Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

 
Mkuu Deception where are you brother? Nshakutafuta sana ila sikupati. Nimeku-pm lakini kimya! Upo kweli kwenye majukwaa ya Jamiiforums!!!???
 
Mkuu naomba inijuze nami kuhusi hiyo kinga unayoitumia kwa mifugo. Nami nina kuku wakienyeji nafuga huko shamba.
 
Rafiki yangu ambaye nimesoma nae o level baada ya kufeli kuendelea na masomo alifanya uamuzi wa kuoa ila mwisho wa siku mke alipata ujauzito na wakaenda kupima kama wazazi wa mtoto, mwanamke alikutwa na maambukizi ila mwanaume hana almost two years katika ndoa,
nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulete mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo hujui kitu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
deception deception deception, where are u brother. Please wake up tunakuhitaji huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…