Watanzania wengi hawajakomaa katika kufanya mijadala,na ndio maana tunabaki nyuma kiuelewa kwa kuwa tunapoona au kusikia kitu kipya tunaanza na kupinga kwanza kabla ya kuruhusu akili kudadisi au kujiuliza,hii ni mbaya sana.
1.Kuwa makini sana, usije wewe ndio ukawa hauko serious.
2.Unathibitisha vipi kwamba mimi napotosha watu?
3.Una uhakika gani kwamba haya ninayoeleza ni theory zangu?
Wewe umeshajikita kwenye upingaji na umefunga kabisa milango yako ya fahamu kuelewa chochote nitakachoeleza,hivyo nakusikitikia sana kwa kukosa kuujua ukweli huu wa karne,na kuikosa elimu hii kunaweza kukusababishia matatizo makubwa aidha wewe au ndugu zako wa karibu endapo utafikwa na janga hili.
Unachokiongea hapo juu hukielewi kabisa;
1.Hufahamu hata historia ya HIV/AIDS hata kwa tanzania pekee.
2.Hujawahi hata kuhudhuria clinic za watu wanaotumia ARVs na kufanya utafiti.
3.Unaweza kunijibu nimekosea vipi kusema kwamba HIV/AIDS ni mradi wa kuuza ARVs?
4.Una uhakika unajua ni lini ARVs zilianza kutumika?na ni aina gani za ARVs zalianza kutumika?
Seriously!
Ugonjwa wa AIDS kwa watu wanaotumia ARVs unasababishwa na ARVs na si HIV.Una hoja ya kupinga hilo ninalosema mimi ili tuwape wengine faida?
1.Nikikuuliza ukimwi ni nini utajibu vipi?
2.Unajua ukimwi unasababishwa na nini?
3.Je,unajua kama ukimwi ulikuwepo karne nyingi kabla ya kutangazwa kwa HIV mwaka 1984?
1.Kuna magonjwa mengi yanadhoofisha watu mpaka kufa zaidi ya huu ugonjwa feki wa HIV/AIDS,ni kweli wewe hujui hili?
Mfano mmojawapo wa ugonjwa huo ni TB.Je,unajua kwamba ukiwa na TB muda mrefu utakonda sana,utaishiwa nguvu,unaweza kutapika,unaweza kuharisha kutegemea na aina ya TB,utakosa hamu ya kula,utakuwa na homa mara kwa mara,na ajabu zaidi unaweza ukapimwa HIV na vipimo vikatoa majibu Negative/huna HIV.Je,hizi nilizotaja sio dalili za ugonjwa feki wa HIV/AIDS ulizoambiwa wewe zamani?Huoni kwamba dalili hizo zinafanana?
Kama hayo maelezo ni sahihi,Je,ukimwi ni nini basi?
2.Dawa ya ugonjwa hutegemea na aina ya ugonjwa.Kama ugonjwa ni TB utapewa tiba ya TB na utapona kabisa.
Wewe ndio unaleta siasa kwenye mambo ya msingi.Watu wameshaanza kuelewa,wewe unaleta siasa,hujaleta hata hoja moja ya kisayansi kuthibitisha unachokisema,sasa nani kati ya mimi na wewe analeta siasa?
Ndugu yangu ninakushauri tu.Hata kama umegundua umeingia vibaya kwenye mada hii,usijali kuonekana mdhaifu,hivyo ndivyo mijadala ilivyo,jitahidi kuwa na free mind katika maisha yako ili uwe mwepesi wa kuhoji/kudadisi au kuuliza endapo utakumbana na kitu kipya akilini mwako,usiwe mwepesi wa kupinga tu kila jambo jipya.Utakosa mengi na hasa yale ya muhimu katika maisha yako.