Watu wengi tunaogopa UKIMWI kwa kuwa tunajua hauna tiba wala kinga....
Hapana,nadhani unakumbuka nilivyosema kwamba,ukimwi ulikuwapo tangu karne nyingi tu,na una kinga na tiba pia ambazo nilishaziorozesha.Sasa hivi hawa jamaa wamekuja kuujenga uongo kwenye vichwa vyetu kwenye misingi ya ukweli tunaoujua kwamba eti ukimwi unasababishwa na HIV na hauna kinga wala tiba,hii sikweli na nikatolea uthibitisho wake,baadhi ya uthibitisho unaonekana kwa macho hata humu kuna watu wengi wameshajionea wenyewe kwamba HIV hasababishi ukimwi(pamoja na kwamba kwa uelewa wangu HIV ni feki).
Nadhani wewe mwenyewe umemsikia yule mgunduzi wa HIV(HIV kwangu ni feki) alichosema,sasa ninashangaa watu wanang'ang'ania kusema HIV/AIDS haina kinga wala tiba wakati mgunduzi mwenyewe anasema HIV ana kinga na ana tiba.Unajua kasumba ikitawala kwenye vichwa vya watu ni kitu kibaya sana.Watu wakiona watu wanakonda na kufa hawawezi kufikiri upande wa pili na badala yake wataelemea kwenye kasumba,kweli hawa jamaa wametuchakaza sana.
... ila kuna magonjwa kama MARALIA, TB na magonjwa mengi tu ambayo yana Tiba,kinga
na dawa ila bado vifo vinatokea mfululizo especially vinavyosababishwa na maralia....
Umeona eenh!!
Magonjwa yana tiba na dawa lakini watu bado wanakufa,na yalikuwapo hata kabla ya HIV kutangazwa na yalikuwa na tiba na dawa lakini watu bado walikuwa wanakufa kwayo.Lakini leo hii ukitibiwa magonjwa hayo halafu ukashindwa kupona watasema HIV ndio amehusika.
1. Kwa hiyo hao wanaoukufa kwa maralia,tb nk CD 4 zao zinakuwa ndogo (kinga) au nini kinachowaua?..
Sio wote wanaokufa kwa magonjwa hayo wana CD4 chache.Kuhusu nini kinawaua,ni sayansi ya ugonjwa wenyewe husika jinsi unavyodhoofisha mwili.
2. Mtu ukiwa na Upungufu wa kinga mwilini (CD 4) that means una ukimwi? ..
Ndugu yangu,hao waliotudanganya wana definition nyingi sana tofauti za ukimwi.CD4 zako zikiwa chini ya kiwango fulani wanachokisema kuwa ni safe watakwambia una ukimwi.Ukiwa na TB+HIV watakwambia una ukimwi lakini ukiwa na TB bila HIV ukimwi huna,ukiwa na Dementia+HIV una ukimwi lakini ukiwa na Dementia bila HIV huna ukimwi na kuendelea....Hata hizo CD4 walisema kama ni chini ya 250 basi una ukimwi,wakaja wakaongeza na kuwa 350 na sasa hivi wakaongeza tena imekuwa 500,na baadhi ya maeneo wanatumia hiki kiwango cha CD4 chini ya 500 kusema kwamba una ukimwi.Yaani wanabadilisha kila kukicha.
Lakini wanaangali CD4 kama ndio pekee inahuska kwenye kinga ilihali kuna mambo mengine lukuki.
..3. Wote wanaoathirika na Ukimwi lazima wafe vifo vya mateso? Kama kuarisha sana, homa, vidonda mwilini nk, ina maana hakuna waathirika wanaokufa natural death?, yani alikuwa mzima kiafya ila kalala ndo ikawa kwa heri. ..
Hao tulioambiwa ni waathirika wa ukimwi,huwa hawafi kwa ugonjwa unaofanana,lakini wengi wanakufa kwa mateso sana.Na ukichunguza utagundua kwamba magonjwa yanayowaua huwa mara nyingi ni;
1.Moyo 2.Ini kufeli 3.figo kufeli 4.Anaemia 5.Cancer ukifanya uchunguzi wako binafsi utakuja kuleta marejesho hapa hata kwenye uzi mwingine,sio lazima afe hata kama kazidiwa,we chunguza nini kinamsumbua lazima kitaangukia kwenye moja ya hayo niliyotaja juu.
Ukiona kafa kwa TB,Malaria,itakuwa aidha kachelewa kutibu au hakufuata masharti ya dozi au mwili umekataa ku respond dawa kutokana na sumu ya ARVs.Chunguza huku ukiwa na free mind utajua tu.
4. Nataka kujua dalili moja tu ya waathirika wa UKIMWI ambayo hakuna mgonjwa yeyote anayeweza kuipata isipokuwa waathirika tu, achilia mbali homa, kuarisha, vidonda mwilini nk....
Hakuna dalili kama hiyo.Kama kuna mtu anayepinga anaweza kusema ni dalili gani hiyo.
...5. Nataka kujua kinachowaua wagonjwa wa UKIMWI na wagonjwa wa MARALIA...
Ukimwi hauui,bali ugonjwa unaoupata kutokana na upungufu wa kinga ndio unaoweza kukuua.Madaktari ndio wanaweza kukueleza kwa kina jinsi malaria inavyoua,to be honest mimi siwezi vinginevyo nitakudanganya tu.
6. Unakuta mtu anaambiwa ana UKIMWI na baada ya mda tu lazima yule mtu afe(nimeshuhudia mara 4-6), japokuwa nakuwa sina uhakika kama wanatumia ARVs au lah maana hyo ni siri ya mtu na sina uhakika kama kweli wana VVU ila uvumi kama unavyojua,kuna dada mmoja ivi uku kwetu aliolewa na mzungu zaman sana, huyo mzungu alifariki mwaka 99 kwa UKIMWI inavyosemekana ,basi huyo dada akaendelea kuishi vizur tu, mpaka mwaka huu mwezi 3 hali ikaanza kubadilika, watu wakasema anamfuata mume wake, dada akaugua sana, hatimaye akafariki kama wiki tatu zimepita wakamzika kwao moshi, na sasa ivi kuna jamaa ambaye alikuwa anatembea nae watu wameanza pia kumhesabia siku, kibinadamu inatisha, haswa ukishuhudia, inachanganya sana...
Unajua mambo kama hayo ndiyo yanayowachanganya watu,watu hawana uelewa wa kutosha na hatimaye wanafanya hitimisho lisilo sahihi kwa kutumia kasumba.Unajua kama unafanya maamuzi ya kitu kwa kutumia kasumba,wewe mwenyewe unakuwa hujijui,na badala yake unajiona uko sahihi kabisa.
Sasa ili uweze kufanya hitimisho la mambo kama hayo uliyoeleza ni lazima ufanye controlled study ya tukio zima.Mambo haya uliyoeleza ni sawasawa na swali la mwana JF mmoja ambaye analalamika kwamba ninakimbia kumjibu.Huwezi kujibu swali kama hilo kwa usahihi kwa kutumia hisia tu,kama utafanya controlled study kila kitu kinaelezeka.
Mtu akiwa hana uelewa wa kutosha kuhusu jambo fulani hata mahitisho atakayotoa yatalingana na uelewa alionao.Sasa wewe mwenyewe utajithibitishia.Leo hii umepata elimu tofauti humu JF,sasa itumie elimu hii kufanya udadisi wa mambo kama hayo upya.Lazima utakuja na maelezo yenye mashiko tofauti na kipindi cha nyuma ambacho ulikuwa huelewi ukweli huu.Jaribu kufanya utafiti.Kwa kuwa najua wewe ni mfuatiliaji sana wa mambo,nina uhakika lazima utapata jibu sahihi tu.
...7.Kutokana na maelezo yako umesema ARV zinaua na ushahidi tumeona kutoka kwa wanasayansi na mashuhuda wengi tu, je? Mfano mimi
warumi niliyeathirika na UKIMWI nafanyaje kuhakikisha naishi na vizuri, bila HOFU wala magonjwa?,
je ni chakula tu ndicho kitakachofanya afya yangu iwe imara kama watu wengine kwa miaka yote bila kutumia madawa yeyote?
Exactly,najua wewe warumi unayajua haya yote,ila najua unatafuta uhakika tu.Yaani inanifariji sana kuona udadisi kama huo ulionao,watu wachache sana wako kama wewe.
Wewe wala usitumie nguvu nyingi;Tumia tu ushauri wa yule Prof aliyegundua HIV(kwangu HIV ni feki),yaani;
1.Nutrition
2.Antioxidants
3.Hygiene
4.Clean water
Naongezea;
5.Mazoezi kama vile kukimbia
6.Kuepuka madawa ya hospitali pasipo ulazima kama vile madawa ya uzazi wa mpango na madawa ya kutuliza maumivu.
7.Ukishindwa kuacha,basi punguza kunywa pombe kali.
8.Epuka matumizi ya madawa ya kulevya
nk
Huyu prof mgunduzi alisema ukiwa na kinga imara HIV(kwangu HIV ni feki) hawezi kukaa mwilini,na pia hata kama yupo mwilini tayari ukibadili tabia na kuweka kinga yako imara, kinga yako utamtoa HIV.Sasa kama huyu Prof watu hawawezi kumwamini,mimi nashindwa kupata picha huyo mwingine wanayemwamini ni nani wakati huyu ndiye mgunduzi?