Nimekuwa msomaji tangu Uzi huu uanze, nimeshindwa kuvumilia hoja zako Mkuu
kupe;
1.kwako wewe mtu mwenye akili timamu yukoje? Je ni Yule anaendika au kusema kile masikio yako/macho yako yanakubaliana nacho, na kwamba akiandika kinyume na hivyo Basi akili zake zinakuwa sio timamu.
2. Unadai dunia iko wazi na unashauri asome na kufuatilia vitu,, nashawishika kuamini kuwa wewe uko na spirit hiyo ya kusoma na kufuatilia vitu, sasa hata hili la VVU hukulifuatilia kung'amua ukweli wake??
3. Nchi kuwapa au kutokuwapa wananchi wake ARV unamaanisha nn? Hivi kuna nchi isiyotoa ARV kwa hao wanaodaiwa kuwa na HIV v+, nijuze Mkuu.
4. Kuwepo kwa UKIMWI dunia nzima sio issue since UKIMWI upo karne na karne haukuanza Jana wala juz, unapouliza U_feki wa vipimo vya bongo nazid kukushangaa,, ni sawa na kusema hewa (Oksijeni) anayovuta mchina sio sawa na Ile anayovuta m_south Africa. Kipimo Feki Cha HIV kilichopo bongo na kwingineko ni kilekile provided kiko programmed kusoma kirus anaeitwa HIV na kirus hana nchi au hachagui wa kumuingia awe mmatumbi, mkongoman au mjapan.
5. Unaandika "Imani ya afya",,,, ni kitu gani hicho? kuna tofauti Kati ya kuamini na kujua,,angalia usije kuamini kisichokuwepo!!!
6. Wapi ilipoandikwa hataki kutumia condom? Soma taratibu akili ikiwa imetulia utaelewa tu Mkuu.