Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Nikweli kaka ila mm kunawatu wabish sana humu ndan niltaman wasimvunje moyo deception aokoe Ndugu zetu au angetafuta jinsi ya kusaidia watu
"There are two ways to be fooled. One is to believe what isn't true; the other is to refuse to believe what is true."
~Soren Kierkegaard
 
Nimekuelewa mkuu. Sasa Mkuu bado hapo na shaka, ukienda kupima ukimwi unakuta una HIV + utazidi kukonda hadi kufa mbali na mawazo ni nini kinachoua?
 
Sasa Mkuu mbona watu wanakufa hasa ukizingatia ulipotangazwa miaka ya 1980 huku kwetu bukoba watu walikufa kwa wingi.kama ulivyosema hakuna ukimwi
 
Nina jamaa yangu kaishi na mwanamke miaka mitatu...yule mwanamke akaanza KUUMWA....na alikuwa na dalili zote za a VVU..wanaenda kupima jamaa hana VVU...leo kaoa demu mwingine wanaishi... Ukimwi kupata hadi MCHUBUKO.....ingekuwa hivyo TUNGEKUWA NAO WOTE.. maana wanawake wenyewe TUNA SHARE BILA KUJIJUWA..inapaswa . mwana umchezee ili atoe UTE mwingi na usimchubuwe.....VVU vinaishia juu tu..VVU havipatikani na MAJI..
Au ute wa mwanamke.. Bali vinapatikana kwa DAMU...kama ingekuwa kutembea na mtu mwenye VVU unapata kwa 100% ingekuwa wataalamu hawakushauri kwenda kupima....ingekuwa wanampima mama tu..wakigunduwa ana VVU..basi na baba utakuwa nao..au kama mama hana basi baba nae hana...kwann lazima wapimwe wote?
 
Ingekuwa kila unapojamiiana na aliye na vvu basi na wewe unapata regardless una michubuko au laa dunia ingekuwa ishajifuta mara moja kwa ugonjwa huu.Asingekuwepo anayeishi ktk sayari hii.
Kuna process ndefu hadi kuambukizwa.Usafi ni muhimu ktk mapenzi na pia mapenzi ya tigo yanahatarisha sana mtu kuambukizwa kwani kule hakuna lubricants yoyote,pia denda ni tatizo.
Tuwe na mapenzi salama.
 
Hongera sana kwa Kutambua Kwamba HIV is not easy Virus to catch! lakini ulipoyumba ni hapo kwenye denda yyani mate kiukweli hapo hakuna Hiv virus na sayansi ya bailojia inasema kwamba labda mpaka unywe lita 5 za mate ya mwathirika ndo kuna uwezekana tena mdogo wa ww kuwa kwenye Hatari ya Kupata Maambukizi!
 
Kama komenti yako ni kweli umenibariki saana
 
Ingekuwa VVU inapatikana kwa damu, hakuna mwanaume ambae ananyoa salun angebaki salama.
 
Duuuu nafanya research kuhusu TENOFOVIR, umeitaja hapo juu mbona unapotosha baadhi ya mambo mkuu? HIV is my field of study sijui utanidanganya wapi tho nimesoma Diploma ya HIV University of Manchester Lakini hapo unapotosha watu mkuu.
 
Kaka Deception salam
 
Je watu watumie nn ili hio hali iwaondoke wasipme positive mana watu kweli hatuna marifa

Post sent using JamiiForums mobile app
Njia peke yake ni kuacha kupima..coz vipimo vyenyewe ni feki Mkuu...just live ur life....kula vizuri,fanya mazoezi..lala vizuri thats it..
 
Mkuu H.I.V wanakaa ktk ktk any fluid of the body except mate machoz ..lkn shahawa maziwa ya mama ,,dam kote vinaishi .

Kulala na HIV infected person ikiwa hujatumia condom uwezekano wakutopata HIV inategemea na mlivofanya ,,mfano ..km uke ulikua mkav naww hukumuandaa sasa mchubuko ule unakufanya upate ..lkn km hutopata mchubuko nayeye ulimuloanisha sawa sawa na ukafanya kwa uzuri basi kuna uwezekano wa kutopata .

N.B NIUJINGA KUVAA KONDOM AKATI ULITUMBUKIZA KIDOLE UKEN TENA KIDOLE KILIKUA NA MICHUBUKO YA DAM ,,

PIA ,NIUJINGA KUVAA KONDOM AKAT MLINYONYANA MIDOMO ILI HALI MIDOMO YENU ILIKUA NAMICHUBUKO.

PIA NIUJINGA KUVAA KONDOM ILIHALI ULIMNYONYA MATITI HADI MAZIWA UKAWA UNAYATOA WAKATI MIDOMO YAKO INA VIDONDA ..

Vaa kondom naepukana na njia nyingine zisizosalama .au km VP mcheki dam.(homaaaa hapaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…