Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Mkuu, wewe ni mtu hatari sana.
 
Ndio, inawezekana ulale na mtu mwenye ukimwi na usiupate!
Mimi nina ushuhuda wa shemeji yangu alishakuwa na uhusiano na dada mmoja hivi na walidumu kwa mda wa miaka 3 bila kujua kama m/mke ameathirika baada ya kuamua kwenda kupima mdda akaja mpa majibu men kuwa nina maambukizi ila tunapswa kwenda wote kupima wakaenda na jamaa akaonekana hana maambukizi kabisa. Na kilichomsaidia n kumuandaa mwanamke wakati wa kuduu kwamba anahakikisha anakuwa amelowa kabisa ndipo hukutana nae,so it's possible having sex with a person who is Positive na ukawa safe,ila kikubwa n maandalizi hata mwanaume awe na uume mnene vio ukimuandaa mke vyema huwa haisumbui.
 
Ingekuwa kupata ukimwi ni rahisi kama unavyodhani wewe hiki kizazi kingeshajifuta zamani kabisa.
Ni kazi tena ni kazi haswaa si kidogo kupata ukimwi.Ukiwa na akili timamu nasema ni kazi mno.Ni magonjwa ya zinaa tu ndiyo rahisi kuyapata si ukimwi.
Uwe umetahiri,uwe msafi,usipende porn sex,uwe na maandalizi mema ya sex,ujiepushe na laugh sex,usiwe na magonjwa ya ngozi na vidonda ovyo mwilini utaambukizwaje kiurahisi.
Usafi ni kinga kuu ya magonjwa.Wanawake maumbile ndiyo yanayowaponza sana.Kwa mwanaume kuambukizwa ni kazi sana ila akiambukizwa hadumu hufa haraka na kinyume chake kwa wanawake.
 
Wana jamii nimepima na hayo ndiyo majibu, je hiki kipimo hakiongopi? Na kinaonyesha kuwa umeathirika baada ya muda gani tangu uambukizwe? Maana mi nimepima baada ya kukaa cku 100 bila kufanya tendo
Yako wap
 
 
Inawezekana ila subiri miezi mitatu ukapime.dawa ni kuwa na mpenzi mmoja tu mwaminifu ukishibdwa tumia tatu Bomba.
 

sasa mkuu nijuze jinsi ya kuacha ARVs
 
Ndio inawezekana haswaaa , iwapo tu huyo mwenye ukimwi akatumia kinga , nimejibu swali?
 
Acheni kudanganya watu nyie wengine.
Ukimwi upo na Virus wa HIV wapo na wanamadhara kwa binadamu.
Msiache kuifuata elimu inayotolewa juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Iwe diri au isiwe diri ugonjwa uko palepale na unaambukiza kama mnavyoelezwa na unaua na hauna kinga wala tiba hadi sasa.

Ukimwi upo na unaua, Jilinde kila wakati na maambukizi ya Ukimwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…