Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Kwani nani kasema ukimwi haupo, ukimwi upo tangu enzi za wakina yesu, sasa nakushangaa wewe unakuja kutuambia ukimwi upo,sio issue.

Issue ni hakuna HIV, kama una ushahidi wa HIV weka hapa tuone.
 
Kwani nani kasema ukimwi haupo, ukimwi upo tangu enzi za wakina yesu, sasa nakushangaa wewe unakuja kutuambia ukimwi upo,sio issue.

Issue ni hakuna HIV, kama una ushahidi wa HIV weka hapa tuone.
Unajua maana ya HIV uliyoiandika ?
Hebu ufafanue kwa kirefu tuione maana yake.
 
Unajua maana ya HIV uliyoiandika ?
Hebu ufafanue kwa kirefu tuione maana yake.
Nani kakwambia maana ya HIV inajulikana kwa kuandikiwa kirefu cha HIV yaani Human immunodeficiency virus ,

Haya nimekuwekea maana ya HIV kwa kadri ya matakwa yako, sasa niambie ni kivipi HIV inapelekea AIDS,
 
Umeuliza tena swali la pili.
Awali umesema hakuna HIV.
Hapa umethibitisha kuwa HIV ni aina mojawapo ya Virus, yaani Human Immunedificiency
Virus. Hapa umemaanisha HIV yupo ni aina ya Virus.
Umeuliza tena anasababishaje AIDS.
Nikujibu na hili swali lako lingine, huyo Virus ambaye anajulikana kama Lentivirus ndiye anayesababisha Aids, yaani Acquired Immune Deficiency Syndrome ambayo umesema ilikuwepo tangu enzi za mitume.
Ukiona mtu anakufa kwa ugonjwa akiwa bado kijana ujue kinga yake ya mwili imeshindwa kuhimili mashambulizi ya adui ambaye mojawapo ni huyo Lentivirus, wa HIV.
Hivyo basi HIV yupo na AIDS ipo bila kujali ni wakati gani.
Cha msingi ni kuwaelimisha watu kujikinga na huyo HIV ili wasije kupata AIDS.
Na sio kutangaza ujuzi wa kubishana.
 
mkuu ..nafuatilia huu mjadala ambao sikiwahi kujua kama upo ...nakuhakikishia nitasoma "" kurasa zote bila kuacha hata kurasa moja...lakini nataka nikupe heshima yko aisee...shikamoo ..shikamooo..shikamooo .@deception
 
Sijui kama umeelewa nilichoandika,
 
haaa hahaA hakujui huyo eehh ???
 
Sijui kama umeelewa nilichoandika,
mkuu mimi naomba unisaidie kujibu hili swali...kama UKIMWI sio sababu ya kirusi cha HIV..kina chopelekea mtu aliyetembea na mtu ambaye nimuathirika wa ukimwi kuweza kupata ama kurithi huo ugonjwa ninini ?
 
Kama ukimwi ni adhabu,ni wakina nani wanastahili hiyo adhabu?
 
Kama ukimwi ni adhabu,ni wakina nani wanastahili hiyo adhabu?

Wale wanaoyatumia aumbile yao visivyo na kwa sababu zisizo. Unatumia midoli badala ya watu, unatumia njia isiyo na watu wasio wa jinsi hiyo pia. Hilo ni chukizo mbele za Muumba wako hivyo unastahili adhabu kali sana
 
mkuu mimi naomba unisaidie kujibu hili swali...kama UKIMWI sio sababu ya kirusi cha HIV..kina chopelekea mtu aliyetembea na mtu ambaye nimuathirika wa ukimwi kuweza kupata ama kurithi huo ugonjwa ninini ?
Daudi 1990

Jibu Swali hili.
Magonjwa yasiyosababishwa na Bacteria au Virus kama Cancer hayaambukizi.
Ni Vipi mtu aambukizwe Ukimwi na aliyeayethirika na Ukimwi ?

Deception,
unaweza kutusaidia hapa.
 
Mh!! Unaweza kutoa ufafanuzi kidogo
 
Hivyo vidokezo vyote vinne unaweza kutuambia ufeki wake ukoje
 
Duuu wale wanaopiga deki pia wako kwenye kundi hili la kuwa salama ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…