ukavu husababisha michubuko lakini muhimu tumia kondom kuepuka maambukizi
 
Wengi wanapata complicationa za PEP nesi mmoja alijichoma na sindano ya mwenye virus akiwa CTC alipopima yeye akawa hana maambukizi akaanzishiwa PEP ilimsumbua maana iliharibu ini jamani aliteseka mno akafariki ila yule kisababishi yupo ndio hapo huwa tunasema Mungu akihitaji atakuchukua kwa njia yoyote ile, na hizo ARV nazo complications zake ni kubwa mno hutumika kwa kuwa hakuna jinsi ila zinatesa sana
 
ARV's ni hatari sana.
 
Kuna jamaa yangu baada ya kugonga demu ambaye inasemekana ameumia,huwa anajitetea eti unaweza ukalabua kavu na usipate.
Inaweza kua ni njia ya kujitetea lakini pia asemacho ni kweli,tendo la ndoa likikutana tu na mwanamke mwenye maumbile ya maji maji sana huwezi luka na ngoma.vinginevyo HIV kama inavyosemwa ndivyo ilivyo asingekuwepo mzima hata.
 
Inawezekana kabisa...muandae vizur mpka awe mbichi afu piga moko tu, ukijifanya kidume unapga kumi...ndo ujue imekula kwako ushanasa
 



Someni hizo nondo kisha kama mjadala uanze upya, maana inavyoonekana walio wengi wanaochangia sasa hawakuanzia tokea awali.
 
Vipimo ni feki kivipi? Tafadhari tujulishe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…