HIV/AIDS ni feki katika kila nyanja.Watu waliotunga uongo huu wa karne walitumia akili ya juu sana kukwepesha sheria za kisayansi na kutumia ujanja wa kisayansi na sayansi ya jamii ili kupenyeza uongo huu kwa jamii kwa manufaa ya biashara zao za madawa.Uongo huu umejikita katika nyanja kuu 4,nazo ni;
1.Historia ya HIV/AIDS
2.HIV/AIDS hypothesis
3.Vipimo vya HIV
4.Madawa ya HIV/AIDS(ARVs)
AIDS/Ukimwi=Upungufu wa kinga mwilini.Tatizo hili si geni,lilikuwapo karne nyingi zilizopita na watu hawakulichukulia kama ni tatizo kubwa.Mtu anapokuwa na ukimwi mwili wake ni rahisi kuingiliwa na magonjwa mbalimbali kama vile malaria,TB,Pneumonia,cancer nk.Hivyo watu walikuwa wanatibu magonjwa husika na maisha yanaendelea kama kawaida.
Ukimwi hauui bali ugonjwa unaoingia mwilini kutokana na upungufu wa kinga ndio unaoua.Watu wengi wamejisahau sana kwa kukariri kwamba ukimwi unaua kiasi cha kufikia kuwa na kasumba isiyoweza kubadilika kirahisi na kuelewa tofauti na jinsi wanavyojua kwamba ukimwi unaua,kinachoua ni ugonjwa unaoingia mwilini kama vile Malaria,TB,Cancer,Pneumonia nk baada ya mtu kuwa na upungufu wa kinga.Hakuna mtu hata mmoja duniani aliyekufa kwa sababu ya upungufu wa kinga.Upungufu wa kinga ni hali tu ya kushuka kwa kinga ambayo inasababishwa na mambo mengi sana ambayo nitayataja baadaye.
Hivyo basi,kusema mtu amekufa kwa ukimwi ni sawa na kusema timu ya Yanga imepoteza ushindi kwa sababu mabeki wake wawili wamepewa kadi nyekundu,kusema hivi si sahihi.Inatakiwa useme timu ya Yanga imepoteza ushindi kwa sababu imefungwa kutokana na kupoteza mabeki wawili kwa kadi nyekundu.Hii ni kwa sababu ili yanga ipoteze ushindi lazima ifungwe,si sahihi kusema ili yanga ipoteze ushindi lazima ipoteze mabeki wawili kwa kadi nyekundu,hii ni kwa sababu Yanga inaweza kupoteza mabeki wawili na bado si sababu ya kufungwa/kupoteza ushindi,ila kupoteza mabeki wawili kwa kadi nyekundu kunaweza kuifanya Yanga ifungwe na hivyo kupelekea kupoteza ushindi.Hivi ndivyo ukimwi ulivyo.Nadhani nemeeleweka.Sasa ili yanga ipoteze mabeki wake kwa kadi nyekundu inabidi mabeki wake wacheze rafu uwanjani.Na vivyo hivyo ukimwi,ili mtu apate ukimwi inabidi awe na utaratibu mbovu wa maisha kama vile;
I/. Ulaji mbovu wa chakula.Kutozingatia lishe bora kama vile kula matunda halisi,mboga za majani zisizoiva sana,dona,ulezi,mtama,maboga,kunywa maji safi na salama,kuepuka ulaji wa nyama nyekundu mara kwa mara,kuepuka vyakula vilivyosindikwa viwandani,kuepuka unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama vile soda,juisi za viwandani nk.
II/. Utumiaji wa mara kwa mara wa madawa ya hospitali kama vile diclofenac,antibiotics,chemotherapy na mionzi kwa wagonjwa wa cancer,ARVs,madawa ya uzazi wa mpango nk.
III/. Utumiaji wa madawa ya kulevya.
IV/. Utumiaji wa madawa ya kufanikisha na kuleta hamu ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kama vile poppers,Viagra nk.
V/. Unywaji wa pombe kali na zisizo na viwango kupindukia.
VI/. Kutozingatia usafi wa mazingira na kusababisha mlipuko na maambukizi ya magonjwa mara kwa mara.
VII/. Msongo wa mawazo kwa muda mrefu.
Nk.
1.Historia ya HIV/AIDS.
Hapa sitazungumzia sana.Historia ya HIV/AIDS ni feki kwa sababu kuna maelezo tofauti ambayo yote ni ya kufikirika na hayana mashiko kwa sababu yote yameegemea kwenye HIV kama ndiye chanzo cha tatizo ilihali si kweli.HIV hana uwezo wa kusababisha ukimwi na haambukizwi kwa njia ya ngono.Kuna watu wanasema HIV/AIDS imeanzia kwa mashoga huko Marekani,wengine husema imeanzia kwa nyani/sokwe wa misitu ya Congo na wengine wanasema imetokana na chanjo ya polio Afrika.Hizi zote ni hisia na zimeegemea kwenye kitu cha kufikirika(HIV) ambacho hakiwezi kuasababisha ukimwi.
Watu walijidanganya kwa kusema kwamba HIV/AIDS ilianzia kwa mashoga kwa kuwa sababu iliyosababisha AIDS kwa mashoga ni tofauti kabisa na HIV,madawa waliyokuwa wakitumia mashoga ndio sababu halisi na ya kweli iliyowasababishia AIDS.
Pia kuhusu HIV/AIDS kuanzia kwa nyani/sokwe au chanjo ya polio,hii si kweli kabisa,lengo lao hapa ni kusambaza uvumi kwamba HIV ni kijidudu cha kutengenezwa ambacho kimesambazwa kwa makusudi ili kudhuru watu ili kutimiza malengo ya waliosambaza.Walioeneza uvumi huu walitaka watu waamini kwamba kweli kuna kirusi cha aina hiyo kinachoitwa HIV na kinasababisha AIDS.Ukweli ni kwamba,hakuna kirusi HALISIA na wala CHA KUTENGENEZWA chenye uwezo wa kusababisha AIDS/Ukimwi kinachoitwa HIV,Ila RETROVIRUS wapo, lakini hawana uwezo wa kusababisha Ukimwi.
2.HIV/AIDS Hypothesis.
HIV anasemekana kusababisha AIDS kwa sababu kuu 1 ambayo ni kuua T-cells.Wagunduzi wa HIV wote wawili hawana uthibitisho wa kisayansi kuonesha kwamba HIV anau T cells,na hawawezi kuelezea pia ni kwa njia gani HIV anaua T cells.Robert Gallo ametangazwa kuwa mgunduzi wa HIV mwaka 1984 kwenye press conference na Margareth Heckler kwa kusema kwamba The probable cause of AIDS has been found bila hata ya uthibitisho mmoja wa kisayansi ambao umechapishwa mahali popote ili wanasayansi wengine kama yeye na waliomzidi yeye waujadili.Na mpaka leo hii tunavyozungumza,hakuna uthibitisho wa kisayansi unaothibitisha kwamba HIV anasababisha ukimwi kwa kuua T cells,hakuna.
Mgunduzi mwingine aliyefanya kazi pamoja na Robert Gallo ambaye anashiriki hatimiliki ya ugunduzi wa HIV na Robert Gallo,Luc Montaigner, yeye mwenyewe anakiri kwamba hawawezi kuelezea ni kwa vipi HIV anaua T cells,kwa maana hiyo hawajui.Pia Luc Montaigner anaendelea kuthibitisha kwamba hata kama kweli HIV ataingia kwenye mwili wa mtu,anaweza kuondolewa na kinga ya mwili kama kinga itakuwa vyema/imara.Luc Montaigner ndio mgunduzi halisi ambaye data zake ziliibwa na Robert Gallo na kumfanya R.Gallo awe wa kwanza kutangazwa ndiye mgunduzi.Lakini hicho walichokigundua pia ni cha kufikirika na si kweli kwamba walikiona,ili ujue ukweli huu inabidi uingie kwa undani kidogo.Pia mwanasayansi nguli anayepinga kuhusu HIV/AIDS hypothesis Prof.Peter Duesberg anasema kwamba HIV hawezi kusababisha ukimwi na haambukizwi kwa njia ya ngono,na anaendelea kusema kwamba HIV huondolewa na kinga ya mwili mara baada ya kuonekana na kinga ya mwili.
Nadhani mnajionea wenyewe jinsi mgunduzi wa HIV Prof.Luc Montaigner na Prof.Peter Duesberg anayepinga HIV/AIDS hypothesis walivyoenda sawa kuhusu HIV kuweza kuondolewa na kinga ya mwili tofauti na vile tulivyodanganywa huko nyuma kwamba HIV akiingia mwilini hatoki maisha yako yote.Kwa maana hii basi,mtu huna haja ya kutumia ARVs zenye sumu hata kama umepimwa HIV+ kwa kuwa ukiijenga kinga yako kwa kufanya mambo tajwa hapo juu utakuwa umemwondoa HIV mwilini.Najua pamoja na ukweli na uthibitisho nitakaouweka humu bado baadhi ya watu wataendelea kungangania kasumba hii.Kilichofanya HIV/AIDS iwe maarufu na watu waiogope ni matangazo ya muda mrefu kwenye vyombo vya habari yaliyoendana na kuonesha video za kutisha.Marekani ni nchi yenye uwezo mkubwa wa kutengeneza propaganda kuliko ule wa kipindi cha Adolf Hitler.
Hakuna uthibitisho kwamba HIV anaua T cells.Pia HIV huondolewa na kinga ya mwili bila kutumia dawa yoyote:
Link- Prof.Peter Duesberg:
https://www.youtube.com/watch?v=xJXIbZxNLho
Link-Prof.Luc Montaigner:
https://www.youtube.com/watch?v=PyPq-waF-h4
Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR),Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS:
https://www.youtube.com/watch?v=IifgAvXU3ts
3.Vipimo vya HIV.
Vipimo vya HIV ni moja ya sehemu muhimu katika uongo huu wa karne.Hapa sitazungumza sana,bali nitaweka video mjielimishe wenyewe.Lakini jambo moja ambalo ni muhimu watu kulifahau ni kwamba,vipimo vya HIV havipimi mwonekano wa HIV mwenyewe bali hupima kinga ya mwili dhidi ya aina fulani za protini ambazo husemekana zinatoka kwa HIV lakini sio maalum kwa HIV.Ina maana protini hizi huweza kutolewa na hali mbalimbali mwilini kama vile magonjwa kama TB,malaria nk na hali ya mimba.Hivyo basi,mtu kuwa HIV+ haimaanishi kwamba una HIV,na hata kama utakuwa na HIV hutapata AIDS kwa kuwa HIV hana uwezo wa kusababisha AIDS.Kutokana na ukweli huu kumbe kwenda kupima HIV ni ulimbukeni tu.Kutokana na ukweli huu,ndio maana mtu leo anapima HIV+ halafu baada ya muda anapima HIV- na utaratibu huu unaendelea hivyo hivyo kutegemea na utaratibu wa maisha anayoishi mtu huyo na idadi ya vipimo atakavyofanya.Kama mtu haamini na afanye utafiti na aweke lengo la kupima kama mara 10 hivi maeneo mbalimbali,atakachokiona ndio kitamfanya aelewe mimi nina maana gani.
Birth of heresy:
https://www.youtube.com/watch?v=Q-iccGpFto8
4.Madawa ya HIV(ARVs).
ARVs zinasemakana kurefusha maisha kwa watu wenye HIV wanaozitumia kutokana na tabia yake ya kufubaza virusi na kuvifanya visiongezeke.Hii si kweli na kuna tafiti nyingi zimeshafanyika kuthibitisha hili.Kwa kifupi ni kwamba ARVs ndio zinazosababisha vifo kwa wale wanaozitumia,ARVs zinaleta matatizo mengi sana kwa wale wanaozitumia kutokana na side effects zake.Inabidi watu wafahamu kwamba,side effects za ARVs hazipo kwa bahati mbaya bali zilipangwa ziwepo,na hii ni kwa sababu,HIV hana uwezo wa kushusha kinga ya mwili hivyo inabidi badala yake ARVs zitengenezwe ziwe hivyo ili mwisho wa siku mtu atakapokufa watu waendelee kuamini kwamba HIV anaua na hana tiba.Kumbe ARVs ndizo zinazoua.Kuna tafiti mbalimbali zimefanyika kwa kuchukua wagonjwa waliopimwa HIV+ na kuwatenga makundi mawili,kundi moja lilipewa ARVs lakini lingine halikupewa,baada ya muda mrefu lile kundi wanalotumia ARVs likaanza kupata side effects tofauti kulingana na mgonjwa lakini wale ambao walikuwa hawatumii ARVs waliendelea kuwa na afya njema.
Kwa kifupi hata ukimchukua mtu ambaye ni HIV- na ni mzima wa afya halafu ukampa ARVs baada ya muda Fulani ataanza kupata side effects ambazo kama utaendelea kumpa ARVs na hutamtibia hizo side effects hatachukua muda atakufa.ARVs ni sawa na dawa za cancer mahospitalini,ukimpa dawa za cancer(chemotherapy) mtu mwenye afya ambaye haumwi chochote,baada ya muda Fulani Yule mtu atapata cancer.Hivyo basi,ARVs zinasababisha ukimwi kama dawa za cancer(chemotherapy) zinavyosababisha cancer.Matatizo ambayo tumeambiwa kwamba yanasababishwa na HIV si kweli kwamba yanasababishwa na HIV na badala yake yanasababishwa na ARVs kwa wale wanaozitumia.
Hata kama utasikia au kumwona mtu amekufa kwa dalili kama zile ambazo umeambiwa ni za HIV/AIDS halafu mtu huyo hatumii ARVs jambo hili lisikutishe,hii ni kwasababu kuna magonjwa mengi yenye dalili sawa kabisa na zile ulizoambiwa wewe kwamba ni za HIV/AIDS.Magonjwa yenye dalili hizi yalikuwapo karne nyingi zilizopita lakini kutokana na ulimbukeni tunayaona ni ya ajabu na tunamsingizia HIV kwamba yeye ndiye anayesababisha.Fuatilia vizuri sana dalili za ugonjwa wa TB na Cancer utaona kwamba dalili zake kwa asilimia kubwa hufanana na zile tulizoambiwa ni za HIV/AIDS.Ulimbukeni huu ndio umetufanya tujisahau na kushindwa kujua kwamba Ukimwi hauna dalili zinazoonekana kwa nje,bali magonjwa yanayoingia baada ya mtu kuwa na ukimwi ndiyo yana dalili zinazoonekana kwa nje,na magonjwa haya yote si mageni,yalikuwapo karne nyingi zilizopita.Hivyo kusema kwamba ukimwi una daily Fulani ni ulimbukeni wa kifikra unaotokana na kukaririshwa na matangazo ya muda mrefu kutoka kwenye vyombo vya habari yaliyoambatana na video za kutisha.
Mtu anapotumia ARVs kwa muda mrefu anakuwa hatarini kupata madhara yafuatayo:
I/. Matatizo ya moyo
II/. Matatizo ya ini
III/. Matatizo ya figo
IV/. Cancer/Saratani
V/. Anaemia/Upungufu wa damu
VI/. Kisukari
VII/. Stroke/kupooza
Mara nyingi na karibu mara zote haya ndio matatizo yanayosababisha vifo kwa wale wanaotumia ARVs.Matatizo yote haya hayawezi kusababishwa na HIV,huitaji kufika chuo kikuu ili ufahamu kwamba matatizo haya hayawezi kusababishwa na HIV.Kama mtu haamini basi afanye utafiti wake mwenyewe kwa wale wanaotumia ARVs ambao hali zao ni taabani,atajua tu.Nilisema kwamba hata kama mtu hatumii ARVs halafu anaumwa sana na amedhoofika, bado sio kisingizio kwamba HIV ndiye amesababishwa kama watu wengi wanavyofikiri,kama utamfuatilia mtu kama huyu kwa ukaribu lazima utagundua tatizo lake halisi linalomsumbua na utajua limesababishwa na nini,hivyo basi kila kitu kinaelezeka,hakuna kitu chochote chenye utata kwa wale wanaopinga HIV/AIDS kwa kuwa wao wanatumia sayansi ya kweli hivyo hakuna mtu anayeweza kuwashinda kwa hoja,na hii ni kwasababu wanachosema ni ukweli mtupu wenye mashiko.SI SAHIHI kusema kwamba HIV=AIDS.Bali NI SAHIHI kusema kwamba ARVs=AIDS.
HIV anasemekana kusababisha magonjwa zaidi ya 30 kama yupo mwilini lakini kama hayupo mwilini basi sababu za magonjwa hayo zinahusika zenyewe.Ugonjwa huu unabadilishwa tafsiri kila kukicha.Siku hizi ukiwa na ugonjwa wowote unaofahamika mfano TB halafu umepimwa HIV+ watasema una ukimwi lakini kama una ugonjwa huo lakini ni HIV- watasema una TB na si ukimwi,utaratibu huu unaendelea vivyo hivyo kwa magonjwa mengine.Magonjwa haya yote yalikuwapo hata kabla ya huyo HIV hajatangazwa na yalikuwa yanaua na yanaendelea kuua hadi sasa,hivyo hakuna kitu kigeni kwenye ugonjwa huu,cha msingi watu inabidi waelewe ukweli halisi ni upi ili watu wenyewe wawe walinzi wa afya zao na za watu wao wa karibu.Haiwezekani mtu akae Marekani halafu akupende wewe uliye Tanzania/Afrika wakati hata hakujui,na kama angekuwa ana upendo sana je, angekulazimisha uukubali ushoga?na kama pia angekuwa na upendo sana je, angeua watu wasio na hatia kwenye vita mbalimbali duniani kama vile Iraq,Afghanistan,Syria,Libya,Vietnam,Panama,Equador,Venezuela nk?Inabidi watu wafahamu kwamba hawa watu hawapo ili kutupenda sisi, bali wanajali biashara zao na si wewe,wewe ni nani kwao hata wakupende?
Kuna reply yangu moja nilielezea jinsi ARVs zinavyoweza kusababisha upungufu kwenye kinga ya mtu.Maelezo niliyotoa ni haya hapa chini:
Hebu tuchukue mfano wa ARVs mojawapo inayoitwa Tenofovir Disoproxil Fumarate(TDF) ambayo inatumika na wagonjwa wengi wa AIDS.
Dawa hii kwenye warning zake inasema "It can cause serious, life-threatening side effects. These include lactic acidosis and severe liver problems."
Kiwango salama cha acid/alkali kwenye damu(yaani pH) ni 7.365,maana yake damu inatakiwa iwe slightly alkaline ili kinga ya mwili iweze kufanya kazi yake vizuri.Chini ya kiwango hicho ni majanga matupu,utakuwa na magonjwa yasiyohesabika na yasiyoisha mpaka unakufa.
Sasa kama acid itajijenga kwenye damu yako,maana yake pH ya damu yako itashuka na kuwa chini ya 7.365.ARVs na specifically hii TDF ndivyo inavyofanya kwenye damu za wale wanaoitumia.TDF inaongeza kiwango cha acid kwenye damu.Acid ni sumu kwenye damu,acid inapokuwa nyingi INI haliwezi kufanya kazi yake inavyotakiwa na ndio maana kwenye dawa hizo, severe liver problems imetajwa kama mojawapo ya effects.
Pia najua unajua ya kwamba kama damu ina acid nyingi,hewa ya oxygen inapungua sana hivyo seli za damu zinakosa oxygen ya kutosha kufanya kazi yake,najua unajua nini kinatokea kama seli za damu zitakosa oxygen.Hata wewe mwenye ukikosa oxygen unajua kitakutokea nini.
Sasa kutokana na ukweli huo,Je,ARVs hazisababishi mapungufu kwenye kinga?Na kutokana na effects hizo ndio maana magonjwa mengi sana huzaliwa kwa wale ambao wametumia ARVs muda mrefu.Baadhi ya magonjwa hayo ni kama vile;
-Cancer:Ukimpima mgonjwa yeyote wa cancer lazima utakuta damu yake ni acidic(yaani pH yake ni chini ya 7.365)
-Ini
-Figo
-Anaemia
-Heart disease
nk.
Fanya uchunguzi kwa wagonjwa wote waliolazwa mahospitalini ambao wanatumia ARVs,lazima utawakuta na moja/mawili/matatu.... kati ya magonjwa niliyotaja hapo juu.
Kuhusu cancer,usifikiri kama zile NGO za mambo ya HIV/AIDS zilivyoanzisha kitengo maalumu kwa ajili ya cervical cancer kwa wanawake ilikuwa ni coincidence.Hiyo cancer inasababishwa na ARVs,fanya uchunguzi wewe mwenyewe kama una muda.
Hivyo basi,nataka nikwambie kwamba ARVs zinasababisha AIDS,hii sio speculation,its real.
ARVs side effects:
https://www.youtube.com/watch?v=GokUme9x07E
ARVs side effects:
https://aidsinfo.nih.gov/drugs/290/tenofovir-disoproxil-fumarate/0/patient -Hii website hutumiwa na CDC kutoa taarifa mbalimbali,hivyo kilichowekwa humu kimetoka kwao wenyewe wanaofanya biashara ya ARVs.
Attachment:scientific paper:HIV/AIDS acquired by Drug Consumption and other non contagious risk factors.