Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?


Pitia apa Kwa masomo na madarasa mazuri zaidi kuusu afya yako
 
Kama mwanamke ndiye ana virusi vinavyosababisha Ukimwi na mwanaume hana, mwanaume anaweza asiambukizwe virusi hivyo endapo hakutakuwa na misuguano mikubwa itakayosababisha michubuko wakati wa kuingiliana (katika uke).

Hii inaweza kuwa kwa sababu mwanamke alikuwa ametoa vilainisho vya asili au walitumia mafuta ya maji ya kulainisha.

However it is not worth it kwenda kavu hata mwanamke awe wa aina gani.
Kwa hiyo mkuu unasema korie lazima iwepo ya kutosha sio.
 
Back
Top Bottom